Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,741
- 3,546
Umeongea point kitachofuata hapo ni kugongeana wake waishie kutiliana sumu
Mbona mmejazana hapo nyumbani kwa wazazi wako?
Acha ujinga kwanza, toka hapo nyumbani, nenda kapange kwako haraka sana...
Hata sijamaliza kusoma habari yako, tatizo hapo ni huo mlundikano.... Baba mkwe, mama mkwe, mdogo mtu na mkewe, wewe na mkeo, sijui nani na nani tena....
Toka hapo upesi sana na mkeo nenda ukapange hata kama itakua ni chumba kimoja na choo cha nje, ndoa yako itakua na amani zaidi, niamini mimi brother!! Fanya hivyo kwanza haraka sana, kabla ya chochote.
malembeka18