Ushirikina katika ngono na Manii

Ushirikina katika ngono na Manii

Mkuu@Mr Nzoka umepita mlemle nilimopita mimi....Kuna mchepuko.....ulinieletea matatizo makubwa....kitu sikujua kumbe ile Familia niyakichawi Completely...
.Anaishi MKOA ikatokea siku nimekwenda kulala nae nikataka kuvaa jezi ikashindikana nikajipa Moyo nitamwagia nje nahiyo nilijitahidi lkn aliyapata matone akayatumbukiza huko.....baada km ya mwezi akaniambia anamimba yangu lkn nisihusike kwa chochote...Ninavyokwambia dogo sijawahi kumuona kwa macho naishia kumuona kwa picha tens baada ya kutumia mbinu zaKiitejensia......Kuanzia pale niliharibikiwa sana...Nakitu ambacho nikawa sijui unapokuwa umezaa kwenye Familia yakichawi wakitaka kukuroga hawasumbuki naww wanamalizana na dogo hiyo Kitu imenitaabisha sana hadi nilipopata ufumbuzi wa hiyo kitu sina Lugha nzuri yakueleza ndiomaana humu zinapokuja mada zinazohusu mambo ya ulimwengu wa Giza then mtu anapinga mimi nadhani huyo ni mchawi hapendi wengine wajue siri zao
 
Uchawi haupo na hakuna kitu kama hicho duniani.

Nashangaa humu watu wanajadili vitu ambavyo havipo, uchawi haupo na haujawahi kuwepo.

Nishawambia watu wanaodaiwa kua ni wachawi na waganga waniroge sijawahi kuonanimeroheka,kuna mwingine niliwahi kumpiga makofi nikamwambia akaniroge sijawahi kuona. Uchawi haupo.

Kama kuna mtu humu anadhani yeye ni mchawi akaniroge nimemruhusu.
Mshukuru sana Mungu kwa kukupa ulinzi wa kipekee
 
Alizaliwa kwa lengo maalum la kuja kusulubisha familia yako kishirikina... Hakuna jinsi zaidi ya kuomba Neema na Rehema za mwenyezi Mungu akunusuru na hili janga linalokunyemelea
Asante kaka,ebu fikiria mtoto ana 4yrs na bado hajaanza chechekea kila nikiuliza kwa nini hajaanza wanadai ataanza na hawahitaji msaada wangu wa kumpeleka shule
 
Mkuu@Mr Nzoka umepita mlemle nilimopita mimi....Kuna mchepuko.....ulinieletea matatizo makubwa....kitu sikujua kumbe ile Familia niyakichawi Completely...
.Anaishi MKOA ikatokea siku nimekwenda kulala nae nikataka kuvaa jezi ikashindikana nikajipa Moyo nitamwagia nje nahiyo nilijitahidi lkn aliyapata matone akayatumbukiza huko.....baada km ya mwezi akaniambia anamimba yangu lkn nisihusike kwa chochote...Ninavyokwambia dogo sijawahi kumuona kwa macho naishia kumuona kwa picha tens baada ya kutumia mbinu zaKiitejensia......Kuanzia pale niliharibikiwa sana...Nakitu ambacho nikawa sijui unapokuwa umezaa kwenye Familia yakichawi wakitaka kukuroga hawasumbuki naww wanamalizana na dogo hiyo Kitu imenitaabisha sana hadi nilipopata ufumbuzi wa hiyo kitu sina Lugha nzuri yakueleza ndiomaana humu zinapokuja mada zinazohusu mambo ya ulimwengu wa Giza then mtu anapinga mimi nadhani huyo ni mchawi hapendi wengine wajue siri zao
Yaa ni kweli ukiona mtu anapinga ujue ni mchawi +++
 
Dolevaby,pole mkuu aisee humu duniani kuna majanga ya hatari sana,kweli ushirikina upo but ukitaka uishi kwa amani ni kujifanya km haupo coz ukiuweka rohoni kila kitendo kinachotokea kwako utahisi ulozi
 
Nikweli ila usipuuze kwa mfano mada kama hizi zinapokuja watu hawatakiwi kupuuza mimi niliangamia sababu sikuwana Taarifa zakutosha kuhusu ulimwengu wa giza unavyofanyakazi na Makuhani wake wanavyotumikia acha kabisa ndg....Unavyoona walokole wanavyokomaa kumtukuza MUNGU wa KWELI ndio na mawakala wa shetani walivyo Serious kumuabudu....!! Pia mikosi mingine watu wanaipata kupitia kuzini kile kitendo cha kumwaga mbegu ubafanya AGANO na miungu ya huyo unaezini nae...sasa kama Mungu wako hana nguvu basi miungu ya huyo unaezini nae itakutaabisha sana...zile manii ni Damu na Agano lolote lazima lihusishe Damu....hii kitu pia nikawa siijui kuvamiavamia wanawake nikujiunga na miungu mingine
Nihatari sana...watu wanajiona wajanja kuzini lkn kwenye ulimwengu wa Roho ni hatari sana
 
Wakikujua watahakikisha unalewa chakari ili usahau
m
kuu kuna mke nilioa mwaka jana nimempa talaka yeye alikuwa wa dizaini hiyo ila nimempa talaka baada ya mwezi mmoja wa ndoa.kuna wakati aliniambia ooh tufanye mapenzi wewe ukojoe ila mimi sitaki kukojoa.nikaja stuka kumbe anataka manii zangu.umenipiga usoni kabisa
 
Back
Top Bottom