Ushauri wenu wakuu hapa

Ushauri wenu wakuu hapa

predation

New Member
Joined
Nov 4, 2026
Posts
4
Reaction score
1
Wakuu samahanini kidogo naombeni ushauri,,, mimi mwaka huu 2026 ilikuwa nigraduate chuo ila nilipokuwa second year semester ya kwanza ada ilikata na kila option kwa uwezo wangu nkajaribu ikagoma. Lakini hayo home hawajui mpaka sasa. Wakiuliza nawaambia tuu kila kitu kipo sawa kwasababu mzee ana mzigo mkubwa wa madogo na mim kiume nkajibebesha mzigo wangu mapema. Hapa najitafuta tena nkamilishe nirudi chuo,, je inawezekana kukubaliwa chuoni? Wazee nawaza sana kuwaambia sasa hivi nitawa discourage mana me ndo first born halaf madogo kibao nyuma wananskikizia mm.
Nasolve vipi hapo wakuuu?
Assalam alaykum.
 
Ngoja wajuzi waje mm ni msomaji
 
Ada ilikata kutokea wapi mkuu?

Mwaka huu unge graduate, Ada ilikata 2025 , huo muda wote ulikuwa unafanya nini mpaka muda huu?

Una hisi uta wa discourage wazazi wako kivipi wakati ada ilikata? Ukashindwa kuendelea kusoma.

Kama ada ilikata , uliandika barua ya ku postpone chuo ? Kama uliandika unarudi tu haina shida.
 
Nilikuwa najilipia ada mwenyewe na michango kidogo kwa wazazi wakiwanacho.
Baada ya hapo nkaingia mtaani kugusa mishe ndogondogo na kujikusanya tena.
Wazazi sikuwahi kuwaambia na hawajui ada nlikuwa nalipaje.
 
Wasiwasi wako nini sasa mkuu, na ada una jlipia
 
Kwani huku andika barua ya kuahirisha mwaka.

Hapo chuoni kwako ndio Wana majibu sahihi hapa tunachangamsha baraza tu
 
Wakuu samahanini kidogo naombeni ushauri,,, mimi mwaka huu 2026 ilikuwa nigraduate chuo ila nilipokuwa second year semester ya kwanza ada ilikata na kila option kwa uwezo wangu nkajaribu ikagoma. Lakini hayo home hawajui mpaka sasa. Wakiuliza nawaambia tuu kila kitu kipohqpo sawa kwasababu mzee ana mzigo mkubwa wa madogo na mim kiume nkajibebesha mzigo wangu mapema. Hapa najitafuta tena nkamilishe nirudi chuo,, je inawezekana kukubaliwa chuoni? Wazee nawaza sana kuwaambia sasa hivi nitawa discourage mana me ndo first born halaf madogo kibao nyuma wananskikizia mm.
Nasolve vipi hapo wakuuu?
Assalam alaykum.
Hapo kuna mambo ulitakiwa kufanya kabla ya kuondoka chuo kama vile kupostpone kutokana na kukosa ada. Sasa hapo maelezo yako bado hayajakamilika uliondoka chuo mwaka gani. Kama ni mwaka jana na ujatoa taarifa yeyote ynaweza ukawa uli disco moja kwa moja .

Lakn nenda chuo kaonge nao kwanza na pia kama una ile account yako angalia huko inasemaje kwenye upande wa matokeo . Lakn kama kila kitu kitashindikana nenda kwa Dean umuueleze changamoto zako .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom