Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Nna rafiki zangu wawili wamewahi kunihadithia mmoja ilimtokea mtihani wa shule ya msingi na mwingine sekondari.

Engineering Science, somo langu pendwa kuliko masomo yote nikiwa na G.R.A Titomb pembeni utaniambia nini?

Mwaka wetu tuliletewa mtihani wa Electical Drafting wa ajabu sana, kwanza walichelewa kuutuma ukaja mchana tena kwa fax, pili tulitegemea utakua nyanya kama kawaida, baada ya kugawiwa karatasi za maswali nakumbuka nilipotoka nilisema hapa ntapata Banda au Mswaki, haingewezekana kupata katikati, yaani ni A au F. Nashukuru mambo yakaenda vizuri. Huu ndio mtihani pekee ningeweza kutokewa na hali kama hiyo, kama haikutokea siku hiyo, haitatokea tena.
 
Form 1 swali lilisema mention and explain types of family. Nika mention, baadae naona ile explain, nikakata, ile nataka kuanza kuandika teacher akasema bado dakika 5. Nilitetemeka mikono haiandiki. Nikajisikia raha ya ajabu. Baadae nikaona vitu vyeupe kwenye boxer , jamaa kuwauliza wakaniambia ndo bao hilo
Hahahaaaaa,nawewe naye!Test ya form one ndio inakupa pressure hivyo?
 
Nna rafiki zangu wawili wamewahi kunihadithia mmoja ilimtokea mtihani wa shule ya msingi na mwingine sekondai.

Engineering Science, somo langu pendwa kuliko masomo yote nikiwa na G.R.A Titomb pembeni utaniambia nini?

Mwaka wetu tuliletewa mtihani wa Electical Drafting wa ajabu sana, kwanza walichelewa kuutuma ukaja mchana tena kwa fax, pili tulitegemea utakua nyanya kama kawaida, baada ya kugawiwa karatasi za maswali nakumbuka nilipotoka nilisema hapa ntapata Banda au Mswaki, haingewezekana kupata katikati, yaani ni A au F. Nashukuru mambo yakaenda vizuri.
Masomo ya Mechanical drafting,Electrical drafting huwa ni gumble!Either unafaulu sana au unafeli sana!
Mimi nilisoma mechanical drafting ila siku ya paper niliingia mitini na nilikuwa nikipata A kila test ,mock na pre-national !
Walioingia wengi walikula miswaki na waliofaulu walilamba D na wawili watatu C!
 
Nna rafiki zangu wawili wamewahi kunihadithia mmoja ilimtokea mtihani wa shule ya msingi na mwingine sekondari.

Engineering Science, somo langu pendwa kuliko masomo yote nikiwa na G.R.A Titomb pembeni utaniambia nini?

Mwaka wetu tuliletewa mtihani wa Electical Drafting wa ajabu sana, kwanza walichelewa kuutuma ukaja mchana tena kwa fax, pili tulitegemea utakua nyanya kama kawaida, baada ya kugawiwa karatasi za maswali nakumbuka nilipotoka nilisema hapa ntapata Banda au Mswaki, haingewezekana kupata katikati, yaani ni A au F. Nashukuru mambo yakaenda vizuri. Huu ndio mtihani pekee ningeweza kutokewa na hali kama hiyo, kama haikutokea siku hiyo, haitatokea tena.
Ulikuwa Tech gani kiongozi??
 
Hii ilinitokea paper 2 ya advanced mathematics npo na pga swali la probability wakati huo msimamizi anasema tumebakiwa na dakika tano na swali nalijua ikatokea mvutano tu plus panic nikajikuta nakosa nguvu mwisho nikapiga bao...niliwasimulia washkaji walicheka sana
Hivi haujawahi kuuliza sababu za kisayansi kwanini?
 
Masomo ya Mechanical drafting,Electrical drafting huwa ni gumble!Either unafaulu sana au unafeli sana!
Mimi nilisoma mechanical drafting ila siku ya paper niliingia mitini na nilikuwa nikipata A kila test ,mock na pre-national !
Walioingia wengi walikula miswaki na waliofaulu walilamba D na wawili watatu C!

Drafting zote zilikua ngumu lakini tulizoea Electrical inakuja ya kizembe kizembe, sitausahau ule mtihani. Nashukuru niliweka heshima ya A, wengi waliondoka walichezea kiwango cha D na F.
 
Back
Top Bottom