Ushirikina katika ngono na Manii

Basi mazee mi sijui kama nimepona maana yote nshafanyiwa hapa nilipo najiona tayari inanihusu sa sijui ntatokaje,
 
Mshana umeongea jambo ambalo watu wengi hawaamini lakini ukweli ni kwamba mambo haya yapo. Kuna wanawake hasa hawa wanaojiuza ambao kazi yao kubwa ni kukusanya manii za wanaume na kuzipeleka katika ulimwengu wa giza.
Tizama video hii kusikia zaidi kutoka kwa dada aliyefanya kazi hio


 
Ndipo unapoambiwa USIZINI sio kwamba unanyimwa starehe.
Ni kwa faida yako, na usalama wako.
 
uyu jamaa anawashikaga kichizii
Sio,
Anatueleza bayana yale mambo ambayo wenzetu mnajifunza kwenye Lorge zenu na mnayafanya kuwa siri kuu ya mtawala wenu.
Kila anachosema mshana jr, ni sahihi na hata wewe unajua kuwa ni sahihi.
Mda umefika ambao yote mnayofanya katika giza yataonekana wazi kwenye NURU.
Hakuna wa kuzuia hivyo kwani NENO la Mungu limeshaweka bayana.
Saa hiyo sio muda mwingine bali ni sasa.
Na kuendelea.
 
Mshana akiwa katika ubora wake uliopitiliza kiwango teh teh
 
Ninafikiri hawa watu wanaoshindilia wengine risasi kama waliompiga Lisu na kule Kibiti ni watu wa uzao wa kishirikina. Mimba zao zilitungwa kwa ushirikina. Hakuna mtu mwenye akili nzuri anaweza kummiminia mtu risasi nyingi kiasi hicho. Ninawashauri watu hata kama huna mtoto acha kwenda kwa waganga maana watoto utakaopata huko ni majuto. Mwombe Mungu atakupatia mtoto ambaye hatakutesa mbeleni.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]
 
Anawadanganya tu Huyu!
 

Mkuu njoo kijijini kwetu useme hayo maneno kama hujajikuta umelala chooni,,
Uchawi upo lkn wewe upotezee tu usiuwamini wala usiufatilie
Hawa ma wizard hawajaribiwi Mkuu
Kuna mtu alisema hayo hayo maneno asubuhi akajikuta kaamkia Toilet
Tangia siku hio alifungasha virago vyake na kusepa jumla[emoji1321]
 
Acha imani potofu hakuna uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…