Ushirikina katika ngono na Manii

Ushirikina katika ngono na Manii

Single mothers??? Kwani kuna mtoto mwenye double mothers au tripple mothers??
Mie nadhani ulitaka kumaanisha single parent!"😕😳🙄😡😡😡😡
Asante sana kwa marekebisho nitarekebisha hiyo sentence, maana yangu ilikuwa hiyo... Thanks again!!
 
1453173265639.jpg
 
Uchawi haupo na hakuna kitu kama hicho duniani.

Nashangaa humu watu wanajadili vitu ambavyo havipo, uchawi haupo na haujawahi kuwepo.

Nishawambia watu wanaodaiwa kua ni wachawi na waganga waniroge sijawahi kuonanimeroheka,kuna mwingine niliwahi kumpiga makofi nikamwambia akaniroge sijawahi kuona. Uchawi haupo.

Kama kuna mtu humu anadhani yeye ni mchawi akaniroge nimemruhusu.
 
lost id unaamini katika imani gani..? Naomba twende taratibu ili tuweze kuelimishana, sitaki nikulazimishe kuamini ninachoamini au vice versa la hasa nia ni kuelimishana
 
kwanini wanaroga..?
hao wachawi wakishakuroga wanapata faida gani..?
na la mwisho nini chanzo cha hizo nguvu za kichawi..?
 
Kuroga kwingi hakuna faida yoyote zaidi ya kukomoana kulipiza visasi roho mbaya wivu Chuki kijicho roho ya kwanini na upuuzi mwingine mwingi tu
 
okay sa nini chanzo cha hizo nguvu za kichawi..?
 
Uchawi haupo na hakuna kitu kama hicho duniani.

Nashangaa humu watu wanajadili vitu ambavyo havipo, uchawi haupo na haujawahi kuwepo.

Nishawambia watu wanaodaiwa kua ni wachawi na waganga waniroge sijawahi kuonanimeroheka,kuna mwingine niliwahi kumpiga makofi nikamwambia akaniroge sijawahi kuona. Uchawi haupo.

Kama kuna mtu humu anadhani yeye ni mchawi akaniroge nimemruhusu.
Hiki ulichoandika inaonyesha Tayari umesharogwa.....
 
Back
Top Bottom