Ushauri wenu wanaJF, mke wangu ana tabia za umbea

Mkuu nashauri muhame hapo nyumbani ili kupunguza maneno kwa sababu inaonekana mna familia kubwa sana ndo mana maneno yanakuwa mengi...but kwa tabia hizo za mke wako nakuonea huruma sana uko mbele....
Shukra.ndio maana nataka mawazo ili niweze kudhibiti hizi tabia mbele ya safar
 
Mimi nimeusoma wote hajaongelea ishu ya mtoto. Na ukisoma between lines ni kuwa mke wake ni mama wa nyumbani na hayupo busy. Angekua anafanya kazi au ana watoto wa kumkeep busy asingehangaika na ishu ndogo ndogo kama hizo.

Ukikosa shughuli kila neno kwako ni ishu.
Tuna mtoto
 
Ama kweli, Mungu ametuumba tofauti sana. Maana binafsi ninaamini kwamba kosa namba moja ambalo wanaume hulifanya ni kuishi na wake zao nyumbani kwa wazazi wao, na huo ndio mwanzo wa matatizo yote.
 
Mimi nimeoa takribana miaka3.9 sasa mimi na mke wangu tunaishi nyumbani kwa wazazi wangu kwa miaka yote hii tangu tuone hadi hii leo kilichonileta kwenu JF hivi.

Wiki tatu zilizopita mdogo wangu alikuwa anaoa na baada ya kuoa tunaishi nae hapa nyumbani yeye na mke wake mdogo waliolea mkoa mwingne hivo basi wakati wa harusi biharusi alisindikizwa na somo yake kwa hiyo nae somo tulikuwa nae ktk nyumba hii sasa baada ya kumtawisha kesho yake somo akahitaji kwenda kumnunulia vitu sokoni biharus ikabid mama yngu mzazi amwambie mke wangu msindikize sokoni sasa kwa maelezo ya somo wakati wanaenda sokoni mke wangu akawa anamuelezea somo mambo ya nyumba hii kuhusu wakwe akawa anamwambia kuwa hawa wakwe ni wabaya wanaroho mbaya wananinyanyasa sjui kama ndgu yenu ataweza kuishi humu ndani basi somo anasema hakuongea chochote.

Baada ya somo kuondoka kurudi kwao somo alimfuata mshenga wetu waharusi ambae alikua anatuwakilisha huko akamuelezea yoote alioambiwa na mke wangu kuhusu wakwe zake.

Yule mshenga ambae ni ndgu ikabid ampigie sim kumuelezea hizo habari mke wangu,mke wangu akakataa katakata kuongea akabaki analia tu nakuna maneno mke wangi akamwambia mshenga hakuyapenda hiyo alimwabilia kwa sms ikabid mshenga akawaelezea wazazi yoote alioambiwa na somo ikabid tuweke kikao ambacho skua najua nicha nini ila wazazi tayar inaonekana walikua washakaa wenyewe wameonge ila kikao ikawa nikufahamishana mambi ya ndani yasiwe yanatoka nje wala nje yasiwe yanaingia ndani

Sasa baada yakikao mke wangu akawa mnyonge sana akawa najitenga na mama mkwe wake na pia akawa anjitenga na mke mpya wa mdogo wangu hivyo ikapelekea wazazi kuona mabadiliko yake hayo yoote yanatokea hakuwahi kukaka au kuwaomba wazazi wangu wakae waongee nae kuhusu hizo habari zikoje koje lakini mke wangu walaa hana habar wakuwaza kukaa.

Mambo yakawa yanaendelea kumbe nje akienda kuhemea sokoni mke wangu anawahadhia wamama wasokoni kuwa amezushiwa mambo kwamba amewasemea wakwe zake kwa watu kuwa wa roho mbaya wanamtesa hayo mambo kumbe wale wanohadithiwa nao wanayaleta wanaambia ndgu zangu na hata baadhi wanamwambia mama yangu juu ya hayo maneno kuwa wanamtesa wanaroho mbaya na siku akihama kwenda kwake atafanya sherehe

Ikawa sasa mke wangu anajitenga nawazazi wangu na pia anajitenga na mke mpya wa mdogo mim binafsi hali hiyo niliiona nkawa nambembeleza sana kwa upendo anambie lakini katakata kagoma kunambia kulikoni zaid anakua nikulia mda wote analia tu.

Baada ya siku tatu hivi tena akiwa anatokea sokoni mke wangu akiwa kashika kitu mkononi akakutana namama yangu,mama akamuuliza hiko nin mke akasema kitenge cha harus ya jirani mama akamwambia kwa hiyo utakua unashona sare kila harusi utakayo alikwa maisha hayako hivo mwanangu usiwafurahishe watu kwani ukihudhuria nakutoa mchango utapungukiwa nini maana harus yetu haijapita wiki mbili tumeshona majuzi hapa kwa jirani umevaa sare na leo unaenda tena kushona sare ya hiyi harus ya mtaa wa tatu sasa maneno yakamwingia mke wangu hakupenda hakufutahishwa na hiyo nasaaa..kumbe baada ya masaa matatu nyumbani walikuepo bado wapo wageni wakike waupande wa baba yngu waliokuja kwenye harusi ambao mke wangu alikua nao karibu sanaa akafika anawahadithia kimafumbo kuwa kuna watu hawapendi hela zao kuliwa wanuchungu na hela zao kumbe mama alikua chooni anaskia kutoka nje baadae akawauliza wale ndgu kuwa mlikua mnaongea nini wakamuhadhithi yote baadae mama kumuliiza akasema nikweli niliyasema baada ya sku tatu tena mke wangu akaenda kumwambia shangazi yangu tunaishi nae jirani akamwambia kazushiwa mambo juu ya wakwe zake hapo hali yakua mke wangu hata hajakaa na wazazi wangu kuwaelezea ikoje ikoje hiyo kitu zaid anayapeleka nje kwa watu

Sasa wakati kabla ya harus ya mdogo wangu kulikua na sakata zito sana linalomuhusu mdogo wangu na hawala ambae alimpelekea mdogo wangu kfanya ubadhilifu mwingi sana wahela sasa mdgo wangu alikua anataka amuoe huyo mtu sasa sisi tukaona hamfai nayuko kimaslahi kumbe ktk vikao vyoote tuanavyokaa mke wangu kumbe anayatoa nje tunayaskia kwa watu ambao nimashoga zake na baaadhi ya watu amekuoa nao karibu ukifuatilia kiundani unakuta yanakweli kabisa maana vikao tulikua watu wachache muhimu nayeye akiwemo

Ikabidi mimi nianze uchunguzi wangu ktk uchunguzi wangu kuna sku nlimuomba sm yake nipige picha document nkasema ngoja niperuzi nikakutana na sms nyingi sana ambazo alikuwa anachati na huyo hawala wa mdgo wangu ambae familia nzima tunampiga vita kumbe mke wangu yeye akawa anamuhadhia yoote na sms nying akawa anampa ushauri nahata kudoza mambo au tabia za wazazi wangu kwahuyo mwanamke.

Nkajiuliza huyu vip mtu amabae sis tunampiga vita alafu ndo achati nae mda wote siku nkakaa nae nakamuelezea kuwa ww huwa unamwasiliano na mtu flani maana anatangaza habari zote za humu ndani anazipata lakini mke wangu alikataa katakata wakat minajua fika wanawasiliana

Vile vile ktkt vikao vya sisi wandani tu tulivyokua tunakaa nae akiwemo kujadili harus mamabo tunayojadili baada ya muda utayaskia nje ukiyaangalia unakuta anahio tabia

Pia lingine nimemchunguza kwa kina amekua simchungu sana wahela anatumia sana kuvaa hakuna hata siku ananishauri mambo ya msingi kimaendeleo zaid yakuzungumiza habari za watu

Pia maekua natabia yakupita kwao mara kwa mara maana kwao nimtaa watatu kutoka tunapoishi yaani hata awe anaenda sehemu ya juu napalipo kwao lazima atapitia kwao pabila sababu yoyote hakuna anaeumwa kwao na sm zipo.

Tangu masakata yoote haya amekua mtu wakunilazimisha kuhama hali yakua nimemuelezea hali halisi.

Jingine kubwa tangu tuoanae hajawahi kukaaa na mim kunielezea matatizo yake anayoyapitia zaid huwa nikiondoka tu atatuma sms nyingi sana zakulaumu lakini nkirudi nkimbembeleza tuongeee hakubali katakata ye amekua nimtu wakunambia mlalamiko yake kwa sms nasi kwamazungumzo yamdomo anakwa ana mim nayeye
Niishie hapo wanajamiiforum naombeni mawazo yenu katika hili
Waswahili husema nyumba haikai nyumba.. Ondoka hapo
 
Mmekutana mnaoendana umeoa bado unakaa kwenu!!! Jiongeze mkuu.
 
Tumia akiri kidogo tu
Ondoa familia yako hapo kwa wazazi wako.
Tengeneza mji wako.
 
Hata Malkia yamemshinda kukaa na watoto wake pamoja na wajukuu
Yaani kuwaweka wanawake nyumba moja ni time bomb
Maneno na kusutana baina ya wakwe na wake zenu hayataisha kama hutaanza kutafuta maskani yako wewe na mke wako
Ila kama ndio mila zenu kukaa na mama itabidi uvumilie tu
Wewe ni mwanaume inabidi upuuzie kabisa mambo haya ya kike kwani sisi tupo tofauti
Kwa ushauri wangu ungetafuta hata kibanda mkajistiri na mke wako na mama mumuache kwake

Me nadhani mkuu umemaliza kama hatofata ushauri huu si bure yeye ndomwenye matatizo

Cc Kingsmann
 
Mimi nimeoa takribana miaka3.9 sasa mimi na mke wangu tunaishi nyumbani kwa wazazi wangu kwa miaka yote hii tangu tuone hadi hii leo kilichonileta kwenu JF hivi.

Wiki tatu zilizopita mdogo wangu alikuwa anaoa na baada ya kuoa tunaishi nae hapa nyumbani yeye na mke wake mdogo waliolea mkoa mwingne hivo basi wakati wa harusi biharusi alisindikizwa na somo yake kwa hiyo nae somo tulikuwa nae ktk nyumba hii sasa baada ya kumtawisha kesho yake somo akahitaji kwenda kumnunulia vitu sokoni biharus ikabid mama yngu mzazi amwambie mke wangu msindikize sokoni sasa kwa maelezo ya somo wakati wanaenda sokoni mke wangu akawa anamuelezea somo mambo ya nyumba hii kuhusu wakwe akawa anamwambia kuwa hawa wakwe ni wabaya wanaroho mbaya wananinyanyasa sjui kama ndgu yenu ataweza kuishi humu ndani basi somo anasema hakuongea chochote.

Baada ya somo kuondoka kurudi kwao somo alimfuata mshenga wetu waharusi ambae alikua anatuwakilisha huko akamuelezea yoote alioambiwa na mke wangu kuhusu wakwe zake.

Yule mshenga ambae ni ndgu ikabid ampigie sim kumuelezea hizo habari mke wangu,mke wangu akakataa katakata kuongea akabaki analia tu nakuna maneno mke wangi akamwambia mshenga hakuyapenda hiyo alimwabilia kwa sms ikabid mshenga akawaelezea wazazi yoote alioambiwa na somo ikabid tuweke kikao ambacho skua najua nicha nini ila wazazi tayar inaonekana walikua washakaa wenyewe wameonge ila kikao ikawa nikufahamishana mambi ya ndani yasiwe yanatoka nje wala nje yasiwe yanaingia ndani

Sasa baada yakikao mke wangu akawa mnyonge sana akawa najitenga na mama mkwe wake na pia akawa anjitenga na mke mpya wa mdogo wangu hivyo ikapelekea wazazi kuona mabadiliko yake hayo yoote yanatokea hakuwahi kukaka au kuwaomba wazazi wangu wakae waongee nae kuhusu hizo habari zikoje koje lakini mke wangu walaa hana habar wakuwaza kukaa.

Mambo yakawa yanaendelea kumbe nje akienda kuhemea sokoni mke wangu anawahadhia wamama wasokoni kuwa amezushiwa mambo kwamba amewasemea wakwe zake kwa watu kuwa wa roho mbaya wanamtesa hayo mambo kumbe wale wanohadithiwa nao wanayaleta wanaambia ndgu zangu na hata baadhi wanamwambia mama yangu juu ya hayo maneno kuwa wanamtesa wanaroho mbaya na siku akihama kwenda kwake atafanya sherehe

Ikawa sasa mke wangu anajitenga nawazazi wangu na pia anajitenga na mke mpya wa mdogo mim binafsi hali hiyo niliiona nkawa nambembeleza sana kwa upendo anambie lakini katakata kagoma kunambia kulikoni zaid anakua nikulia mda wote analia tu.

Baada ya siku tatu hivi tena akiwa anatokea sokoni mke wangu akiwa kashika kitu mkononi akakutana namama yangu,mama akamuuliza hiko nin mke akasema kitenge cha harus ya jirani mama akamwambia kwa hiyo utakua unashona sare kila harusi utakayo alikwa maisha hayako hivo mwanangu usiwafurahishe watu kwani ukihudhuria nakutoa mchango utapungukiwa nini maana harus yetu haijapita wiki mbili tumeshona majuzi hapa kwa jirani umevaa sare na leo unaenda tena kushona sare ya hiyi harus ya mtaa wa tatu sasa maneno yakamwingia mke wangu hakupenda hakufutahishwa na hiyo nasaaa..kumbe baada ya masaa matatu nyumbani walikuepo bado wapo wageni wakike waupande wa baba yngu waliokuja kwenye harusi ambao mke wangu alikua nao karibu sanaa akafika anawahadithia kimafumbo kuwa kuna watu hawapendi hela zao kuliwa wanuchungu na hela zao kumbe mama alikua chooni anaskia kutoka nje baadae akawauliza wale ndgu kuwa mlikua mnaongea nini wakamuhadhithi yote baadae mama kumuliiza akasema nikweli niliyasema baada ya sku tatu tena mke wangu akaenda kumwambia shangazi yangu tunaishi nae jirani akamwambia kazushiwa mambo juu ya wakwe zake hapo hali yakua mke wangu hata hajakaa na wazazi wangu kuwaelezea ikoje ikoje hiyo kitu zaid anayapeleka nje kwa watu

Sasa wakati kabla ya harus ya mdogo wangu kulikua na sakata zito sana linalomuhusu mdogo wangu na hawala ambae alimpelekea mdogo wangu kfanya ubadhilifu mwingi sana wahela sasa mdgo wangu alikua anataka amuoe huyo mtu sasa sisi tukaona hamfai nayuko kimaslahi kumbe ktk vikao vyoote tuanavyokaa mke wangu kumbe anayatoa nje tunayaskia kwa watu ambao nimashoga zake na baaadhi ya watu amekuoa nao karibu ukifuatilia kiundani unakuta yanakweli kabisa maana vikao tulikua watu wachache muhimu nayeye akiwemo

Ikabidi mimi nianze uchunguzi wangu ktk uchunguzi wangu kuna sku nlimuomba sm yake nipige picha document nkasema ngoja niperuzi nikakutana na sms nyingi sana ambazo alikuwa anachati na huyo hawala wa mdgo wangu ambae familia nzima tunampiga vita kumbe mke wangu yeye akawa anamuhadhia yoote na sms nying akawa anampa ushauri nahata kudoza mambo au tabia za wazazi wangu kwahuyo mwanamke.

Nkajiuliza huyu vip mtu amabae sis tunampiga vita alafu ndo achati nae mda wote siku nkakaa nae nakamuelezea kuwa ww huwa unamwasiliano na mtu flani maana anatangaza habari zote za humu ndani anazipata lakini mke wangu alikataa katakata wakat minajua fika wanawasiliana

Vile vile ktkt vikao vya sisi wandani tu tulivyokua tunakaa nae akiwemo kujadili harus mamabo tunayojadili baada ya muda utayaskia nje ukiyaangalia unakuta anahio tabia

Pia lingine nimemchunguza kwa kina amekua simchungu sana wahela anatumia sana kuvaa hakuna hata siku ananishauri mambo ya msingi kimaendeleo zaid yakuzungumiza habari za watu

Pia maekua natabia yakupita kwao mara kwa mara maana kwao nimtaa watatu kutoka tunapoishi yaani hata awe anaenda sehemu ya juu napalipo kwao lazima atapitia kwao pabila sababu yoyote hakuna anaeumwa kwao na sm zipo.

Tangu masakata yoote haya amekua mtu wakunilazimisha kuhama hali yakua nimemuelezea hali halisi.

Jingine kubwa tangu tuoanae hajawahi kukaaa na mim kunielezea matatizo yake anayoyapitia zaid huwa nikiondoka tu atatuma sms nyingi sana zakulaumu lakini nkirudi nkimbembeleza tuongeee hakubali katakata ye amekua nimtu wakunambia mlalamiko yake kwa sms nasi kwamazungumzo yamdomo anakwa ana mim nayeye
Niishie hapo wanajamiiforum naombeni mawazo yenu katika hili
Hata na wewe mleta mada nawe mbea tu kama mkeo

Mambo ya familia yenu unayaleta humu JF ili iweje?
 
Hapo kwenu kuna nini mpk muishi kundi la watu hvyo?! Hapo ni pagumu sana itafika mahali utabaki mtu kati na itakubdi uchague upande mmoja. Wew miaka yote mitatu hyo kakuvumilia sana, maana mm toka mwanzo ningejua tu bdo upo kwa mama nahis hayo mahusiano yasingefika huko. Utagombana na nduguzo wote ukiendelea kung'ang'ania kwenu! Kupita kwao ni tabia tu unaweza kumueleza kuwa huipendi basi sito big deal. Ndio maana hilo eneo mnapaswa kuhama for good
 
Back
Top Bottom