Ushirikina katika ngono na Manii

Ushirikina katika ngono na Manii

Nzuri hii.

Thread ya Live Kutoka kuzimu- Rabbon iliangazia hili.

Kwamba punyeto husababisha watoto wa kichawi kuumbwa, nusu mtu nusu Pepo,nusu mtu nusu shetani nk nk.

Kuzini na mwanamke, au kufanya USHOGA, ni hatari Kwa maisha sana katika siku hizi za mwisho.

Tubaki njia kuu.
Kuzini na mwanamke, au kufanya USHOGA, ni hatari Kwa maisha sana katika siku hizi za mwisho
 
Mkuu@Mr Nzoka umepita mlemle nilimopita mimi....Kuna mchepuko.....ulinieletea matatizo makubwa....kitu sikujua kumbe ile Familia niyakichawi Completely...
.Anaishi MKOA ikatokea siku nimekwenda kulala nae nikataka kuvaa jezi ikashindikana nikajipa Moyo nitamwagia nje nahiyo nilijitahidi lkn aliyapata matone akayatumbukiza huko.....baada km ya mwezi akaniambia anamimba yangu lkn nisihusike kwa chochote...Ninavyokwambia dogo sijawahi kumuona kwa macho naishia kumuona kwa picha tens baada ya kutumia mbinu zaKiitejensia......Kuanzia pale niliharibikiwa sana...Nakitu ambacho nikawa sijui unapokuwa umezaa kwenye Familia yakichawi wakitaka kukuroga hawasumbuki naww wanamalizana na dogo hiyo Kitu imenitaabisha sana hadi nilipopata ufumbuzi wa hiyo kitu sina Lugha nzuri yakueleza ndiomaana humu zinapokuja mada zinazohusu mambo ya ulimwengu wa Giza then mtu anapinga mimi nadhani huyo ni mchawi hapendi wengine wajue siri zao

Hahahaha😂😂😂
Kaka unajua kwa uchache nilichopitia n8takutafuta nikumalizie mkasa ulivyokuwa shortly nilishazikwa kaka tena nilizikwa na jeneza dah kaka uchawi upo hawa kenge hawa Sio wazuri
 
Mkuu naomba kujua vipi ukila tope la mwanamke( utakuww umenielewa hapa) nayo inahesabika kama umefanya USHOGA????
Tope ni mojawapo Kati ya dhambi chafu kabisa ambayo hata shetani huikimbia! Lakini kwa dunia ya leo ni nani msafi?
Uchafu ni najisi ukishakuwa najisi pepo lolote baya ni rahisi kukuvamia
 
Kaka unajua kwa uchache nilichopitia n8takutafuta nikumalizie mkasa ulivyokuwa shortly nilishazikwa kaka tena nilizikwa na jeneza dah kaka uchawi upo hawa kenge hawa Sio wazuri
Dah pole sana hata hivyo tumepotezana muda sasa
 
Nifafanulie japo nimechelewa mno kuiona hii
Huyu mtu alilogwa na baba yake mzazi ili aharibikiwe kabisa kimaisha na ikibidi afe kabisa,ila Mungu akalinda uhai wake, lakini kimaisha/kiuchumi ameharibikiwa sana .Alipoteza kazi nzuri,marafiki wazuri wote,uwezo aliokuwa nao kabla,heshima pamoja na upendo.
Hali hii imemkuta tangu mwaka 2004 hadi sasa anaishi nayo.amehangaika kutafuta suluhisho/tiba,hajafanikiwa,isipokuwa anaambiwa tu chanzo cha tatizo na aliyemfanyia hivyo.Huyo baba yake amefariki mwaka huu July mwishoni.
Hivi kuna kupona tena hapo mkuu?
Hakuwahi kumkosea baba yake kwa namna yoyote,badala yake alimwomba radhi,kama aliwahi kumkosea kwa namna yoyote ile na ana kinyongo naye,basi amwie radhi yaishe [ilikuwa 2012],alikataa kuwa hana tatizo naye.ila ni hali ya dunia tu,itaisha.Sasa huyo mzee amekufa na huyu ndugu ajapata ufumbuzi,hii imekaaje ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom