Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,263
- 12,197
Tatizo vinatamanishaUnavyo viona humu jf viache tu humu, wala tusiende mbali

Mkuu mbona una gubu sana. Haya mambo hayakusuhu unaingilia ingilia, umbeya tu. Achaga umama huo. Niache niongee na mtoto niyamalize. Wewe kama domo zege utaishia kula kwa macho
Nimekupuuza kwa sababu una gubu utadhani wamama wa kizalamo.Mkuu habari za asubuhi?Umeamka salama?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nilikuwa nakwenda Arusha kikazi.. nilikuw na ndege ya Precision Air saa 12 asub. Siku hiyo sijui nini kilifanya nichelewe kulala. Hamadi kuja kustuka asub ni saa moja asub
Kuwapigia Precision wanasema natakiwa kiasi fulani cha pesa kubadilisha ndege ili niondoke na ndege ya mchana.
Nikapiga mahesabu ya kubadilisha ticket na Tax elfu 40 mpaka airport.
Nikapiga mahesabu Tax mpaka Ubungo elfu 7. Bus mpaka Arusha elfu 20 kipindi hiko..
Nikaenda zangu Ubungo kukamata Osaka Coach
Uwanja wa Mpira gani?Mimi nilikuwa nasafiri na bus toka Dar kwenda Kigoma, kufika ubungo saa moja nikaambiwa bus lishaondoka na hawarudishi nauli.
Nikamwambia bibi tayari msala na hatuna ela, bibi akasema hiyo kazi ndogo ila niamini.
Akaniambi funga macho shika sehemu ya siri, usifungue mpaka nikupige tako.
Kweli baada ya dk 7 nikasikia paaaa. Kufunguka macho nipo Kigoma pembeni ya ukuta wa uwanja wa mpira.
Chechezea digitali ya bibi
Uwanja wa Mpira gani?
Kuna mchawi alidondoka na mjukuu wake uwanjani kigoma ndio wewe na bibi mkuu,pole sana kwa safari nzito!
[/QUOTE
Ndo mimi mkuuu ila wengine tulikuwa hatuonekani, tulikuwa kama vivuli ambayo mtu anaweza kuhisi ni kimvuli chake😀😀😀
Sasa mimi naachwaje na ndege wakati sijawahi kuwa na safari inayohitaji kutumia usafiri huo?Salute wakuu,
As per title hapo juu, Ulishawahi kuachwa na ndege ugenini? Ilikuaje na Ulifanyaje? Let’s share experience.
Back in 2014 nikiwa chuo mwaka wa pili nchini Oman kwa His Excellency late Sultan Qaboos bin Said (May his soul R.I.P) ndipo niliweka plan za kwenda kumtembelea rafiki yangu mmoja aliekua akisoma Bangalore nchini India.
MIPANGO YA SAFARI
Niliaanza kuplan my trip, kwanza Nikampigia simu swaiba kama ataweza kuni-accomodate for two weeks at his place, As u know accommodations ndio big issue kama hauna mpunga wa kutosha kufikia hotelini huko ng’ambo.
Baada ya kuweka mambo sawa na mshikaji nikaanza mchakato wa kutafuta visa.
Nikatembelea Agency ya India nchini Oman wanaohusika na utoaji wa visa. Nakumbuka ilinigharimu kiasi cha 20 OMR ambazo kwa kipindi hicho zilikua almost sawa na Tsh 97,000/= plus 5 OMR processing fee. Ndani ya siku 7 nikawa nimefanikiwa kupata 3 months visitation visa.
Baada ya kupata visa nikaanza kutafuta the cheapest flight to Bangolore India. Mind u that I was student so nilikua na save from my monthly allowance nilizokuwa nalipwa College kwa ajili ya kujikimu.
Katika kutafuta tafuta huko online nikakutana na Air India ambayo ndio ilikua nafuu kwa wakati huo na ilinigharimu 133 OMR for a round trip.
Baada ya kumaliza ku-book tiketi yangu na kuilipia nikaprint na kuihifadhi na kusubiri siku ya safari ambayo ilikua 01/02/2014.
SIKU YA SAFARI
Hatimaye siku ya safari ikawadia safari ilikua imepangwa kuwa ni saa tano kamili usiku. Mapema kabisa nika-show up Muscat IA two hrs earlier before departure for check in.
Baada ya kufanya taratibu zote za ukaguzi pale Airport tukaingia ndani kusubiri ndege yetu itakayotupeleka mpaka Chennai, India ambapo tungekuwa na two hours za kusubiri na kubadilisha ndege nyingine ambayo ingetufikisha hadi Bangalore.
Kwa bahati mbaya ile ndege ikachelewa kwa zaidi ya saa na nusu kufika pale Muscat IA. Hapa sasa ndipo shida ilipoanzia. Nakumbuka tulianza safari saa 6 na dk 43 usiku badala ya saa 5 kamili usiku.
Wakati tupo angani Air hostess wakawa wanagawa “Incoming Passanger card” au “Arrival card” kwa abiria ambao ni wageni kwa ajili ya kupunguza traffic tutakapofika.
Basi nikajaza ile card isipokua sehemu ya Anuani wapi exactly naenda huko Bangalore. Yani I took it easy as if kama tunapokua kwetu Bongo ukisema naenda TEMEKE bila kusem ni wapi TEMEKE. Mbaya zaidi hata hizo anuani za rafiki yangu sikuwa nazo kwa wakati huo. (Ieleweka hapa anuani namaanisha Mji, eneo ninaloenda ndani ya mji huo na namba ya nyumba anayoishi mwenyeji wangu)
CHENNAI AIRPORT
Tulipofika Chennai ilikua saa 9 na nusu Alfajiri na ilibaki nusu saa tuu ya kuingia kwenye ndege yangu ya pili ambayo ilikua inaelekea Bangalore.
Niliposhuka nikamkabidhi Afisa mmojawapo ile kadi yangu niliyoijaza. Alipo ikagua akakuta sehemu ya anuani sijajaza. Hapo balaa likaanza.
Akaanza kuniuliza naelekea wapi namwambia Bangalore; Anaanza kuniambia Bangalore ni kubwa wapi exactly unapoenda aisee sipajui, ikabidi aombe passport yangu kucheki kama nimetimia au nimekuja kimagumashi.
Akakagua akakuta nipo sawa, akaanza kunidai address halafu mimi siijui. Akanionesha sehemu ya kupigia simu akaniambia nimpigie rafiki yangu anitumie address alipo.
Kumbuka hapo ni usiku na jamaa anategemea kuja kunipokea saa tatu asubuhi Airport. Aisee nilipiga simu jamaa hapokei alikua amelala. Ikabidi yule Afisa aje kunichukuA akanipeleka kwenye ofisi ya Uhamiaji kwa Boss wao.
Wakati tunaelekea Ofisi za Uhamiaji Mara ghafla nasikia natangazwa kwenye vipaza sauti pale Airport nanukuu;
“Passenger Mr. XXX booked on a flight xxxx to Bangalore please proceed to the gate no 5 immediately for boarding”
Niliitwa pale mara tatu.
Thanks God my panic button huwa iko mbali nikawa nimetulia tu namfuata jamaa mdogo mdogo huku napanga na kupangua kichwani.
Basi tukafika kwa Afisa mkuu pale akaniambia wanachoweza kunisaidia ni kunipa simu ya bure kuwasiliana na huyo rafiki yangu ikishindikana ni kunirudisha nilipotoka.
Ikabidi nitulie kidogo kwanza then nikatumia simu yangu nikampigia jamaa finally after 5 attempts akapokea.
Jamaa akanitumia zile details nikarudi kule migration nikajaza details nikagongewa stamp ya kuingia.
Wakati narudi kule migration kumalizia kujaza zile taarifa Nikamkutana Afisa mwingine kaja kunitafuta kule migration baada ya kuachwa na flight.
Akaanza kunihoji na yeye Basi ikabidi nianze kudefense pale kwamba haikua kosa langu ila flight ilichelewa kufika na kutoka Muscat.
Thanks God nikaeleweka wakanipeleka kuchukua mabegi yangu (Hayakupakiwa kwenye ile flight iliyoniacha) Wakanipeleka kwenye upande wa domestic flight wakanikatia tiketi ya Jet to Bangalore.
Finally nikaingia Bangalore saa 6 mchana badala ya tatu asubuhi.
NB. Inaweza kuwa ni ndefu lakini unaweza kujifunza kitu.
Basi nilikufananisha mkuu!
Sasa mimi naachwaje na ndege wakati sijawahi kuwa na safari inayohitaji kutumia usafiri huo?
Vumilia tu, fanya kama hujaonaTatizo vinatamanisha
Basi likishakuacha zaida ya robo saa rudi nyumbani usafiri kesho ake.Nilishawah kuachwa na basi la kwenda songea,natoka zangu mbagala na usafiri wa daladala plus foleni kufika ubungo gari limeshatoka ubungo kama nusu saa imeshapita ikabidi nichukue bodaboda kulifukuzia nakumbuka nililikuta karibia na moro siwez kabisa kusahau
Muda haukuwa na thamani kwako.Mimi nilikuwa nakwenda Arusha kikazi.. nilikuw na ndege ya Precision Air saa 12 asub. Siku hiyo sijui nini kilifanya nichelewe kulala. Hamadi kuja kustuka asub ni saa moja asub
Kuwapigia Precision wanasema natakiwa kiasi fulani cha pesa kubadilisha ndege ili niondoke na ndege ya mchana.
Nikapiga mahesabu ya kubadilisha ticket na Tax elfu 40 mpaka airport.
Nikapiga mahesabu Tax mpaka Ubungo elfu 7. Bus mpaka Arusha elfu 20 kipindi hiko..
Nikaenda zangu Ubungo kukamata Osaka Coach
One day YesVumilia tu, fanya kama hujaona
thank you for sharingSalute wakuu,
As per title hapo juu, Ulishawahi kuachwa na ndege ugenini? Ilikuaje na Ulifanyaje? Let’s share experience.
Back in 2014 nikiwa chuo mwaka wa pili nchini Oman kwa His Excellency late Sultan Qaboos bin Said (May his soul R.I.P) ndipo niliweka plan za kwenda kumtembelea rafiki yangu mmoja aliekua akisoma Bangalore nchini India.
MIPANGO YA SAFARI
Niliaanza kuplan my trip, kwanza Nikampigia simu swaiba kama ataweza kuni-accomodate for two weeks at his place, As u know accommodations ndio big issue kama hauna mpunga wa kutosha kufikia hotelini huko ng’ambo.
Baada ya kuweka mambo sawa na mshikaji nikaanza mchakato wa kutafuta visa.
Nikatembelea Agency ya India nchini Oman wanaohusika na utoaji wa visa. Nakumbuka ilinigharimu kiasi cha 20 OMR ambazo kwa kipindi hicho zilikua almost sawa na Tsh 97,000/= plus 5 OMR processing fee. Ndani ya siku 7 nikawa nimefanikiwa kupata 3 months visitation visa.
Baada ya kupata visa nikaanza kutafuta the cheapest flight to Bangolore India. Mind u that I was student so nilikua na save from my monthly allowance nilizokuwa nalipwa College kwa ajili ya kujikimu.
Katika kutafuta tafuta huko online nikakutana na Air India ambayo ndio ilikua nafuu kwa wakati huo na ilinigharimu 133 OMR for a round trip.
Baada ya kumaliza ku-book tiketi yangu na kuilipia nikaprint na kuihifadhi na kusubiri siku ya safari ambayo ilikua 01/02/2014.
SIKU YA SAFARI
Hatimaye siku ya safari ikawadia safari ilikua imepangwa kuwa ni saa tano kamili usiku. Mapema kabisa nika-show up Muscat IA two hrs earlier before departure for check in.
Baada ya kufanya taratibu zote za ukaguzi pale Airport tukaingia ndani kusubiri ndege yetu itakayotupeleka mpaka Chennai, India ambapo tungekuwa na two hours za kusubiri na kubadilisha ndege nyingine ambayo ingetufikisha hadi Bangalore.
Kwa bahati mbaya ile ndege ikachelewa kwa zaidi ya saa na nusu kufika pale Muscat IA. Hapa sasa ndipo shida ilipoanzia. Nakumbuka tulianza safari saa 6 na dk 43 usiku badala ya saa 5 kamili usiku.
Wakati tupo angani Air hostess wakawa wanagawa “Incoming Passanger card” au “Arrival card” kwa abiria ambao ni wageni kwa ajili ya kupunguza traffic tutakapofika.
Basi nikajaza ile card isipokua sehemu ya Anuani wapi exactly naenda huko Bangalore. Yani I took it easy as if kama tunapokua kwetu Bongo ukisema naenda TEMEKE bila kusem ni wapi TEMEKE. Mbaya zaidi hata hizo anuani za rafiki yangu sikuwa nazo kwa wakati huo. (Ieleweka hapa anuani namaanisha Mji, eneo ninaloenda ndani ya mji huo na namba ya nyumba anayoishi mwenyeji wangu)
CHENNAI AIRPORT
Tulipofika Chennai ilikua saa 9 na nusu Alfajiri na ilibaki nusu saa tuu ya kuingia kwenye ndege yangu ya pili ambayo ilikua inaelekea Bangalore.
Niliposhuka nikamkabidhi Afisa mmojawapo ile kadi yangu niliyoijaza. Alipo ikagua akakuta sehemu ya anuani sijajaza. Hapo balaa likaanza.
Akaanza kuniuliza naelekea wapi namwambia Bangalore; Anaanza kuniambia Bangalore ni kubwa wapi exactly unapoenda aisee sipajui, ikabidi aombe passport yangu kucheki kama nimetimia au nimekuja kimagumashi.
Akakagua akakuta nipo sawa, akaanza kunidai address halafu mimi siijui. Akanionesha sehemu ya kupigia simu akaniambia nimpigie rafiki yangu anitumie address alipo.
Kumbuka hapo ni usiku na jamaa anategemea kuja kunipokea saa tatu asubuhi Airport. Aisee nilipiga simu jamaa hapokei alikua amelala. Ikabidi yule Afisa aje kunichukuA akanipeleka kwenye ofisi ya Uhamiaji kwa Boss wao.
Wakati tunaelekea Ofisi za Uhamiaji Mara ghafla nasikia natangazwa kwenye vipaza sauti pale Airport nanukuu;
“Passenger Mr. XXX booked on a flight xxxx to Bangalore please proceed to the gate no 5 immediately for boarding”
Niliitwa pale mara tatu.
Thanks God my panic button huwa iko mbali nikawa nimetulia tu namfuata jamaa mdogo mdogo huku napanga na kupangua kichwani.
Basi tukafika kwa Afisa mkuu pale akaniambia wanachoweza kunisaidia ni kunipa simu ya bure kuwasiliana na huyo rafiki yangu ikishindikana ni kunirudisha nilipotoka.
Ikabidi nitulie kidogo kwanza then nikatumia simu yangu nikampigia jamaa finally after 5 attempts akapokea.
Jamaa akanitumia zile details nikarudi kule migration nikajaza details nikagongewa stamp ya kuingia.
Wakati narudi kule migration kumalizia kujaza zile taarifa Nikamkutana Afisa mwingine kaja kunitafuta kule migration baada ya kuachwa na flight.
Akaanza kunihoji na yeye Basi ikabidi nianze kudefense pale kwamba haikua kosa langu ila flight ilichelewa kufika na kutoka Muscat.
Thanks God nikaeleweka wakanipeleka kuchukua mabegi yangu (Hayakupakiwa kwenye ile flight iliyoniacha) Wakanipeleka kwenye upande wa domestic flight wakanikatia tiketi ya Jet to Bangalore.
Finally nikaingia Bangalore saa 6 mchana badala ya tatu asubuhi.
NB. Inaweza kuwa ni ndefu lakini unaweza kujifunza kitu.
thank you for sharingMimi sikuachwa na ndege ugenini, bali hapahapa Bongo!
ilikua mwaka 2017 nimepata safari kwenda Germany! tiketi yangu ilikua inaonesha ndege inaondoka saa kumi jioni! (QATAR AIRWAYS). Kutokana na ushamba wangu enzi hizo sikujua kuwa natakiwa kuangalia mara kwa mara my flight schedule ili kama kuna changes za muda niweze kuona.
Kumbe bwana ndege ilibadilisha muda few days kabla ya safari, badala ya saa 10 jioni, ikabadilishwa saa saba mchana, me sikujua hilo.
Basi siku hio nmejipanga safi kwa safari, saa saba kamili niko airport, nafika reception ya qatar nakuta hamna mtu bas nkajitutumua nikadhani me ndio nimewahi wa kwanza kufika[emoji23][emoji1787][emoji1787].
nikafika kwa ajili ya kufanya check -in! Wakaniuliza unaelekea wapi, nikasema angalieni ticket naelekea Munich - Germany! Shabaaaash wakasema mbona ndege yako ndio inaondoka saa hizi gate wamefunga dakika chache zilizopita! Damn it nliishiwa nguvu! ntaambia nini watu na nlishaaga[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Basi wakasema huo uzembe wangu nilipe fine usd 50 wafanye booking ticket ya kesho. Nikasema huo ni izembe wenu kama mli change muda mlipaswa kutoa taarifa kwa wateja wenu, kama mnachukua email na namba zetu na hamtupatii taarifa za changes je nini maana ya customer service?. Tukabishana mpaka akaja boss wao bas wakakubali makosa ni yetu mimi nna kosa kutoangalia my flight na wao wana makosa kutotoa taarifa.
bas wakasema watanipa free accomodation wana schedule ndege ya kesho! basi tukaondoka wakanipeleka serena hotel.. sikuamini macho yangu kwa mara ya kwanza nililala serena hotel sehemu ambayo sikuwahi kuwaza hata katika ndoto.
basi kesho yake wakaja kunichukua saa saba mchana na nikaondoka saa 10 tukapaa mpaka Doha then nika change flight to Munich - Germany. Nikafika saa 12 alfajiri.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] a.m na p.m huwa zinachanganya watuMimi nilikuwa na Safari ya kushuka bondeni kwa madiba.
Hiyo ticket ilikatwa na mtu Mwingine wa kampuni Fulani tulikuwa tunakwenda kusaidiana kazi ya hiyo kampuni yao nikatumiwa tu soft copy ya ticket ,ndege ilikuwa iondoke saa sita na nusu ALFAJIRI nikakutana na huyo ninaesafiri naye siku moja kabla ya Safari akanisisitiza safari ni saa Sita na nusu KESHO, sikutilia maanani kwamba ni kesho ALFAJIRI Au MCHANA na sikuhangaika kuangalia muda kwenye Ticketnikajua tu ni KESHO saa 6 na nusu Mchana![]()
Nikalala kuja kuamka kesho asbh saa 12 ili nianze jiandaa kwa Safari ya saa sita na nusu mchana kumbe huo muda Ndege ishafika inakokwendanakutana na missed call Zaidi ya 70 za jamaa ninayesafiri naye na meseji kibao, nikapagawa muda huohuo nikakurupuka nikadaka bodaboda mpaka airport![]()
Mambo yaliisha ila nilitoboa mfuko kweli kweli
Ilinifunza kuwa makini siku zingine
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] utakuwa ulijiona mjinga sanaSitasahau. Niliwahi kuachwa na ndege kwa jambo la kijinga na kutokuwa makini, nikalazimika kununua ticket nyingine. Ilikuwa hivi: Ndege inaondoka saa sita na dakika 5 usiku. Kitu ambacho nilisahau ni kuwa ikishafika saa sita na dakika 5, tayari ni siku mpya. Tiketi yangu iliandikwa depurture time ni saa sita na dakika tano, siku ya Jumanne. Kwa hiyo nilitakiwa niende Airport siku ya Jumatatu usiku. Nikafanya kosa la kusubiri ikafika Jumanne jioni saa 3, ndiyo nikaenda Airport, nikitegemea kuwa naondoka usiku huo. Kumbe ikishafika saa 6 usiku, tayari inakuwa imeingia Jumatano.