USHUHUDA: Hivi ndivyo mafuta yanavyoibiwa Bandarini Dar...

Status
Not open for further replies.
Do hii ni hatari.... yaani mpaka nimeogopa.... 80m
kila mmoja cash! !..... inahitaji moyo kuzikataa.... na hawa wanajua hakuna atakae kataa.... inahitajika total overhaul ya utaratibu wa mafuta hapa nchini....
Ndio baadhi ya watanzania wamekuwa na kiburi sana cha pesa, serikali yetu imeibiwa sana na wafanyabiashara hasa wa mafuta wa asili ya kiasia. Mhe Magufuli pamoja na kazi nzuri anayoifanya ni lazima sasa aanze kushughulikia mifumo ya kisheria na taratibu za ukusanyaji kodi za nchi.
 
Tatizo sio taarifa bali ni uwajibikaji wa baada ya kutoa hizo taarifa...
Mkuu kikulacho umenena vyema, mwaka 2013, niliwah kuandka ripot pengine kuliko hii ikiwa na ushahidi wa kutosha katika mgodi mmoja ulioko maeneo ya kanda ya ziwa kuhusu wazungu wanavyoihadaa serikal kushrikian na mamlaka za kukusanya ushuru, kule mgodin madege makubwa yanatua na kuondka kila kuchwao, yakiondka na shehena kubwa ya mchango, jambo ambalo wenye dhamana wanalijua fika, yena wao ndo wa kuwasaidia wakwapuaji...
ripoti hiyo ambyo nilitumwa na mtu yuko wizaran kwa our own risk sikuona mafanikio wala kufatiliwa kwa namna yoyote ili, nlihishia kupata matatzo chungu nzima ikiwa ni pamoja na kuikimbia nchi yangu tanzania....
Hii nchi hiki katika hatua za mwsho kabsa kuelkea kuzimu, wasaliti ni wengi, nchi ya jichukulie kama unaweza...ila nna imani utafika muda tuseme yatosha.....
Viongozi peke yao hawawezi hii vita ni kubwa, bila kupepesa macho viongoz wetu wengi ni wahuni wasio na utu hata kulingana na punje moja ya haladali...nachelea kusema mungu anahitaji kusikia kilio chetu....
 
Hii nchi imefikia wakati sasa wananchi hatuna budi kuwachukulia hatua wahujumu uchumi sisi wenyewe....kwa mikono yetu kama tunavyowashughulikia vibaka na wezi wa kuku.....
 
Rais na Waziri wake mkuu watapata kazi sana kusafisha hii nchi,Ningewashauri kitu kimoja kama kweli wanataka kusafisha nchi hii na siyo "kuonekana wanasafisha" wakati ukweli hakuna kitu wanachofanya.

Wapo watu katika nchi hii wanazo taarifa za mifumo ya wizi katika sehemu mbalimbali jinsi inavyofanya kazi, either wao walishiriki na sasa hawapo kwenye hiyo mirija au wanashuhudia jinsi wizi unavyoendelea ingawa wao hawausiki. Rais angetengeneza utaratibu wa watu wema wenye taarifa ya madudu yanayofanyika katika taifa hili kupeleka hizo taarifa in details wakiwa wanajulikana au hawajulikani, iwe ni choice ya mtoa taarifa.

Nina uhakika wapo watu wangejitokeza kutoa hizo taarifa nikiwapo mimi.

Mimi nina uzoefu wa jinsi mafuta yanavyoibiwa bandarini:

Kwanza niweke wazi, mafuta hayaibiwi bandarini kwa kukadiria au sijui kwa sababu ya flow meters. Hakuna kitu kama hicho. Tena zile flow meter zilikuwa na capacity ndogo na zinaharibika mara kwa mara hivyo zikiharibika inabidi ku-bypass. Meli ikiwa inashusha mafuta inaweza kushusha kwa presha ya bar 16, zile flow meter zilikuwa hazihimili presha kubwa.

Mafuta yakishashushwa, kiwango cha mafuta kilichopokelewa kina pigiwa hesabu na ma-surveyor na wanatengeneza taarifa yao. Mchezo unaanzia hapo TRA, Mafuta yanayotakiwa kulipiwa ushuru ni ya local (yanayotumika humu nchini), na ya transit hayalipiwi ushuru. Sasa figure zinazoingizwa kwenye system ya TRA kwa ajili ya kulipiwa ushuru ndiyo hapo serikali inapoibiwa.

Na anayefanya mchezo huu ni afisa wa TRA kitengo cha mafuta akishirikiana na kampuni husika. Kuna makampuni ambayo yamekubuhu kwa mchezo huo. Makampuni ya watu binafsi yakiongozwa na yanayomilikiwa na waarabu. OILCOM ndio kinara, Lake oil, World oil, CAMEL Oil, etc.

Ipo mifano mingi ila natoa mmoja.

Kuna siku ilikuwa meli na mzigo mkubwa tu kana tani laki moja na nusu, Huo mzigo ulikuwa wa OILCOM. Kwenye Cargo manifesto ya meli ulikuwa umekuwa declared kama JET A1, (mafuta ya ndege) ya transit ya kwenda Zambia. Haya yana tax exemption.

Surveyor wa mzigo alikuwa kijana mmoja anaitwa ANDERSON kutoka Intertek. Akaenda kwenye meli akapima mzigo akaambiwa na wenye mzigo kuwa aandike kuwa ni JET A1 kwenye documents zake, ingawa mzigo ulikuwa ni diesel (GO), akaahidiwa dili ikishakamilika atapewa chake. Basi Anderson machale yakamcheza akaamua kutengeneza ducument set 2, moja akadiclare ule mzigo kuwa ni JET na nyingine kuwa ni GO.

Sasa kosa ambalo walilifanya hawakumuhusisha loading master wa pale manifold. Alipoambiwa afungue line ya kwenda oilcom, Yule mzee akafungua line ya JET ya kwenda OIL com. Sasa pale KOJ manifold kuna chujio za mafuta (Strainers) kwa ajili ya kila aina ya mafuta, na zina ukubwa tofauti kwaajili ya kuchuja mafuta. Mafuta yalipoanza kusukumwa, ile strainer ya JET ikaanza kupiga kelele yaani ikawa inapitisha mafuta kwa tabu.

Loading master akaamua kuangalia kwa nini inapiga kelele, akakuta mafuta yanayopita ni diesel tena ile diesel ya high sulphur (5000ppm). Akaita kwenye radio call, " We Anderson, hiyo mnayosukuma ni JET au DIESEL?", Hakuna mtu aliyejibu kenye radio, ikabidi pump za meli zizimwe washuke kwenye meli kwenda kuongea na loading master.

Sasa ile channel ya radio inayotumiwa kwa mawasiliano inasikiwa na watu wengi wakiwemo TRA, Usalama wa Taifa, Maofisa wa Bandari, n.k, baada ya kama nusu saa, watu zaidi ya 9 wakawa wamefika pale KOJ, wakiwemo maafisa wa usalama wa Taifa.

Kuona hivyo Underson akatoka na gari akakimbia, akamwacha Depot supervisor wa OILCOM, yule kijana wa oilcom ikabidi amtaarifu mzee ISLAM mwenyewe mwenye OILCOM kuwa kimesanuka. Ilikuwa ni Jumamosi, mzee Islam akaagiza watu wote walioenda kushuhudia ile saga waende OILcom, inavyosemekana kila mtu alipewa mil 80 cash palepale kwenye mifuko ya rambo. Na mzigo baadae ukashushwa kwenye line ya diesel.

Sasa ukiangalia wizi unaofanyika kwenye mafuta siyo wizi wa mafuta ila ni ukwepaji kodi, mafuta yanakuwa declared kama transit hayalipiwi ushuru ila yanauzwa local kwa bei ile ile. Na biashara hii ya kukwepa ushuru ilikuwa inasimamiwa na mwenyewe kamishna wa kodi ya forodha Bwana Masamaki.

Mafuta yakishaingiza kama transit yanatengenezewa document zote kuanzia za loading, Checkpoint zote za TRA, clearance ya Tunduma hadi upande wa pili wa boarder, na offloading documents na documents za ZRA(Zambia Revenue Authority). Na Bond clearance.

Hizi taarifa zote Usalama wa taifa wanazijua fika, kama Magufuli akitaka kusafisha, anatakiwa apate watu wa usalama wenye mtazamo kama wake. Laa sivyo, na wao watakuwa wanawashtua waalifu kwa meseji kama prof. Muhongo.

OIL COM ndio kinara.
Mkuu zis is not an absces it a payomyositis
 
Mkuu kikulacho umenena vyema, mwaka 2013, niliwah kuandka ripot pengine kuliko hii ikiwa na ushahidi wa kutosha katika mgodi mmoja ulioko maeneo ya kanda ya ziwa kuhusu wazungu wanavyoihadaa serikal kushrikian na mamlaka za kukusanya ushuru, kule mgodin madege makubwa yanatua na kuondka kila kuchwao, yakiondka na shehena kubwa ya mchango, jambo ambalo wenye dhamana wanalijua fika, yena wao ndo wa kuwasaidia wakwapuaji...
ripoti hiyo ambyo nilitumwa na mtu yuko wizaran kwa our own risk sikuona mafanikio wala kufatiliwa kwa namna yoyote ili, nlihishia kupata matatzo chungu nzima ikiwa ni pamoja na kuikimbia nchi yangu tanzania....
Hii nchi hiki katika hatua za mwsho kabsa kuelkea kuzimu, wasaliti ni wengi, nchi ya jichukulie kama unaweza...ila nna imani utafika muda tuseme yatosha.....
Viongozi peke yao hawawezi hii vita ni kubwa, bila kupepesa macho viongoz wetu wengi ni wahuni wasio na utu hata kulingana na punje moja ya haladali...nachelea kusema mungu anahitaji kusikia kilio chetu....
Mkuu PRINCEd ilete tena hiyo "report" hapa
 
Na anayefanya mchezo huu ni afisa wa TRA kitengo cha mafuta akishirikiana na kampuni husika. Kuna makampuni ambayo yamekubuhu kwa mchezo huo. Makampuni ya watu binafsi yakiongozwa na yanayomilikiwa na waarabu. OILCOM ndio kinara, Lake oil, World oil, CAMEL Oil, etc.
Mkuu Ritz , hebu njoo haraka huku umjibu na huyu anayeleta vijiabari vya kuokoteza kwenye vijiwe vya ghahawa uhusu kampuni pendwa!
cc: FUHRER
 
natoa wito kwa wengine wenye uzalendo kama ndugu FUHRER najua wapo wengi humu ndani wajitokeze na kutoa taarifa nyeti na mhimu kama hizi maana ziko nyingi na kila sekta si bandarini tu.
 
hapa napata jibu kuwa waziri mkuu alienda pale koj
akiwa hajui undani wa hili jambo sio????????????
 
Katika hii michezo makampuni ya clearing nayo yanahusika sana haya yabanwe sana!
Halafu hii michezo ya importer kuwa na self clearing company ya mizigo yake nayo ni tatizo kubwa sana
Wanaiba na kukwepa kodi kadri wanavyojisikia.
Serikali ipige marufuku
 
Sasa ile channel ya radio inayotumiwa kwa mawasiliano inasikiwa na watu wengi wakiwemo TRA, Usalama wa Taifa, Maofisa wa Bandari, n.k, baada ya kama nusu saa, watu zaidi ya 9 wakawa wamefika pale KOJ, wakiwemo maafisa wa usalama wa Taifa.

Kuona hivyo Underson akatoka na gari akakimbia, akamwacha Depot supervisor wa OILCOM, yule kijana wa oilcom ikabidi amtaarifu mzee ISLAM mwenyewe mwenye OILCOM kuwa kimesanuka. Ilikuwa ni Jumamosi, mzee Islam akaagiza watu wote walioenda kushuhudia ile saga waende OILcom, inavyosemekana kila mtu alipewa mil 80 cash palepale kwenye mifuko ya rambo. Na mzigo baadae ukashushwa kwenye line ya diesel.

Sasa ukiangalia wizi unaofanyika kwenye mafuta siyo wizi wa mafuta ila ni ukwepaji kodi, mafuta yanakuwa declared kama transit hayalipiwi ushuru ila yanauzwa local kwa bei ile ile. Na biashara hii ya kukwepa ushuru ilikuwa inasimamiwa na mwenyewe kamishna wa kodi ya forodha Bwana Masamaki.
weka majina tafadhari ya maafisa hao tisa na wengineo ili wngi wapate faida ya taarifa zako.
 
Taarifa kama hizi ni muhimu zikafanyiwa kazi na wahusika
wahusika gani?????????
wakati watu wameweka pamba maskioniiiii wakiamini kuwa wanajua kila jambo
kwanza wabadili mmfumo wa mawazr upyaaaaa
mawazr wenywe ndo wanahusika akina muongo,then wanawakumbatiaaaaa
unategemea nn mkuu
 
Nimekupata mkuu, Hii nchi narudia kusema kama magufuli nia yake nchi ikae sawa.fukuza TRA wote maafisa na pale TPA ondoa kabisa kizazi cha panya tuanze upya tu,lakini kuondoa mmoja mmoja wakati walioshika system ni wale wale tunacheza tu
kweli kaka....tatzo anajifanya anataka kusafisha kwa kutumia watu walewaleeeeeeee
hawez kufanikiwa kamweeee
mwshowe ndokma hivyo wazr anawashtua wezi
 
Narudia tena kinachohitajika katika hii nchi sio Magufuli imara bali ni mifumo imara, Magufuli atapita ila mifumo itadumu milele! Kama Magu ana nia ya kweli na hii nchi arudishe katiba ya Mzee warioba itamaliza haya yote.
 
Nikisoma habari kama hizi naumia sana,imagine mtu mmoja anapewa mil. 80 za kumfunga mdomo!!!!
Najuta kuzaliwa Tanzania,Nchi ya wachache!
Wengine ni vile tumejikuta tumeshazaliwa Tanzania,hakuna namna nyingine!
Mkuu 80 m duu hata jpm angechukua hzo chezea pesa
 
Shukrani kwa taarifa.Ulinzi wa mali ya umma na mapato ya umma ni wa kila mtanzania na kila mzalendo.Umefanya kazi ya muhimu na ya kizalendo mtanzania mwenzetu shukrani.
Unamushukuru lakini unamuhakikishiaje usalama wake kwa taarifa nyeti kama hizi?
 
Ndio baadhi ya watanzania wamekuwa na kiburi sana cha pesa, serikali yetu imeibiwa sana na wafanyabiashara hasa wa mafuta wa asili ya kiasia. Mhe Magufuli pamoja na kazi nzuri anayoifanya ni lazima sasa aanze kushughulikia mifumo ya kisheria na taratibu za ukusanyaji kodi za nchi.
oilcom wanawe wote wanamiliki RANGE ROVERS
NA waume wa wanawe woteeeeee
jamaa anahela vibaya,,....
range kma 100 hivi new models gari moja ni $179990,...kumbe kodi zetu.......
alafu wanajeuri ile mbaya hawa waarabu
RR_Sport2.jpg
 
Kwa hiyo unashauri watu wanaojua madhambi mbalimbali wasiseme watulie tuu kwa vile JPM na Majaliwa wanajua kila kitu sio? Sasa kama wanajua kila kitu kwa nini suala la matumizi ya mita za mafuta na bomba mchepuko wamelikalia kimya Siku 100 toka waingie madarakani? Ni hasara kiasi gani imetokea kwa siku hizo zote?
Acheni kuwakatisha tamaa watu wenye nia njema kwa kufanya kila kitu ni siasa za mbwembwe hapa. Ili kujenga nchi yetu sote watu wa aina ya mleta mada sio wakukatisha tamaa bali wa kuenziwa kama tunavyo enzi watu wanaokamata silaha.

.....

.....huyo ni limbukeni Mkuu msamehe
 
Mkuu kikulacho umenena vyema, mwaka 2013, niliwah kuandka ripot pengine kuliko hii ikiwa na ushahidi wa kutosha katika mgodi mmoja ulioko maeneo ya kanda ya ziwa kuhusu wazungu wanavyoihadaa serikal kushrikian na mamlaka za kukusanya ushuru, kule mgodin madege makubwa yanatua na kuondka kila kuchwao, yakiondka na shehena kubwa ya mchango, jambo ambalo wenye dhamana wanalijua fika, yena wao ndo wa kuwasaidia wakwapuaji...
ripoti hiyo ambyo nilitumwa na mtu yuko wizaran kwa our own risk sikuona mafanikio wala kufatiliwa kwa namna yoyote ili, nlihishia kupata matatzo chungu nzima ikiwa ni pamoja na kuikimbia nchi yangu tanzania....
Hii nchi hiki katika hatua za mwsho kabsa kuelkea kuzimu, wasaliti ni wengi, nchi ya jichukulie kama unaweza...ila nna imani utafika muda tuseme yatosha.....
Viongozi peke yao hawawezi hii vita ni kubwa, bila kupepesa macho viongoz wetu wengi ni wahuni wasio na utu hata kulingana na punje moja ya haladali...nachelea kusema mungu anahitaji kusikia kilio chetu....
Tuwe na imani japo kidogo 2013 ni tofauti 2016. Mi nafikiri tuwape ushirikiano viongozi wetu naamini watayafanyia kazi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom