Lugha za utetezi tu hizo hakuna uchawi ni story za kubuni tu hazijawahi kuthibitishwa mpk Leo.Sio kosa lako kwakuwa hata nikikuuliza imani ni ninini hutaweza kujibu
Naomba nikusaidie uelimike! Ithibati ziko kwenye mambo ya kisayansi... Ukitaka ithibati kwenye mambo ya kiroho unafaa kupimwa akiliLugha za utetezi tu hizo hakuna uchawi ni story za kubuni tu hazijawahi kuthibitishwa mpk Leo.
Ukitaka kujua kwa kuona kama uchawi upo nenda kaangalia michezo ya Mazingaombwe.Lugha za utetezi tu hizo hakuna uchawi ni story za kubuni tu hazijawahi kuthibitishwa mpk Leo.
Uwongo mtupu mazingaombwe ni game of tricks usipogundua trick utaona ni uchawi lkn ukielekezwa utaelewa.Ukitaka kujua kwa kuona kama uchawi upo nenda kaangalia michezo ya Mazingaombwe.
Mazingaombwe yako ya aina mbili.
Trick hapa utaona matendo ya ujanjaujanja ya kuburudisha watu.
Magic tricks, hili neno lipo kwa waliofanya utafiti kwa muda mrefu na likatoa matokeo chanya.
Hapa ndipo utaona uchawi dhahili tena hadharani, yaani mwenyewe unapewa fimbo au kamba, unaambiwa weka kwenye box kubwa ambalo unajiridhisha kuwa hakuna kitu ndani yake, na unalifunika, halafu unambiwa lifunue na fimbo ukiwa mbali, hilo Joka linalotoka humo ni kubwa linalojaa kwenye hilo box, kabla ya kufunua kwanza unaona box linakitu kinacho pumua.
Ivi ni kweli hujawahi hata kuhudhuria michezo ya Mazingaombwe kweli ? au ndo ni ubishi tu.
Ref. Fimbo iliyogeuka Nyoka ya Nabii Musa na Wachawi wa Misri.
Kutoka 7 : 8 - 13.
KunaUwongo mtupu mazingaombwe ni game of tricks usipogundua trick utaona ni uchawi lkn ukielekezwa utaelewa.
Hata ndege kupaa hewani ni kama uchawi kwa watu wengine lkn wataalam wanajua wamefanya nini. Hakuna uchawi duniani na kamwe hautakuwepo ni fabricated stories tu kama za nguva sijui mtu mwenye miguu ya kwato mara binti anayezima taa ukutani kwa mkono unaostretch n.k.
Hakuna uchawi period.Kuna
Tricks hizo unazosema
Na
Magic Tricks
Kwani wewe neno Magic unalielewaje ?
Ivi hata kamusi ya lugha huna ?
Jamani tuanze tena kufundishana A E I O U humu ?
Hilo neno "UCHAWI" ulivyozaliwa umelikuta likitumiwa na watu wa jamii zote dunia nzima.Hakuna uchawi period.
Utafiti my foot.Hilo neno "UCHAWI" ulivyozaliwa umelikuta likitumiwa na watu wa jamii zote dunia nzima.
Maneno yote unayoyasoma sasa na unayoyatumia yamefanyiwa utafiti mahili na kuaminika kuwa yanawakilisha jambo ambalo lipo katika jamii za dunia nzima toka zamani za mababu zetu.
Sasa wewe unakuja leo toka Matogoro Songea, unaanza kuyakataa maneno uliyoyayokuta bila kufanya utafiti unaokubalika na unataka tukuamini.
Usiwe unaweka udhaifu wako hadharani namna hii.
Nani aanze post habari za manii hadharani? Hiyo kazi anaiweza Mshana tu.Somo hili lingekua published au kutumwa kwenye groups za watsup zingepunguza waume zetu kuchepuka.