Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Nikiwa advance pale kibaha,nakumbula kuna jamaa mmoja mlokole hakutaka mambo ya kufoji kwamba ni dhambi!Tukaingia Prac ya physics,ilitakiwa tufanye 3!Ngoma ya kwanza ni kutafuta specific gravity ya sample liquid "x"!Kiuhalisia prac hiyo inahitaji utulivu sana na hali ya hewa iwe stable throughout the experiment!Na kwa lisaa limoja huwezi maliza ukiamua kufanya!Basi jamaa akakomaa kufanya,mpaka muda unaisha hajakusanya hata nusu ya data!Tukahamia chumba kingine,hali ikawa hivyo hivyo,hakufanikiwa kumaliza prac ya 1 na ya 2!Tulivyoingiq room ya mwisho kwa ajili ya prac ya mwisho,tuliona anavyotetemeka!Ikabidia tumwambie asifanye prac tena,tukawa tunapokezana kijanja kumpa sheet za majibu naye anakiri!Kweli alifanikiwa kucopy kutoka kwetu prac zote 3!
Tulipotoka nje tulimpiga madongo sana,tukamueleza unaweza jiharibia maisha bure eti kisa ulokole!
Prac za physics kibongobongo bila kufoji lazima ufeli tu maana kama ya umeme unaweza kuunganisha metre bridge mara inagoma kuwaka yani purukushani tu...
 
Engineering Drawing(Autocad Software) ilinifanya nipige bao jepesi ndani ya paper.

Zamani nilikuwa nasikia kwa wana hii issue ila ilipokuja nitokea ndio niliamini.

Paper ilikuwa masaa matatu kwa kawaida nilikuwa na speed sana kwenye hii drawing sasa nimeingia kwenye paper hivi ile siku kila kitu nakiona chepesi mno nikasema kimoyo moyo leo dk zero namaliza.

Nikajikuta nimekwisha tumia saa moja na nusu hafu sioni nilichofanya mara mwili wote nikaona kama unaenda mbio hivi mara mbao najaribu kujizuia hivi nikashindwa kabisa.

Ila baada ya kupiga bao pale(Bila kupenda) nikamaliza paper fresh kabisa ila ilinibidi niongeze niwe na speed ya light.

Nikaja kuona hii inatokea pale unajua kila kitu halafu unaona unashindwa kufanya /kutatua kutokana unaona upo nyuma ya muda
 
Daah halafu unajua shule nyingine wanafunzi ni wengi kwahiyo inabidi upige practical chapu upate result maana kuna kuhamishwa kupelekwa kwenye swali jingine...Mitihani hii acha kabisa mkuu,unaweza kulia kwenye chumba cha mtihani
Yaaaa inakuaga hivyo unakuta wanafunzi mko zaidi ya miaka tatu Hawa necta ni noma sana
 
Prac za physics kibongobongo bila kufoji lazima ufeli tu maana kama ya umeme unaweza kuunganisha metre bridge mara inagoma kuwaka yani purukushani tu...
Kweli aisee,kufoji ni lazima kama unataka kufaulu!
 
Tafuta past papers za Enguneering science uifanye nadhani utapiga mabao matamu zaidi.
 
Engineering Drawing(Autocad Software) ilinifanya nipige bao jepesi ndani ya paper.

Zamani nilikuwa nasikia kwa wana hii issue ila ilipokuja nitokea ndio niliamini.

Paper ilikuwa masaa matatu kwa kawaida nilikuwa na speed sana kwenye hii drawing sasa nimeingia kwenye paper hivi ile siku kila kitu nakiona chepesi mno nikasema kimoyo moyo leo dk zero namaliza.

Nikajikuta nimekwisha tumia saa moja na nusu hafu sioni nilichofanya mara mwili wote nikaona kama unaenda mbio hivi mara mbao najaribu kujizuia hivi nikashindwa kabisa.

Ila baada ya kupiga bao pale(Bila kupenda) nikamaliza paper fresh kabisa ila ilinibidi niongeze niwe na speed ya light.

Nikaja kuona hii inatokea pale unajua kila kitu halafu unaona unashindwa kufanya /kutatua kutokana unaona upo nyuma ya muda
Paper za chuo hazina stress sana kama za sekondari!Chuo si unajua unaweza kuja kusapua!!!!
Hahahahaaaa,nakumbuka Auto card jamaa alisahau kusave time to time,si unajua atmost every 15 minutes lazima usave progress yako incase umeme ukikata ghafla!!!!
Sasa umeme ukakata,tulisikia jamaa akitoa huo mguno!Tukajua kichwa kishaliwa!!!!!

Autocard raha sana ukiizoea software,yaani ukitoka kwenye paper unakuwa unajua kanisa umepasua!!!!!

Wazee wa kutrim!!!!!
 
Kabisa mkuu, mwili una "defending mechanisms" dhidi ya stress/maumivu yanayokuja ghafla na ndio maana watu wengine huzimia, wanawake huingia kwenye siku zao nje ya ratiba kabisa, na wanaume hupizi hata kama huna nguvu za kiume hahaha
Hahahaahaahaaaaaa!
 
Sina taarifa hizo,ila saint John ni chuo kikubwa pale Dodoma!
TCU yavifuta vyuo vikuu vya TEKU na SJUT na kusitisha mafunzo kwa vyuo vikuu 5 - JamiiForums
Screenshot_2018-10-21-10-52-50.jpeg
 
Hahaahaha,ila waliofanya hizo paper miaka ya 1990 kurudi nyumawalikuwa vichwa sana!Ukiziona hizo paper unaweza kata tamaa ya kusoma!
Hizo ndo nzuri zimesimama .
Mwaka flani chuoni mwaka wa mwisho niliingia UE na course work 5%. Siku ya UE sasa pepa lilikuwa limesimama haswa, huku Lecturer anapita anasema " wengine mnapoteza muda tu hapa, mwakani lazima mje hapa "
Kilichofuata ni burudani isiyomithilika ikiambatana na mguno.
 
Hahahahaaaaaaaa,lecture wetu yeye alikuwa akitutisha kuwa kila mwaka wanaokuja kusapua lazima ajaze shato(costa)!
 
Paper za chuo hazina stress sana kama za sekondari!Chuo si unajua unaweza kuja kusapua!!!!
Hahahahaaaa,nakumbuka Auto card jamaa alisahau kusave time to time,si unajua atmost every 15 minutes lazima usave progress yako incase umeme ukikata ghafla!!!!
Sasa umeme ukakata,tulisikia jamaa akitoa huo mguno!Tukajua kichwa kishaliwa!!!!!

Autocard raha sana ukiizoea software,yaani ukitoka kwenye paper unakuwa unajua kanisa umepasua!!!!!

Wazee wa kutrim!!!!!
Nikilikumbuka lile bao hatari sana niltamani hata ile room iwe na cctv camera ningeenda kuomba nione nilivyopambana kulizuia lile bao.

Maana nilitumia kila njia mara kukunja miguu mara najikuta nimebana mapaja aisee nikasema nisije kufa kwa kuzuia ili bao.

Yote hiyo nilikuwa nawaza juu ya nguo maana ningeaibika osema nilikuwa nimevaa boxer, bukta na jeans nzito ila bao lilipenya kidogo
 
Back
Top Bottom