Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,942
- 15,707
Nyie ambao uwa mnajifanya wagumu uwa watamu sana na mkipatiwa huo ugumu wenu unakataKaka tatizo hip hop sana mdogo wako sipo romantic kabisaa..!! 😹😹
Nyie ambao uwa mnajifanya wagumu uwa watamu sana na mkipatiwa huo ugumu wenu unakataKaka tatizo hip hop sana mdogo wako sipo romantic kabisaa..!! 😹😹
Kwahiyo unalipiza? Na wewe umejipatia bwege wako wa kumuumiza dah!! 😹😹😹mimi pia nina mngoni wangu ambae namtumiaga risala naambulia mikausho kama Zombie vile, sasa kosa langu liko wapi? 😅
Basi kaka inatosha utavunja miiko ya ukoo 😹😹😹Nyie ambao uwa mnajifanya wagumu uwa watamu sana na mkipatiwa huo ugumu wenu unakata
😹😹😹 huyo binti sayuni kila nikimuona nacheka sana, ule uzi wake wa kukaa bar na ex wake na ghafla akajitokeza x mwingine nachoka sana aiseeee..!!Hivi wewe ma ex wako si wanajaa tandam?
Leta namba niwe nakupigia.Sijawai pata kiukweli cjui ndo gundu,text na calls ni za muhimu tu ndomana najishindiaga jf.
Uvunjike tu hakuna namna maana kujifanya hip hop wakati najua u mtoto RnBBasi kaka inatosha utavunja miiko ya ukoo 😹😹😹
Shukuru umepata wa hvyo...mm nikiwa natongoza..siku ya kwanza nakutafta sana ila baada ya hapo ndani ya wiki naweza kukutafta mara moja ttuKuna huyu anaenitongoza mpk hapa ameshakuwa unqualified.. yaani ana kera hajali hata umelala saa 7 anapiga Simu.. muda wa kazi masimu ma sms kama ananidai figo yake..
Hayo mapenzi ni ya under 25 sie wazee hatuyawezi masimu ma sms kama nina damu yake siweziii
Hahahaha,dah, nadhani kaishasahau kama Kuna mtu kama Mimi ,ila sio mbaya piaYule anasafiri sana safari za nje anakuwa busy na kazi… soon utamuona anaibuka kuja kukupeti peti mubaba wake 😹😹😹
Ndio hiihii ila kama tutaacha kuweka mapenzi kama kipaumbele chetu katika mijadala yetukatiba mpya katika serikali hii ya CCM?
Demu anapiga simu usiku saa 8 nimelala analeta mahaba yake,Hizo mambo siweziWakuu
Katika maisha ya mahusiano tunapitia mengi,unaweza ukapendwa sana mpaka ukawa unahisi ni kero sasa
Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu anakulaumu na "mbona kimya" zinakuwa nyingi
Hali hii mimi binafsi huwa siipendi na ikitokea mwanamke wa namna hii basi nampiga chini haraka sana,siwezi kuwa saa niko na simu tu nachati au naongea na wewe kama nimekosa kazi ya kufanya.
Nimeachana na first11 ya wanawake dizaini hii.
Usawahi kudate na mdada au mwanaume wa namna hii? Hali ilikuwaje,ulikabiliana nae vipi na mahusiano yako bado yapo?
Cc Binti Sayuni03
Aisee kumbe tupo wengi, MimiSijawai pata kiukweli cjui ndo gundu,text na calls ni za muhimu tu ndomana najishindiaga jf.
Mnaendeleaje sahiiUmenikumbusha bibie mmoja hata akitaka kulala hawezi kulalia mto ni lazima alalie kifua.
Leta namba niwe nakupigia
Inabidi tuanze tumiana sms sasaAisee kumbe tupo wengi, Mimi
sms nazotumiwa nyingi ni za POLISI na SITAPELIKI , na wanatuma kama zote naona wanajua huyu mdau yupo single
Mende kabisaHivi wewe ma ex wako si wanajaa tandam?
Watu mnapenda kuweka masjala😀😀😹😹😹 huyo binti sayuni kila nikimuona nacheka sana, ule uzi wake wa kukaa bar na ex wake na ghafla akajitokeza x mwingine nachoka sana aiseeee..!!