Ushauri wenu wanaJF, mke wangu ana tabia za umbea

njia ya kwanza ya kuondekana na maneno ni kuhama hapo yaani ,uende mbali hata siku akitaka kuja kwao awaze mara mbili hata mama atapumzika na maneno pia na mdogo wako ajiongeze mkija ni kumsalimia bi mkubwa tu
 
Mziki nikwamba mzee anang'ang'ania niendelee kubaki kwake Hali yakua misitaki sass inapelekea kutoa maneno makali Sana Kwan mikutaka kuhamia kwangu
 
Back
Top Bottom