mutu ya watu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2010
- 213
- 41
Je kuna madhara nitapata wakisha chukua manii ya ngu ,ndugu mshana jr
Mkuuu we nae umo nini?Kwani mimi mlozi?
Kama alikuwa na nia ya kukudhuru kwa njia yoyote ile kupitia manii hashindwi ila usiogope sana kama ni mtu wako wa karibu na mnapendanamshana jr nilikua na mchepuko sasa siku moja kaja geto ndani ya kufanya mambo nilitumia kondom baada ya kumaliza shughili pevu kumbe kondom ilifyatuka so mi sikujua yeye akaenda kuoga
Kidume mimi nikaanza kuitafuta wapi imedondokea
Duuh nikafunua mshuka nikainua godoro na kitanda sikuiona kabsa mi nikapotezea akaondoka
Baadae nammuliza vipi ile mambo mnona siioni akasema kawaida tu mi nilishtuka kwa sababu niliogopa asije kupata kansa but sikutilia maanani saana
Nikapotezea tu.
Sasa nakuta na hii uzi imenibidi nishtuke na kuogopa sana nikivuta kumbukumbu.
Je anaweza kutumia kwa ajili ya kumshika mwanaume coz sijielew
Je anaweza kutumia kama limbwata.
Je anaweza kutumia kumgeuza awe bushoke
Je anaweza kuniathili kwa njia yoyote.
Msaada tafadhali.
Kama alikuwa na nia ya kukudhuru kwa njia yoyote ile kupitia manii hashindwi ila usiogope sana kama ni mtu wako wa karibu na mnapendana
Hawa watoto wenye single parent wengi ni wahanga wa haya mambo ndio maana nimetahadharisha kuhusu vimada na nyumba ndogo
mkuu yaonekana unaelewa sana , naruhusiwa kuuliza na mengine zaidi nje ya mada hii?Kumuangukia Mungu tuu
mkuu..Habari za kitamboKumuangukia Mungu tuu
Hao hawajafa kifo cha asili bali wako hai lakini wamefishwamkuu..Habari za kitambo
hivi ile hali ya wanawake kuota wananyonyesha wakati watoto wamefariki na akishtuka anakuta chuchu zimelowa, au wadada wanatoa mimba changa mno lakin anatoka maziwa ina connection hapa??
solution ni nin katika hili??Hao hawajafa kifo cha asili bali wako hai lakini wamefishwa
Uchawi haupo na hakuna kitu kama hicho duniani.
Nashangaa humu watu wanajadili vitu ambavyo havipo, uchawi haupo na haujawahi kuwepo.
Nishawambia watu wanaodaiwa kua ni wachawi na waganga waniroge sijawahi kuonanimeroheka,kuna mwingine niliwahi kumpiga makofi nikamwambia akaniroge sijawahi kuona. Uchawi haupo.
Kama kuna mtu humu anadhani yeye ni mchawi akaniroge nimemruhusu.