Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
Hana ubavu huo, haya makelele anapiga kwa kuwa yuko ndani ya chama. Akiondoka ndani ya CDM kitu pekee anachoweza kushinda ni ubunge wake, na kwa kuwa ni jimbo liloiloko kijijini, ingekuwa ni mbunge kama wa Ubungo hata jimbo hapati

akitoka Chadema hata ubunge hawezi kushinda.
 
..What I can say Zitto, ame play Role kubwa kuifanya CHEDEMA kukomaa whether ni msaliti au sio msaliti! Chadema sio exception party kilihitaji kupitia hapo kinapopitia hata kama sio kwa mgongo wa Zitto!

That is a growth cave CDM isingeweza kutohitaji!

Kama ataondoka au hata ondoka ... In a positive way .. ameijenga CDM in negative way ameisaliti, amekuwa kinyume na mitizamo ya wanachama wenzake...yeye mweneywe anasema hayuko radhi kulamba visigino!!

Haya si maendeleo? Huu msigano ni hasi kwa ukomavu wa chama?

weak soldiers go, strong soldiers come!
 
Swala la ushirikina kwao Zitto ni kawaida. Kigoma twalijua hili
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hicho chama kitakuwa kwa kasi kwasababu kitatumia ndumba tupu.Rais kijana anajigamba uchawi!inawezekana huko kwenye genge lao la wachawi ni rais,sasa amenogewa anataka kuupeleka magogoni.TOKA PEPO MCHAFU!!
 
Wakaskazini bana, yaani muanzishe propaganda chafu dhidi ya ZZK, kisha yeye ndio atoke chamani? Thubutu
 
Kwa hakika ZZK hawezi kabisa kuwa kiongozi!!! Kiongozi si kutema cheche za mdomoni ni pamoja na talent ya namna ya kuongoza!! Kwanza ana jaziba na mtu wa makundi ambapo kwa kiongozi ni hatari sana, hataweza kujenga umoja/chama dhamiriwa!! Pindi atakapoanzisha chama chake jua kuwa ni mwisho wake!! Bora arudi SSM anakoitumikia au abaki kuwa Ndumilakuwili CHADEMA!!!
 
akitoka Chadema hata ubunge hawezi kushinda.

Mwaka 2012 alishindia tundu la sindano tu.. Jaribu download matokeo ya wabunge yote halafu uone!! Ushindi ulikuwa mwembamba kulinganisha na akina Lema na Lisu na wengie CDM!!! 2015 asithubutu kabisa
 
Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.
viongozi wazuri mara nyingi hawajitokezi hadharani kutafuta umaarufu wa kisiasa.Hivyo ninathubutu kusema kwa wote wanaong'ang'ania/kutangaza kugombea nafasi kama za urais,non of them is the presidential material.......Tanzania hatuna mfumo mzuri wa kutafuta wagombea nafasi mbalimbali za kisiasa...........From this point ni vigumu sana kuja kupata kiongozi mzuri hasa wa ngazi za juu.
 
Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.
You are either above suspicion or you are not. You can't be presidential if you are above suspicion "in many respects." Such punditry is misguided.
 
zitto anafaa sana kuwa rais! The guy is so smart kuliko maboya wengine chadema.Slaa awe rais? Hiyo ni fedheha na kutoitakia mema tz,mzee ana njaa kali,ni mapovu tu hana lolote

Anafaa eeeh?
 
Mh Zito kabwe kwa mikono miwili tunakukaribisha ADC tuje tujenge chama cha kizalendo na chama imara kwa mslai ya taifa chama kisicho na ukabila wala dini najua kabla ya 2015 tutakua na wanachama wengi kwani wapo wengi wanoumizwa na vyama uchwara visivyojali democrasia kama ccm na Cdm.sasa ni wakati muafaka wa kuanzisha chama ambacho kitaanzia kwenye mwanachi wa chini kabisa(from the root) ili 2014 serekali za mitaa tukimbize mchaka mchaka achana na hizo m4c.
naamini ADC 2020 tutakimbiza sana.

ADC forever
 
Haya ndiyo yalimponza Nape na CCJ yao.
 
akitoka Chadema hata ubunge hawezi kushinda.
kwa akili yako ubunge alipata kisa alikua cdm? kumbuka wakati anashinda walishinda wabunge wangapi 2005?
enzi hizi mmearibika sana mnaangalia chama na sio mtu.
 
Mwaka 2012 alishindia tundu la sindano tu.. Jaribu download matokeo ya wabunge yote halafu uone!! Ushindi ulikuwa mwembamba kulinganisha na akina Lema na Lisu na wengie CDM!!! 2015 asithubutu kabisa
mbona haujamtaja mbowe alivyoshinda kwa tabu?
 
AANZISHE MARA NGAPI WEWE HUJASIKIA ANA CHAMA KINAITWA TUNTEMEKE NA KINGINE PM7

SEmA NI WAKATI WA HUYU JAMAA KUKUZA CHAMA CHAKE CHA TUNTEMEKE
 
Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.

sawa kabisa naunga mkono hoja
 
Kwenye politics kufaa au sio kufaa sometimes
hakutazamwi

watu hutazama wafuasi wangapi unao
so kama yeye anaamini anaweza kugombea urais na kushinda
basi hawezi kushindwa kuanzisha chama na kikawa cha kitaifa
atajisaidia yeye na kuisaidia chadema pia

Kuwa na wafuasi tu kwa mtu makini hakuwezi kumsukuma kugombea nafasi hii kubwa kabisa nchini.

Mbona tuna rahisisha sana hili tendo la kuwa mgombea makini wa Urais.

Kama ni kutimiza haki yake kikatiba, tha's fine, lakini natumaini kwa kelele hizi lazima fikra zake ziwe zaidi ya hivyo.

-Inatakiwa kwa sasa kuajiri timu nzuri ya watu wa PR's ili ajioshe katika jamii lakini kwa mbinu hizi anazotumia kwa sasa zinakuwa beyond oldinary tanzanian imagination.

CCM oyeeeeeeee! CDM kwisha! Kwisha! Kwisha kabisaaaaa!
 
Siko hapa kumuunga mkono
na utaona sijasema 'anafaa'
lakini kugombea urais ni haki yake ya kikatiba
sasa bora atoke huko Chadema afanye siasa where he will be more free
na Chadema watajipanga vizuri

Hakuna ushauri wa msingi kwa zaidi zaidi ya huo uliotoa, sababu akijaribu kwenda kwenye chama kingine wataishi nae kwa machalemachale sana wakati yeye anataka kujitanua na uenyekiti wa chama.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom