goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,415
- 2,358
Kwani DC ni kiongozi wa nchi au wilaya. Ona hii nyumbu imeshindwa kuvuka mto kwa kuwaiga nyumbu wenzie waliyotangulia.Siasa za kitoto sana . Yule dc alikwenda wapi na alikuwa na nani?
Kwani DC ni kiongozi wa nchi au wilaya. Ona hii nyumbu imeshindwa kuvuka mto kwa kuwaiga nyumbu wenzie waliyotangulia.Siasa za kitoto sana . Yule dc alikwenda wapi na alikuwa na nani?
Hivi huwa unajisikiaje kuita binadamu mwenzako aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu Nyumbu?Kwani DC ni kiongozi wa nchi au wilaya. Ona hii nyumbu imeshindwa kuvuka mto kwa kuwaiga nyumbu wenzie waliyotangulia.
Kwa hiyo unahalalisha unywaji wa Faru John na uliwaji wa pupuchi ya shemeji wa Chadema Mukya na Mwamba kwa uliyoyandika hapo juu,.Muulize Janeth taabu aliyopata na watoto wake dhidi ya mwanamke aitwaye Kabula.
Muulize Salma alivyokuwa anagombana na vimada wa mumewe na kwa nini yule mwimbaji aliyeimba "Wanawake na maendeleo" alipewa ubunge viti maalum na baadaye ndoa yake kuota mbawa?
Muulize Hadija kwa nini mumewe aliitwa "Shemeji" na wanafunzi.?
Kwani nyumbu kaumbwa na shetani!!Hivi huwa unajisikiaje kuita binadamu mwenzako aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu Nyumbu?
Kwamba unamkosoa Mungu kumuumba kuwa Binadamu?
Jenga hoja acha matusi
Akili yako iko below averageKwani nyumbu kaumbwa na shetani!!
Akili yako iko kama nyumbuAkili yako iko below average