Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,941
umechorea bongo au mbele?Ninazo za kutosha and it's my fav things on my body. Come on nigga.

so unaweza ukafika nusu saa kabla n still foleni ikawa kubwa ukaachwa?Kwanza kabisa ni usahihi wa documents zako za kusafiria. Hakikisha vitu kama passport, visa na details za unapokwenda zipo sawa.
Pili verify muda wa kutoka kwa ndege yako ni upi maana wakati mwingine hizi PM na AM kama hujacheki vema unaweza kwenda jioni kumbe ndege imetoka alfajiri.
Tatu zingatia check in time, kama inavyoshauriwa masaa mawili au matatu kabla ya safari. Unaweza kufika nusu saa kabla ya safari ukakuta foleni ndefu ya kuchek in ukajikuta umechelewa. Au unaweza kupata katatizo kadogo tu cha kusolve ndani ya nusu saa ila kwa vile ulifika mda umeisha ukajikuta unaachwa.
Lakini nne zingatia sana geti lako unalopandia ndege. Kwa wenzetu viwanja vyao vya ndege ni vikubwa so ukicjanganya hizo geti mpk kulitafuta geti lako unaweza kujikuta umeachwa.
Hayo nadhani ya muhimu kuzingatia. Wadau wengine watajazia
ikawaje ukaescape?Hii kidogo inicost Bangkok
Randi 2000 ni sh ngapi ya kibongo?Desemba mwaka jana nikisafiri kutoka Durban kuliko Bongo Dsm ! Tiket ilionyesha ndege itaondoka saa moja na nusu asubuhi ! Babati mbaya usiku wa kesho yake safari kwenye Hotel niliyofikia hakukuwa na wifi kwa hyo ilipofika saa kumi usiku ili niondoke kwenda Airport nikakosa namna ya kuita uber bahati mbaya zaidi kila kitu ni self service unapewa funguo za kila kitu na nikipiga simu reception hazipokelwi.....mtu mzima misuli ilisimama ikabidi nikajikaza kiume nikatoka nje na mabegi yqngu nikaanza kuhesabu huku nikaogopa kuporwa (mana wasauzi ni kama wana laana ) ! Mungu saidia nilikuja kupata taxi saa kumi na mbili kasoro mpaka nafika Airport nakuta pipa linapepea ....daaaaah....Kenya Airways wakasema niongoze hela kidogo kama randi 2000 wakanipakia kwenye pipa lingine
Kama mungu tu nikasema let me recheck my flight schedule.ikawaje ukaescape?
z inahusu nini hapa mkuuzile jeans zako ngumu za diesel ulinunua wapi?
kwasababu ulinunua nje ya nchi.na huu Ni uzi wa kusafiri nje ya nchiz inahusu nini hapa mkuu
Nchi zote Europe zipo Diesel,hata wewe ukitaka agiza online au mchina pia ana Diesel brand zakekwasababu ulinunua nje ya nchi.na huu Ni uzi wa kusafiri nje ya nchi
hivi ukienda nchi nyingine time zones hazichanganyi?Kama mungu tu nikasema let me recheck my flight schedule.
Nikakiona kimeo
salute mzee brand nyingine kali ukitoa diesel?Nchi zote Europe zipo Diesel,hata wewe ukitaka agiza online au mchina pia ana Diesel brand zake
Nimo sana G star Rawsalute mzee brand nyingine kali ukitoa diesel?
t shirt gani brand kali?Nimo sana G star Raw
Hahaja dah haya chief umetishaa sanaaNyengine Hearthrow to Dubai Qatar AIRWAYS,
Ilitokea hitilafu gani sikumbuki basi delay kama saa nzima tuko tu ndani mle tumepigwa stop traffic baada ya hiyo hitilafu zikawa zinaruhusiwa zilizokuwa zinaondoka mapemaa so air traffic ikatuhusu thanks to dreamliner 380a,
movie,documentary sijui nini na kilaji safi tu no limit.no bored
Mwisho ikawa pyee tunaondoka,usiku km sa saba hivi dude hilo likapaa
Njiani kama kawa tukapigwa biriani alafu mi nikawa naatwanga tu masanga kule juu sikupendi basi tu safari lazima uende. so huwa napiga mambo njia nzima.
Mara tukaland siku ya pili kama kawaida mi connection to bongo hapo nimejichokea.
Jina likatangazwa fulani bin fulani proceed to door your flight is about to leave,duh
poa nikasogea,simama pale no panic mpaka wafungue mlango.
Ile nashuka tu nikakuta kile kiberenge chao twende twende wahi,aah nilikua slow mpaka basi nimekipanda kikatushusha karibia na gate,naburuta kibegi changu kupanda juu kule namkuta afisa mwingine anakuja sijui muhindi yule au mwarabu siku hiyo alikoma na mimi
Yuko "KIMBIA KIMBIA NDEGE INAKUACHA" huku anabwabwaja na redio call aah wapi nani akimbie.
Nikamwambia nyie ondokeni tu.
Nilitaka waniache tu badae huo tuumizane kwenye fidia,walingoja nikapanda taratibu na kile kimbayuwayu kikaondoka spidi sana.
Nakumbuka sana usiku wa kuamkia X-mas mwaka 2009, nikiwa Schiphol Airport ama the Netherlands International Airport nikitokea DSM nikielekea Brussels, nilifika asubuhi kama saa mbili za kule. Siku hiyo kulikuwa na theluji kali sana hali ambayo ilisababisha safari kuharishwa mara kwa mara kupitia spika za matangazo kwa wasafiri hasa ambao tuliokuwa "in transit"Salute wakuu,
As per title hapo juu, Ulishawahi kuachwa na ndege ugenini? Ilikuaje na Ulifanyaje? Let’s share experience.
Back in 2014 nikiwa chuo mwaka wa pili nchini Oman kwa His Excellency late Sultan Qaboos bin Said (May his soul R.I.P) ndipo niliweka plan za kwenda kumtembelea rafiki yangu mmoja aliekua akisoma Bangalore nchini India.
MIPANGO YA SAFARI
Niliaanza kuplan my trip, kwanza Nikampigia simu swaiba kama ataweza kuni-accomodate for two weeks at his place, As u know accommodations ndio big issue kama hauna mpunga wa kutosha kufikia hotelini huko ng’ambo.
Baada ya kuweka mambo sawa na mshikaji nikaanza mchakato wa kutafuta visa.
Nikatembelea Agency ya India nchini Oman wanaohusika na utoaji wa visa. Nakumbuka ilinigharimu kiasi cha 20 OMR ambazo kwa kipindi hicho zilikua almost sawa na Tsh 97,000/= plus 5 OMR processing fee. Ndani ya siku 7 nikawa nimefanikiwa kupata 3 months visitation visa.
Baada ya kupata visa nikaanza kutafuta the cheapest flight to Bangolore India. Mind u that I was student so nilikua na save from my monthly allowance nilizokuwa nalipwa College kwa ajili ya kujikimu.
Katika kutafuta tafuta huko online nikakutana na Air India ambayo ndio ilikua nafuu kwa wakati huo na ilinigharimu 133 OMR for a round trip.
Baada ya kumaliza ku-book tiketi yangu na kuilipia nikaprint na kuihifadhi na kusubiri siku ya safari ambayo ilikua 01/02/2014.
SIKU YA SAFARI
Hatimaye siku ya safari ikawadia safari ilikua imepangwa kuwa ni saa tano kamili usiku. Mapema kabisa nika-show up Muscat IA two hrs earlier before departure for check in.
Baada ya kufanya taratibu zote za ukaguzi pale Airport tukaingia ndani kusubiri ndege yetu itakayotupeleka mpaka Chennai, India ambapo tungekuwa na two hours za kusubiri na kubadilisha ndege nyingine ambayo ingetufikisha hadi Bangalore.
Kwa bahati mbaya ile ndege ikachelewa kwa zaidi ya saa na nusu kufika pale Muscat IA. Hapa sasa ndipo shida ilipoanzia. Nakumbuka tulianza safari saa 6 na dk 43 usiku badala ya saa 5 kamili usiku.
Wakati tupo angani Air hostess wakawa wanagawa “Incoming Passanger card” au “Arrival card” kwa abiria ambao ni wageni kwa ajili ya kupunguza traffic tutakapofika.
Basi nikajaza ile card isipokua sehemu ya Anuani wapi exactly naenda huko Bangalore. Yani I took it easy as if kama tunapokua kwetu Bongo ukisema naenda TEMEKE bila kusem ni wapi TEMEKE. Mbaya zaidi hata hizo anuani za rafiki yangu sikuwa nazo kwa wakati huo. (Ieleweka hapa anuani namaanisha Mji, eneo ninaloenda ndani ya mji huo na namba ya nyumba anayoishi mwenyeji wangu)
CHENNAI AIRPORT
Tulipofika Chennai ilikua saa 9 na nusu Alfajiri na ilibaki nusu saa tuu ya kuingia kwenye ndege yangu ya pili ambayo ilikua inaelekea Bangalore.
Niliposhuka nikamkabidhi Afisa mmojawapo ile kadi yangu niliyoijaza. Alipo ikagua akakuta sehemu ya anuani sijajaza. Hapo balaa likaanza.
Akaanza kuniuliza naelekea wapi namwambia Bangalore; Anaanza kuniambia Bangalore ni kubwa wapi exactly unapoenda aisee sipajui, ikabidi aombe passport yangu kucheki kama nimetimia au nimekuja kimagumashi.
Akakagua akakuta nipo sawa, akaanza kunidai address halafu mimi siijui. Akanionesha sehemu ya kupigia simu akaniambia nimpigie rafiki yangu anitumie address alipo.
Kumbuka hapo ni usiku na jamaa anategemea kuja kunipokea saa tatu asubuhi Airport. Aisee nilipiga simu jamaa hapokei alikua amelala. Ikabidi yule Afisa aje kunichukuA akanipeleka kwenye ofisi ya Uhamiaji kwa Boss wao.
Wakati tunaelekea Ofisi za Uhamiaji Mara ghafla nasikia natangazwa kwenye vipaza sauti pale Airport nanukuu;
“Passenger Mr. XXX booked on a flight xxxx to Bangalore please proceed to the gate no 5 immediately for boarding”
Niliitwa pale mara tatu.
Thanks God my panic button huwa iko mbali nikawa nimetulia tu namfuata jamaa mdogo mdogo huku napanga na kupangua kichwani.
Basi tukafika kwa Afisa mkuu pale akaniambia wanachoweza kunisaidia ni kunipa simu ya bure kuwasiliana na huyo rafiki yangu ikishindikana ni kunirudisha nilipotoka.
Ikabidi nitulie kidogo kwanza then nikatumia simu yangu nikampigia jamaa finally after 5 attempts akapokea.
Jamaa akanitumia zile details nikarudi kule migration nikajaza details nikagongewa stamp ya kuingia.
Wakati narudi kule migration kumalizia kujaza zile taarifa Nikamkutana Afisa mwingine kaja kunitafuta kule migration baada ya kuachwa na flight.
Akaanza kunihoji na yeye Basi ikabidi nianze kudefense pale kwamba haikua kosa langu ila flight ilichelewa kufika na kutoka Muscat.
Thanks God nikaeleweka wakanipeleka kuchukua mabegi yangu (Hayakupakiwa kwenye ile flight iliyoniacha) Wakanipeleka kwenye upande wa domestic flight wakanikatia tiketi ya Jet to Bangalore.
Finally nikaingia Bangalore saa 6 mchana badala ya tatu asubuhi.
NB. Inaweza kuwa ni ndefu lakini unaweza kujifunza kitu.
But why do you wanna know more about me? Mmmh....I gotta tattoos...that's it. It doesn't matter where I sat down to get myself tattooed.umechorea bongo au mbele?
nataka nichore pia sema hapa bongo naona kama low qualityBut why do you wanna know more about me? Mmmh....I gotta tattoos...that's it. It doesn't matter where I sat down to get myself tattooed.
Daa usinikumbushe ndo ilikuwa first kusafiri na international. Nlikuwa naenda bangarole pia na ndege ya etihad as u know zile ndege lazima itua abudhabi. Nliondoka saa saba hivi mchana na saa mbili usiku ndo tulitua abudhabi nikiunganisha ndege ya saa sita usiku. Basi bwana nikatafuta gate hadi nikapata, nikajua bado nina muda wa kutosha tu acha nianze kuzurura mle ndani. Muda ukakaribia nikaanza kurudi kwenye geti langu. Ebanaeeeeh nikapotea nimekuja kupata gate mi ndo abiria wa mwisho. As u know ule uwanja ni kama kijijiSalute wakuu,
As per title hapo juu, Ulishawahi kuachwa na ndege ugenini? Ilikuaje na Ulifanyaje? Let’s share experience.
Back in 2014 nikiwa chuo mwaka wa pili nchini Oman kwa His Excellency late Sultan Qaboos bin Said (May his soul R.I.P) ndipo niliweka plan za kwenda kumtembelea rafiki yangu mmoja aliekua akisoma Bangalore nchini India.
MIPANGO YA SAFARI
Niliaanza kuplan my trip, kwanza Nikampigia simu swaiba kama ataweza kuni-accomodate for two weeks at his place, As u know accommodations ndio big issue kama hauna mpunga wa kutosha kufikia hotelini huko ng’ambo.
Baada ya kuweka mambo sawa na mshikaji nikaanza mchakato wa kutafuta visa.
Nikatembelea Agency ya India nchini Oman wanaohusika na utoaji wa visa. Nakumbuka ilinigharimu kiasi cha 20 OMR ambazo kwa kipindi hicho zilikua almost sawa na Tsh 97,000/= plus 5 OMR processing fee. Ndani ya siku 7 nikawa nimefanikiwa kupata 3 months visitation visa.
Baada ya kupata visa nikaanza kutafuta the cheapest flight to Bangolore India. Mind u that I was student so nilikua na save from my monthly allowance nilizokuwa nalipwa College kwa ajili ya kujikimu.
Katika kutafuta tafuta huko online nikakutana na Air India ambayo ndio ilikua nafuu kwa wakati huo na ilinigharimu 133 OMR for a round trip.
Baada ya kumaliza ku-book tiketi yangu na kuilipia nikaprint na kuihifadhi na kusubiri siku ya safari ambayo ilikua 01/02/2014.
SIKU YA SAFARI
Hatimaye siku ya safari ikawadia safari ilikua imepangwa kuwa ni saa tano kamili usiku. Mapema kabisa nika-show up Muscat IA two hrs earlier before departure for check in.
Baada ya kufanya taratibu zote za ukaguzi pale Airport tukaingia ndani kusubiri ndege yetu itakayotupeleka mpaka Chennai, India ambapo tungekuwa na two hours za kusubiri na kubadilisha ndege nyingine ambayo ingetufikisha hadi Bangalore.
Kwa bahati mbaya ile ndege ikachelewa kwa zaidi ya saa na nusu kufika pale Muscat IA. Hapa sasa ndipo shida ilipoanzia. Nakumbuka tulianza safari saa 6 na dk 43 usiku badala ya saa 5 kamili usiku.
Wakati tupo angani Air hostess wakawa wanagawa “Incoming Passanger card” au “Arrival card” kwa abiria ambao ni wageni kwa ajili ya kupunguza traffic tutakapofika.
Basi nikajaza ile card isipokua sehemu ya Anuani wapi exactly naenda huko Bangalore. Yani I took it easy as if kama tunapokua kwetu Bongo ukisema naenda TEMEKE bila kusem ni wapi TEMEKE. Mbaya zaidi hata hizo anuani za rafiki yangu sikuwa nazo kwa wakati huo. (Ieleweka hapa anuani namaanisha Mji, eneo ninaloenda ndani ya mji huo na namba ya nyumba anayoishi mwenyeji wangu)
CHENNAI AIRPORT
Tulipofika Chennai ilikua saa 9 na nusu Alfajiri na ilibaki nusu saa tuu ya kuingia kwenye ndege yangu ya pili ambayo ilikua inaelekea Bangalore.
Niliposhuka nikamkabidhi Afisa mmojawapo ile kadi yangu niliyoijaza. Alipo ikagua akakuta sehemu ya anuani sijajaza. Hapo balaa likaanza.
Akaanza kuniuliza naelekea wapi namwambia Bangalore; Anaanza kuniambia Bangalore ni kubwa wapi exactly unapoenda aisee sipajui, ikabidi aombe passport yangu kucheki kama nimetimia au nimekuja kimagumashi.
Akakagua akakuta nipo sawa, akaanza kunidai address halafu mimi siijui. Akanionesha sehemu ya kupigia simu akaniambia nimpigie rafiki yangu anitumie address alipo.
Kumbuka hapo ni usiku na jamaa anategemea kuja kunipokea saa tatu asubuhi Airport. Aisee nilipiga simu jamaa hapokei alikua amelala. Ikabidi yule Afisa aje kunichukuA akanipeleka kwenye ofisi ya Uhamiaji kwa Boss wao.
Wakati tunaelekea Ofisi za Uhamiaji Mara ghafla nasikia natangazwa kwenye vipaza sauti pale Airport nanukuu;
“Passenger Mr. XXX booked on a flight xxxx to Bangalore please proceed to the gate no 5 immediately for boarding”
Niliitwa pale mara tatu.
Thanks God my panic button huwa iko mbali nikawa nimetulia tu namfuata jamaa mdogo mdogo huku napanga na kupangua kichwani.
Basi tukafika kwa Afisa mkuu pale akaniambia wanachoweza kunisaidia ni kunipa simu ya bure kuwasiliana na huyo rafiki yangu ikishindikana ni kunirudisha nilipotoka.
Ikabidi nitulie kidogo kwanza then nikatumia simu yangu nikampigia jamaa finally after 5 attempts akapokea.
Jamaa akanitumia zile details nikarudi kule migration nikajaza details nikagongewa stamp ya kuingia.
Wakati narudi kule migration kumalizia kujaza zile taarifa Nikamkutana Afisa mwingine kaja kunitafuta kule migration baada ya kuachwa na flight.
Akaanza kunihoji na yeye Basi ikabidi nianze kudefense pale kwamba haikua kosa langu ila flight ilichelewa kufika na kutoka Muscat.
Thanks God nikaeleweka wakanipeleka kuchukua mabegi yangu (Hayakupakiwa kwenye ile flight iliyoniacha) Wakanipeleka kwenye upande wa domestic flight wakanikatia tiketi ya Jet to Bangalore.
Finally nikaingia Bangalore saa 6 mchana badala ya tatu asubuhi.
NB. Inaweza kuwa ni ndefu lakini unaweza kujifunza kitu.
Mimi nilishawahi kuachwa na underground train Uingereza ikiwa ni mara yangu ya kwanza kwenda sehemu kutembea na wenyeji, ila nilichelewa kuingia na mlango ukafunga na train ikaondoka na nikabaki peke yangu na sikuwa na ramani mkononi na wala sikujua niko upande gani na nikitoka pale naelekea wapi. Kitu kilichonipa courage though ni kwamba mfukoni nilikuwa na £100. Hivyo, nilifikiria kwamba kama wale wenyeji hawatarudi kunitafuta (nami niliamua nibaki palepale kwa muda) nichukue taxi mpaka college nilipokuwa nimechaguliwa kusoma. Baada ya muda hao wakaja na kunikuta, then this time nilikuwa makini nisiachwe tena.Kwa hiyo ambao hatujawahi kupanda ndege uzi huu mrefu hautuhusu? Na ukiwa huko juu kwenye ndege mawingu unayaona kabisa laivu au inakuwaje? Ndege huwa inatikisika au ni kimya tu kama umekaa kwenye kochi homu? Samahani kwa maswali mengi mkuu![]()