Aisee kaka Mshana,Mimi ni mdau sana wa jamii forum ila ni mdau msomaji tu hasa
Post zako uwa nazitafuta kila cku nizisome but hii mada imenilazimu kuchangia,aisee hiyo issue naamini ni kweli kabisa nina mf wangu hapa chini;
-Kipindi wife wangu km miaka minne ilopita akiwa mjamzito ilitokea akanichukia ghafla kiasi cha kukosa huduma ile muhimu kwa muda mrefu kadhaa,(eti mimba ilinikataa)hali yangu ilikuwa mbaya sana kwangu nikaamua kutafuta mbadala nje ya uwanja(mchepuko),ebwanae yule mdada tulianza mambo km marafiki na mara zote nilijitahid kutumia kinga(kondom)pia alijua kabisa nina wife tena mjamzito.Nashangaa sk moja nikiwa cjielewi japo nilikuwa nimetia bia kadhaa tukiwa ktkt ya sex ile wadudu wanakuja akachomoa kondom na kufanya manii yazame kwake,sikuwa na jinsi(nadhan kila mtu anajua hali iliyopo ukiwa ktk harakati za kumwaga wazungu,huna maamuzi).Kitendo hicho kilinikera na hatukuendelea tena na mahusiano but baada ya km mwezi akanitumia ujumbe kuwa tayari ni mjamzito na kuanza kunipa masharti kuwa mimba ile ni yangu but nisahau kabisa km nshawah kumpa mimba na kamwe nisimwambie ndugu yangu yeyote.Sasa mtoto amezaliwa binti nikapata bahati kumwoona na hakika anafanana na wanangu home lakini mama hataki kabisa niwe na mazoea na mwanangu.Sasa cha ajabu mtoto anaishi na bibi yake wakati mama kaolewa na jamaa mwingine,kila nikiangalia tabia za huyu binti c za kawaida na nimejarbu nimnasue kutoka kwa bibi imekuwa ngumu nahsi km mwanangu anaweza kuwa target ya KISHIRIKINA kwan ht historia ya mama na bibi huyu naioona km haileweki!!Pamoja na kukazia Uzi wa Mshana naombeni pia ushauri wa kumwokoa mwanangu kwan hawataki nimsaidie kwa namna yoyote na 4yrs now.Naomba pia mniwie radhi wapendwa kwan Mimi si mwandishi mzuri ndo maana uwa napenda kusoma sana post zenu wapendwa