malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,793
- 4,488
- Thread starter
- #61
Nimepokea ushauri wakoACHA KABISA mambo ya kukaa kwenu, wala usingoje kuhamia kwenye nyummba yako
pia usiwakaribishe ndugu yeyote katika ndoa yenu, hata vitab vinasema
nenda kapnge na chukua vyumba viwili au vichache ili ndugu wasije
Mkeo muheshimu ndio Ndoa itaduu,tuseme na yeye angeleta ndugu zake mngekaa kweli?
hii habari inaonesha hata wewe unahusika kusambaza au kumnyanyasa mkeo