Ushirikina katika ngono na Manii

Ushirikina katika ngono na Manii

Basi mazee mi sijui kama nimepona maana yote nshafanyiwa hapa nilipo najiona tayari inanihusu sa sijui ntatokaje,
 
Mshana umeongea jambo ambalo watu wengi hawaamini lakini ukweli ni kwamba mambo haya yapo. Kuna wanawake hasa hawa wanaojiuza ambao kazi yao kubwa ni kukusanya manii za wanaume na kuzipeleka katika ulimwengu wa giza.
Tizama video hii kusikia zaidi kutoka kwa dada aliyefanya kazi hio

Nikweli ila usipuuze kwa mfano mada kama hizi zinapokuja watu hawatakiwi kupuuza mimi niliangamia sababu sikuwana Taarifa zakutosha kuhusu ulimwengu wa giza unavyofanyakazi na Makuhani wake wanavyotumikia acha kabisa ndg....Unavyoona walokole wanavyokomaa kumtukuza MUNGU wa KWELI ndio na mawakala wa shetani walivyo Serious kumuabudu....!! Pia mikosi mingine watu wanaipata kupitia kuzini kile kitendo cha kumwaga mbegu ubafanya AGANO na miungu ya huyo unaezini nae...sasa kama Mungu wako hana nguvu basi miungu ya huyo unaezini nae itakutaabisha sana...zile manii ni Damu na Agano lolote lazima lihusishe Damu....hii kitu pia nikawa siijui kuvamiavamia wanawake nikujiunga na miungu mingine
Nihatari sana...watu wanajiona wajanja kuzini lkn kwenye ulimwengu wa Roho ni hatari sana
Ndipo unapoambiwa USIZINI sio kwamba unanyimwa starehe.
Ni kwa faida yako, na usalama wako.
 
uyu jamaa anawashikaga kichizii
Sio,
Anatueleza bayana yale mambo ambayo wenzetu mnajifunza kwenye Lorge zenu na mnayafanya kuwa siri kuu ya mtawala wenu.
Kila anachosema mshana jr, ni sahihi na hata wewe unajua kuwa ni sahihi.
Mda umefika ambao yote mnayofanya katika giza yataonekana wazi kwenye NURU.
Hakuna wa kuzuia hivyo kwani NENO la Mungu limeshaweka bayana.
Saa hiyo sio muda mwingine bali ni sasa.
Na kuendelea.
 
Mojawapo wa vizazi vya duniani ni kizazi cha wachawi washirika na walozi..... Hii ni jamii inayofanya kila mbinu kujitanua na kujijengea himaya kubwa na yenye nguvu zaidi duniani
Kwenye ulimwengu wa kishirikina, mchawi mzuri na wa uhakika si yule wa kurithishwa au kufunzwa duniani (kwenye post zilizopita tumeona kuna vyuo vya kishirikina) hawa wanakuwa si halisi hawa wana damu na makandokando ya kiimani na starehe za kidunia, kwahiyo wachawi hufanya kila aina ya mbinu kupata kizazi chao kisichochakachuliwa kwa njia zifuatazo
1: kutumia wanawake wanaojiuza, vyovyote ufanyavyo ukifanya naye ngono kwa kondom au bila kondom lazima manii zako utaziacha... Kujiokoa na hili tumia kondom kisha ukimaliza kufanya dhambi zako katupe chooni usikubali yeye ndio afanye hiyo kazi itakula kwako

2: kutumia mahawara na nyumba ndogo wanaopenda kwenda kwa waganga... Yeye atatumwa manii zako ili atengenezewe dawa kumbe ndio watu wanazichukua wakafanyie yao

3: kupenda kujichua, mara nyingi hii watu hufanyia bafuni kule nako watu huweka mtego yao na kuchukua malighafi ....na hii mara nyingi ni kwa wale watu wazima
4:ndoto nyevu na kuota unafanya mapenzi mpaka unatoa manii kabisa, hii mara nyingi huwatokea wale Wenye kuleta nyodo kwa wanawake na kujisikia kulikopitiliza

Manii hizi huchanganywa na madawa na kwa njia za kishirikina huwekewa wanawake wenye mimba changa au mimba zinazotunga na kulea mimba ya kichawi mpaka mtoto anazaliwa akiwa mchawi, mtoto wa namna hii huwa agent tangu kuzaliwa kwahiyo hata ahubiriweje hawezi kubadilika
Jiepushe na haya kwa:
-Kuwa na mwenza mmoja mwaminifu
-kuhifadhi manii zako vizuri kwa namna yoyote ile na kwa hali yoyote ile, hakikisha haziangukii mikononi mwa yeyote
-epuka uwezavyo kufanya masturbation na kufanya mapenzi na watu usiowafahamu
Kwa njia hii utasaidia mno kudhoofisha kizazi cha kichawi na kishirikina
Mshana akiwa katika ubora wake uliopitiliza kiwango teh teh
 
Ninafikiri hawa watu wanaoshindilia wengine risasi kama waliompiga Lisu na kule Kibiti ni watu wa uzao wa kishirikina. Mimba zao zilitungwa kwa ushirikina. Hakuna mtu mwenye akili nzuri anaweza kummiminia mtu risasi nyingi kiasi hicho. Ninawashauri watu hata kama huna mtoto acha kwenda kwa waganga maana watoto utakaopata huko ni majuto. Mwombe Mungu atakupatia mtoto ambaye hatakutesa mbeleni.
 
Anawadanganya tu Huyu!
 
Uchawi haupo na hakuna kitu kama hicho duniani.

Nashangaa humu watu wanajadili vitu ambavyo havipo, uchawi haupo na haujawahi kuwepo.

Nishawambia watu wanaodaiwa kua ni wachawi na waganga waniroge sijawahi kuonanimeroheka,kuna mwingine niliwahi kumpiga makofi nikamwambia akaniroge sijawahi kuona. Uchawi haupo.

Kama kuna mtu humu anadhani yeye ni mchawi akaniroge nimemruhusu.

Mkuu njoo kijijini kwetu useme hayo maneno kama hujajikuta umelala chooni,,
Uchawi upo lkn wewe upotezee tu usiuwamini wala usiufatilie
Hawa ma wizard hawajaribiwi Mkuu
Kuna mtu alisema hayo hayo maneno asubuhi akajikuta kaamkia Toilet
Tangia siku hio alifungasha virago vyake na kusepa jumla
 
Mojawapo wa vizazi vya duniani ni kizazi cha wachawi washirika na walozi..... Hii ni jamii inayofanya kila mbinu kujitanua na kujijengea himaya kubwa na yenye nguvu zaidi duniani
Kwenye ulimwengu wa kishirikina, mchawi mzuri na wa uhakika si yule wa kurithishwa au kufunzwa duniani (kwenye post zilizopita tumeona kuna vyuo vya kishirikina) hawa wanakuwa si halisi hawa wana damu na makandokando ya kiimani na starehe za kidunia, kwahiyo wachawi hufanya kila aina ya mbinu kupata kizazi chao kisichochakachuliwa kwa njia zifuatazo
1: kutumia wanawake wanaojiuza, vyovyote ufanyavyo ukifanya naye ngono kwa kondom au bila kondom lazima manii zako utaziacha... Kujiokoa na hili tumia kondom kisha ukimaliza kufanya dhambi zako katupe chooni usikubali yeye ndio afanye hiyo kazi itakula kwako

2: kutumia mahawara na nyumba ndogo wanaopenda kwenda kwa waganga... Yeye atatumwa manii zako ili atengenezewe dawa kumbe ndio watu wanazichukua wakafanyie yao

3: kupenda kujichua, mara nyingi hii watu hufanyia bafuni kule nako watu huweka mtego yao na kuchukua malighafi ....na hii mara nyingi ni kwa wale watu wazima
4:ndoto nyevu na kuota unafanya mapenzi mpaka unatoa manii kabisa, hii mara nyingi huwatokea wale Wenye kuleta nyodo kwa wanawake na kujisikia kulikopitiliza

Manii hizi huchanganywa na madawa na kwa njia za kishirikina huwekewa wanawake wenye mimba changa au mimba zinazotunga na kulea mimba ya kichawi mpaka mtoto anazaliwa akiwa mchawi, mtoto wa namna hii huwa agent tangu kuzaliwa kwahiyo hata ahubiriweje hawezi kubadilika
Jiepushe na haya kwa:
-Kuwa na mwenza mmoja mwaminifu
-kuhifadhi manii zako vizuri kwa namna yoyote ile na kwa hali yoyote ile, hakikisha haziangukii mikononi mwa yeyote
-epuka uwezavyo kufanya masturbation na kufanya mapenzi na watu usiowafahamu
Kwa njia hii utasaidia mno kudhoofisha kizazi cha kichawi na kishirikina
Acha imani potofu hakuna uchawi.
 
Back
Top Bottom