Ushawahi choka mkeo?

K ni tamu ukimpata mwanamke anayejua maunjanja hata 20 utapiga na kitu kinaendelea kuhitaji, tanga raha sana
 
The Boss kwakwel kwa sasa sitajali sana kama nitagundua hayo,zaidi nitatumia nafasi hiyo ku move out..I cant just leave her man.Ukiacha tofauti za kawaida she is a good wife.Nkimwacha tu nitafeel guilty sana.
Labda ungetuambia yy ana act vipi towards you? Is she always there ukimuhitaji? Je ni MTU wa ndio kwny kila kitu? Is she working? Je anajipendezesha kukupa excitment ? May b tunaeza shauri from there
 
Inawezekana kuna vitu ambavyo vilikuwepo kabla ya ndoa na sasa havipo ni bora mjichunguze nini kimepungua kati yenu nina hakika mkifanyia kazi utarudi kwenye hisia zako kama zamani kuna tatizo ambalo wake zetu wanalo la kujisahau baada ya ndoa hua wanajiachia.
Kama mitindo mlikua mnapeana jikoni,sebuleni tena kwa vurumai au ukirudi unamkuta hajavaa pichu au muda mwingine anakatiza sebuleni mtupu ila baada ya familia kukua hawezi tena mabalaa hayo lazima upoteze hisia ivyo ni bora mjenge mazingira ya kutoka kwenda sehemu tofauti mkafanye mabalaa yenu msahau vurugu za watoto.
 



...always on point girl!
 
Mie nna miaka kumi na moja naona bado sijamfaudu. Mtoto anaonekana mpya na tuna watoto wawili
 
very true dear, marry your best friend changamoto zipo ndio lakini kuishi na mume/ mke kama bff wako ni raha, wote mna common interests, partners in crime and hata likitokea tatizo ni rahisi kumu approach mwenzio.. hakuna mtu anayependa kumuumiza best friend wake
 
Una ndoa? Una watoto? Fikiria kuhusu watoto sio wewe na mpenzi wako, yaani niishi bila watoto wangu? Hahahaha
Kwani unamuacha, we mpe ruhusa akatembee kwao, itakusaidia kuona umuhim wake kwako! Sometimes tunachukulia vitu vingi for granted, visipokuwepo ndo tunajutia. Itakupa muda wa kufikiria vzr umuhim wake kwako
 
Aisee, Yawezekana Wewe Na Mkeo Mko Jf Maana Yuko Mama Analalama Ana Ndoa Ya Miaka 8 Na Watoto 2 Na Mumewe Hamjali. Cha Msingi Mjiulize Yako Wapi Yale Mapenzi Ya Awali?
 
Hahaaa partners in crime indeed, mjikute sasa mmefumwa kwenye crime yenu teh
 
Labda ungetuambia yy ana act vipi towards you? Is she always there ukimuhitaji? Je ni MTU wa ndio kwny kila kitu? Is she working? Je anajipendezesha kukupa excitment ? May b tunaeza shauri from there


Point nyingine muhimu, this's an important role to play kwa upande wetu. It's good to play around with him sometimes, kuwa mgumu kiasi so he should work a little harder to get to you.
 
inawezekana mmezoe style moja, au uchanganyi mboga.... Kula mboga zote mkuu, hutamchoka mkeo...!
 
Jiongeze tu.. Njia kuu kuna foleni kuchepuka ndo dili
 
Umeongea kila kitu Douta..Mkiwa marafiki raha sana..Mnashare moments kibao pamoja kiasi kwamba hata mtu akiwa mbali anammiss mwenzake.. Sio mnakuwa kwenye ndoa kama mko kwenye chumba cha mtihani,Kila mtu na hamsini zake..Unaanzaje kummiss mwenzio kwa mfano..Kwa lipi hasa..

Teh teh..Huo mpira wala usikupe shida..Watoto wengi wa kike hilo ni shida..Mi mama ako sio mfwatiliaji wa mpira ila ameamua tu kuwa mpinzani wangu..Siku tukishinda ataponda,tukifungwa ataponda basi vurugu tu..Uwa naenjoy comments zake btw
 
Hahahah bora chumba cha mtihani, wengine tutapiga tu chabo. Imagine unaishi na mume as if ni baba mkwe wako, khaa mbona balaa

Hahaa huo mpira sasa nachekaga kichizi. Mzee wangu ana fujo kama mimi, siku sasa team yake ikifungwa, sio kwa huo utani wa mama. Akirudi siku hiyo anakuwa mpoleee jamani, utahisi hayupo home hahhaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…