Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

Mtu kutaka ligi na wewe ni kuhatarisha imani yake..
Mkuu naomba tuishie hapa..
Ila huu ni mwezi ambao kufanya madhambi ujie wewe ni moja kw moja motoni tena daraja la chini kabisa la moto mkuu
Hiyo habari ya moto yenyewe ni uthibitisho Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.

Angekuwapo, asingekuwa mkatili hivyo kuchoma viumbe aliowaumba mwenyewe motoni.

Hizi ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Huelewi wapi?
 
Story za kutungwa ziwe complex...
Hvi inaingia akilini hiyo.mkuu Ebu ifikie mahali kumbuka ulipotokea...

Hivi hio body system yako imejiweka tuu unazani hakuna aliyefanya hayo yote
 
Hiyo uliyotoa ni argument kwamba Mungu hayupo.

Ila akili yako ndogo hujajua tu.

Kama kila kitu complex ni lazima kiwe kimeumbwa, aliyekiumba ni complex zaidi, na yeye atakuwa kaumbwa, bila kikomo.

Maana yake huyo unayemuita Mungu naye ni complex, na yeye kaumbwa.

Na aliyemuumba naye kaumbwa.

Ulimwengu huo hauna Mungu muanzisha vyote.

Hoja yako inathibitisha Mungu hayupo.

Ila wewe ulikuwa hujui hilo tu.
 
Oky let say yeye kaumbwa...
Kwa sasa yeye ndo ana mamlaka na ndio anamiliki wewe na mimi..
Hapo wewe utaki nini sasa...?
 
Hiyo uliyotoa ni argument kwamba Mungu hayupo.

Ila akili yako ndogo hujajua tu.

Kama kila kitu complex ni lazima kiwe kimeumbwa, aliyekiumba ni complex zaidi, na yeye atakuwa kaumbwa, bila kikomo.

Maana yake huyo unayemuita Mungu naye ni complex, na yeye kaumbwa.

Na aliyemuumba naye kaumbwa.

Ulimwengu huo hauna Mungu muanzisha vyote.

Hoja yako inathibitisha Mungu hayupo.

Ila wewe ulikuwa hujui hilo tu.
Mkuu moto upo seriously
Haya
 
Sahihi mkuu , mtu ana taka mchat mda wote afu u reply zero second usiku muongee hadi kukuche mtu wa hivi hapana aseee 😅😅
Kwa nini watu wengine wanalazimisha kuongea muda mrefu hata wakiwa hawana lolote, tena kila siku?

Ile inakuwa ni desperation au nini?
 
Unathibitishaje upo kweli na hizi si stories za tisha toto tu?
Kutaka kuthibitisha ishu za imani ni kipengele mkuu mpaka uwepo katika huo ulimwengu..

Unakuaje katika huo ulimwengu na upo katika mwili wa nyama..

Inachotakiwa ni kutoa hyo mass yako uwe kama light ndo uweze kuelewa mkuu
 
Imani unaruhusiwa kuamini lolote, hata uongo. Ni haki yako.

Lakini, utajuaje unachoamini ni ukweli?

Hapa sijadili imani, najadili ukweli.
 
Usiseme contradiction wakati ual
Eti Mungu anakwambia kuna watu atawafunga masikio na kuwawekea pazia kwenye macho wasimjue, kisha ataifanya mioyo yao iwe migumu wasimkubali, halafu atawahukumu kwa kuwa hawakumkubali.

Wewe unaona huyo Mungu ana akili sawa kweli?

Yani yeye mwenyewe anakuzibia usimjue, halafu anakuhukumu kwa kutomjua.

Huyo Mungu au hadithi za kijinga tu?
 
Achana na hadithi...
Muongozo ni quran je hizo ni aya mkuu.?
 
Back
Top Bottom