Ushauri wenu wanaJF, mke wangu ana tabia za umbea

Mmmnh...Mwanaume unaandika maandishi mengi sana bwana...
Kama umemchoka mkeo endeleeni kuishi hapo kwa wazazi wako..!
 
Ushauri ni kwamba.
Mruhusu awe anakwambia wewe kila kitu kibaya kuhusu familia yako. Hivo atayamwaga kwako na hatoyapeleka nje.
Nshambembeleza sana kwaupendo hasemi zaid yakutoa malalamiko yake nkiwa nimeoka kwenda kazini tena kwa njia sms nasikakaa tukajadili kuzungumza kama wanando nami nimeshashauri sana ndoa bora inamara nimawasiliano lakini amekua habadiliki
 
Huyo anaathiriwa na mazingira

Nenda kaishi mazingira ya peke yenu uone atakavyokuwa mpole
Nami nangojea tukaishi ktk mazingira yetu ili nijionee atakavokua kama akiwa hivi ndo nkasema nipate busara hivi ila jicho langu la tatu nimeweza kuhisi kama nikitabia ambacho kimerithiwa maana baba mkwe alishanidokeza vitu flani flani ambavyo havipendi kwa mama mkwe wangu ambvyo baadhi hata mke wangu anavyo
 
Mkuu nimesoma mwanzo mpaka mwisho ingawa kwa tabu sana.
1. Hama kwenu kakae hata chumba kimoja na mkeo.
2. Mpe mimba mpate mtoto.
3. Mkanye mkeo mkiwa wawili usiache wazazi wawasaidie hata ishu ndogo.
4. Mpende mkeo na waheshmu wazazi wako.
5. Narudia hama kwenu na nenda mbali kaanze maisha....
Hapo kwenye kumpa mkewe mimba, ina maana kwenye miaka mitatu ya ndoa hawana mtoto?
Nauliza sababu sijaisoma.
 
Huyu ikiwa muandiko wake ni wa hovyo,je ataweza kuicontrol familia zaidi ya 3 zinazoishi nyumba moja?
Mwandiko tutaajari wakutuandikia wangne damu zetu ni ujasilia mali kwaiyo kama hatujui kuandika wataifanya kazi ya kutunadikia watu wangne tuwape ujira hakuna alieperfect kwa kila kitu hata ww unamadhaifu yako huo ndio ukweli
 
Mwandiko tutaajari wakutuandikia wangne damu zetu ni ujasilia mali kwaiyo kama hatujui kuandika wataifanya kazi ya kutunadikia watu wangne tuwape ujira hakuna alieperfect kwa kila kitu hata ww unamadhaifu yako huo ndio ukweli
Easy brother,usichukulie serious sana,hii ni JF,tupo pamoja mkuu na pole sana katika mitihani unayoipitia,Mungu atakusaidia In sha Allah.
 
Hapana mkuu kila kitu kiko poa mjengo uko mwishoni kukamilika kama miezi miwili imebaki kuisha kabisa nakuhamia na nawife anajua hilo nashangaa kwanini kawa gafla hivi
ACHA KABISA mambo ya kukaa kwenu, wala usingoje kuhamia kwenye nyummba yako
pia usiwakaribishe ndugu yeyote katika ndoa yenu, hata vitab vinasema
nenda kapnge na chukua vyumba viwili au vichache ili ndugu wasije
Mkeo muheshimu ndio Ndoa itaduu,tuseme na yeye angeleta ndugu zake mngekaa kweli?
hii habari inaonesha hata wewe unahusika kusambaza au kumnyanyasa mkeo
 
Una tatizo wewe ka mwanaume kwanini uishi kwenu, huna msimamo hafu huna maamuzi ka mwanaume unamsikiliza mamako, inapokuja swala na hii issue don't base one side utavunja ndoa, hafu pia wewe ni mwenyeji wa ukanda wa pwani mbona umbeya ni jambo la kawaida tu.

Hama hapo kwenu na acha kumsema mkeo ka chini mrekebishane na huyo mkeo mumekutana akili zenu sawa yani pipa na mdomo. Na wewe uache umbeya mwanaume haipendezi
 
Wewe umemchoka mkeo na hujielewi unapenda kumlaumu mwenzako sana wewe ni malaika oa mke wa pili maana ndo akili za waswahili.
Mkuu nshajiongeza kuhusu hilo nanyumba yangu iko mwishoni kabisa kuisha nawife anaijua hiyo hali nashangaa amekua niwavitimbi sana kwavitu ambavyo anajua anamda mfupi tu wakukaa ukweni
 
Back
Top Bottom