Kila nionapo Username yako namkumbuka Mzee wa Farasi! huwa nafurahishwa na kibwagizo chake cha Mingoi Heshima yako Mkuu Kingoi!,Tatizo la pro CDM wanahisi kila mtu,taasisi,asasi zisizo ya serkali,taasisi za dini,vyombo vya ulinzi na usalama,vyombo vya habari na makampuni zinasupport utapeliwa wao wa siasa.Hivi nyie kawadanganya nani? ikiwa wenyewe kwa wenyewe mnatofautiana mnategemea kuungwa mkono kwa kila jambo na wasio na imani na chama chenu kichovu?
Hivi inakuwaje kila siku humu watu mara hiyo redio imekufa, mara hatuisikilizi na bado kila siku mnaianzishia topic, kwa mwenye akili timamu aliyesikiliza hicho kipindi leo atakubaliana na mm kwamba waliongea ukweli ambao wengi humu hamtaki kuukubali,
wao walikataa kuiita hukumu ya leo ya kuwa ya hadhi ya juu kwakuwa tayari kuna hukumu za kutengua ubunge na kurudisha ubunge nyingi zimetolewa, na hawakusema kwamba Lema atashinda au atashindwa, acheni ushabiki...
Mnalazimishwa kuskiliza clouds, kama mmewaona wapuzi kwa nini mnawaskiliza kila sku, huo ni unafki mnaofanya kitu kama hakikupendezi wewe kinawapendeza wengine,. Wale washamua kumtumikia mume wao ccm wacheni
nimekuwa mshabiki kwa sehemu wa kusikiliza redio ya clouds FM asubuhi nikiwa kwenye foleni.Lakini leo nilijuta niliposikia maneno ya kejeli na dhihaka dhidi ya gazeti la Tanzania Daima lililoongea kuwa "hukumu ya Lema ni ya kihistoria".Hata kama asingeshinda mimi ningeona ni ya kihistoria kwa CDM tungekuwa tumenyang'anywa jimbo na Ikulu.Hii ilishatamkwa wazi na Lema na Ikulu haijapinga kwa lolote.Sasa Gerald akajifanya hakuna chochote kipya katika kesi hii na anashangaa gazeti na wananchi wa Arusha na wanachama wa CDM kushabikia kesi hii.SASA M4C TUMESHINDA.GERALD UNASEMAJE PAMOJA NA PJ WAKO?.Nyinyi ni vijana wenzetu,mbona tunakulana wenyewe?
nilikuwa nikupe vyako kumbe umejua kuwa mume wao ccm....
huyu mbona anakatwa sana tuu sauti yake haisiskiki,anafumuliwa marinda ya nyuma ya suruali...anapewa dudu akiwa mdogo haogopi ...shujaa na picha zake zipo...au tuziweke hapa?