Ushindi unakuja CHADEMA

Ushindi unakuja CHADEMA

Ushindi unakuja CHADEMA

Tell my people that l love them ,and they must continue the fight ,my blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom, Aluta continue!! " "waambie watu wangu kuwa nawapenda nawaendelee mapambano, damu yangu itarutubisha mti ambao utazaa matunda ya uhuru ! Mapambano yaendelee!! "

Haya ni maneno ya Solomoni Mahlangu Kijana mdogo wa miaka 22 wakati akinyongwa Na serikali mabeberu huko Afrika Kusini mwaka 1976.

Waliomnyonga wamekufa na wengine watakufa na kamwe hawatakumbukwa popote,lakini Solomon Mahlangu angali anaishi kwenye mioyo ya wengi licha ya kufa katika umri mdogo.Kijijini kwao limejengwa sanamu lake,Solomo Mahlangu freedom square,etc

Nimeanza na hii historia ya Solomon Mahlangu ili kuwakumbusha wanaMabadiliko popote kuwa Tusiogope,tusikate tamaa,ushindi unakuja CHADEMA na kamwe hakuna awezaye kuzuia ushindi huo!huu ni mwaka wa uchaguzi na wengi wamejeruhiwa na kukatishwa tamaa na matendo ya baadhi ambao wameishiwa pumzi!Wamwishowe pumzi kwa kuwa ubunge na udiwani ni swala la kufa na kupona kwao,wameishiwa pumzi kwa kuwa wanataka kufaidi mabadiliko waliyopigania!wameishiwa pumzi kwa kuwa ni wabinafsi.

Rai yangu kwako wewe mpenda mabadiliko,tuendelee kupambana kwa kuwa sisi ni sauti ya wasio na sauti,mabadiliko kwa ajili ya vizazi vijavyo....hakika majina yetu yataandikwa katika historia ya Washindi kama Solomon Mahlangu

Ujasiri wa kukemea uovu huzaa heshima,na utu katika jamii hata ukifa leo utakumbukwa ,unafiki na ubinafsi huzaa dhambi ya mauti ,na hata kama ukifa leo hautakumbukwa.

Kwa ajili yako wewe Mama ambaye hujui utawapa nini watoto wako nitaendelea kupigania mabadiliko...
Kwa ajili yako wewe kijana ambaye umehitimu masomo yako na huna ajira nitaendelea kupigania mabadiliko....
Ushindi unakuja CHADEMA!
Usiogope! Usiogope! Usiogope!

We have God We have the power

Nanyaro EJ

Mwenyekiti Arusha Mjini
Ipo shida moja kubwa ambayo inabidi ifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo nayo ni;

Kuuelimisha UMMA utofauti kati ya UZALENDO na UANA HARAKATI.

UZALENDO ni pale damu ya wachache humwagwa kwa ajili ya wengi

UANAHARAKATI ni pale kundi dogo la watu linapotetea maslahi ya watu wachache.

Huwezi kumueleza kijana Solomoni Mahlangu kwa kuitakasa CHADEMA wewe unakua unashida ya maana ya maneno hayo mawili hapo juu.

TAFAKARI TENA KISHA REJEA MAANDIKO YAKO
 
Solomon Mahlangu was fighting for a noble cause, a cause that was good for all South Africans and a cause that he real belived in. That is why freedom indeed was eventually achieved.
Sasa CHADEMA tangu alipo ondoka Dr Silaa, hamjui mnapigania nini! Tangu mumlete Lowassa kuwa Rais wenu mlipoteza ile nia na wananchi wamepoteza imani kwenu. Hamuwezi kupigania yeyote. Mmebaki na nadharia tu na usikute ni wewe mwenye hiyo nadheria tu!
Solomon Mahlangu lived and died for his cause - nyinyi mna bei. Bei kama hela au kutokana na dhulma ndani ya chama chenu.
And generally you are Sellouts!
I can't agree more yaani you narrowed it down with precize words.
 
Ipo shida moja kubwa ambayo inabidi ifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo nayo ni;

Kuuelimisha UMMA utofauti kati ya UZALENDO na UANA HARAKATI.

UZALENDO ni pale damu ya wachache humwagwa kwa ajili ya wengi

UANAHARAKATI ni pale kundi dogo la watu linapotetea maslahi ya watu wachache.

Huwezi kumueleza kijana Solomoni Mahlangu kwa kuitakasa CHADEMA wewe unakua unashida ya maana ya maneno hayo mawili hapo juu.

TAFAKARI TENA KISHA REJEA MAANDIKO YAKO
Kwa mtazamo wako nani mzalendo na nani mwanaharakati?
 
Ushindi unakuja CHADEMA

Tell my people that l love them ,and they must continue the fight ,my blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom, Aluta continue!! " "waambie watu wangu kuwa nawapenda nawaendelee mapambano, damu yangu itarutubisha mti ambao utazaa matunda ya uhuru ! Mapambano yaendelee!! "

Haya ni maneno ya Solomoni Mahlangu Kijana mdogo wa miaka 22 wakati akinyongwa Na serikali mabeberu huko Afrika Kusini mwaka 1976.

Waliomnyonga wamekufa na wengine watakufa na kamwe hawatakumbukwa popote,lakini Solomon Mahlangu angali anaishi kwenye mioyo ya wengi licha ya kufa katika umri mdogo.Kijijini kwao limejengwa sanamu lake,Solomo Mahlangu freedom square,etc

Nimeanza na hii historia ya Solomon Mahlangu ili kuwakumbusha wanaMabadiliko popote kuwa Tusiogope,tusikate tamaa,ushindi unakuja CHADEMA na kamwe hakuna awezaye kuzuia ushindi huo!huu ni mwaka wa uchaguzi na wengi wamejeruhiwa na kukatishwa tamaa na matendo ya baadhi ambao wameishiwa pumzi!Wamwishowe pumzi kwa kuwa ubunge na udiwani ni swala la kufa na kupona kwao,wameishiwa pumzi kwa kuwa wanataka kufaidi mabadiliko waliyopigania!wameishiwa pumzi kwa kuwa ni wabinafsi.

Rai yangu kwako wewe mpenda mabadiliko,tuendelee kupambana kwa kuwa sisi ni sauti ya wasio na sauti,mabadiliko kwa ajili ya vizazi vijavyo....hakika majina yetu yataandikwa katika historia ya Washindi kama Solomon Mahlangu

Ujasiri wa kukemea uovu huzaa heshima,na utu katika jamii hata ukifa leo utakumbukwa ,unafiki na ubinafsi huzaa dhambi ya mauti ,na hata kama ukifa leo hautakumbukwa.

Kwa ajili yako wewe Mama ambaye hujui utawapa nini watoto wako nitaendelea kupigania mabadiliko...
Kwa ajili yako wewe kijana ambaye umehitimu masomo yako na huna ajira nitaendelea kupigania mabadiliko....
Ushindi unakuja CHADEMA!
Usiogope! Usiogope! Usiogope!

We have God We have the power

Nanyaro EJ

Mwenyekiti Arusha Mjini
Bila Tume huru na sheria sawa za uchaguzi ndoto yako itabakia ndoto.
 
chama kimetawala mda mrefu hadi mawazo mapya hakuna.
 
Yuko wp cku hz
Nasikia Mr. Lowassa ana imani atapendekezwa kuwania uraisi Chadema. Sasa hivi ni "AJUA" - yaani amerudi CCM wasipompendekeza anaenda CHADEMA! Na kwa sababu CHADEMA hawana mtu wa mvuto mpaka sasa, hawata mkatalia.
 
Hatuwezi kuwapa nchi wazinzi
Kama tu mnaweza kusaliti ndoa zenu mpaka mnateguka miguu,mkipewa dola ,mtatafuna wanawake wa nchi nzima
Kwa hilo, japo sina uhakika kwa Mbowe, aheri ufunge mdomo. Hivi unajua kuwa hata unayemwabudu alimpa mimba mwanafunzi wa kidato cha 6?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya hii nchi elimu ni tatizo yaani ukiwa mpinzani ni kama mhaini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana! Upinzani wa dr Slaa ulionesha ukomavu wa mawazo na hoja. Huu wa akina Lissu ni kutukana. Mwenye matusi mengi ndo mwenye sifa ya ushujaa. NO!

Niliwahi kuuliza sababu ya mtu kutukana; Huu ni upumbavu, Uchwara, n.k. Halafu ukipelekwa mahakamani unasema nimewapiga chini! Yes, umewapiga chini mahakamani lakini ktk jamii hatutakuona kuwa ni mshindi. Pole pole baadaye tunawaona wapinzani ni wahuni tu!
 
Tazama kibuyu kingine hiki, unatujazia hisia zako hapa halafu unataka zijadiliwe!.

Werevu wanajadili facts, sio hisia, wacha ushamba.
Kwa matusi tu mnashInda kwa 100%.

Lowasa mlimshangilia hata zaidi ya Membe na baada ya kumaliza kazi yake sasa mnapukutika kama wagonjwa wa covid19 tena wa USA.
 
Back
Top Bottom