Ningekupenda wewe ohooo. Hadi malaika wa kheri wangesifu kwa mapambio.
Sasa hizo like wengine si unakuta mashoga zako..dada.. mashemeji.. binamu..rafiki zake na rafiki zake rafiki yangu.
Sio kirahisi ndio, ukinipa green light sindo tunabonga tunayajenga sasa kigumuKirahisi rahisi tu nisingeweza
Sasa hapa ni mjini? Mimi nipo huku namtumbo hatukulagiOooh mujini hapa hukunaga ushemeji watu wanakulaga tu
Nikiwa katika kipindi kigumu cha kuwa peke yangu na vishawishi vingi
Kuna mheshimiwa mmoja Kijana ni rafiki yangu tulikutana nje ya nchi wote tukiwa safarini mawasiliano ndiyo yakaanzia hapo.
Amekuwa ni mtu mwema kwangu kwa kipindi hiki maana mwanzo wa kufahamiana sikupenda ukaribu nae kivile ukicheki nilikuwa nimeshazama kwa the x guy ile ya sanaa.nikawa nampotezea na kumkwepa.
Siku za karibuni nikajisogeza kwake baada ya kuwa lonely sana..jamaa akafurahi shopping anasimamia sana mitoko ni kwa tahadhari ya hali ya juu tusijeonekana (Jamaa ana mchumba na mtoto juu)
Ameniahidi mambo mengi sana na anatimiza siyo muongo muongo akisema no ni no kweli.
Tatizo moja tu ni kwamba yupo busy anaweza asipige simu whole day mara nipo bungeni...nina kikao i wll call back kiukweli yupo busy sana sana pia hayupo romantic na nilivyozoeshwaga.
Ila tukionana anazima simu zake ananisikiliza na mie namsikiliza.
Anadai atanioa. Mengine niachane nayo anajua yeye mwenyewe
Ananipenda na ananiamini sana it seems siyo player. Nawaza nimpende japo teyari ndo hivyo tena.naogopa nisijemuweka moyoni nikaja kujuta tena.
Wakubwa kama una ushauri juu ya hali hii nisaidie.
Matusi hapana
Teh. anadai hawana future yeye ndiyo anajua nikimtazama ni kama mkweli lakini naogopa.nilimwambia kama yupo serious aende home kwa wazee akasema ni mapema muda ukifika ataenda. Naogopa sana kumuweka moyoni
Sasa hapa ni mjini? Mimi nipo huku namtumbo hatukulagi
Oouh huko basi hakufai mnakulana mpaka mashemeji.Nipo uswahilini kabisa huku nilipo
aisee maneno yanahukumu,mie sijasemaaOouh huko basi hakufai mnakulana mpaka mashemeji.
Tuwe mashemeji bathiii![]()
![]()
![]()
aisee maneno yanahukumu,mie sijasemaa
Tuwe mashemeji bathiii

Haha haha mjanjaa wewe nitakutambulisha subiriSawa shem,sasa dada yangu aliyebahatika kuukamata moyo wa daby ni nani? Tell me nikampe heshima yake
Kumbe unamjua huyu mtunga stori. Kesho atasema ni dereva wa bobaboda kama wa shishibabyNgoja nitarud
Haha haha mjanjaa wewe nitakutambulisha subiri
Daaah nacheka kama mazuri vile...
1. Mitoko ni kwa tahadhari ya juu sana msije mkaonekana... Na nani?? (hakuna mapenzi)
2. Utasemaje siyo muongo mungo wakati number 1 tayari ni doa mnavichana... Ili iweje?? (hakuna mapenzi)
3. Yupo busy sana.. Hapigi simu siku nzima. Visingizio kibao vya i will call you back. Tunarudi kwanye number 2. Tayari ni muongo muongo... Kwa maelezo yako siyo kweli yupo busy ni matter of priority... Siku nzima hata message??? (hakuna mapenzi)
4. Mkionana anazima simu... Maana ya anakuficha mengi sana ambayo hataki ujue... (hakuna mapenzi)
5. Anadai atakuoa... Ni uongo.. Anakutumia/ mnatumiana. (hakuna mapenzi)
6. Kwa matendo yake ni player mkubwa sana.. Haupo peke yako mmepangwa foleni kila mtu anasiku zake na muda wake...
7. Do it for your own risk. Do it for the sake of sex, shopping na mambo madogo madogo... Follow your heart ila inaonekana umesahau to carry your brain with you.
Cc: mahondaw
Baada ya kufanyiwa shopping ukaona una pendwa?? Wangapi anawafanyia shopping ?? Kwanza usha sema anamchumaNikiwa katika kipindi kigumu cha kuwa peke yangu na vishawishi vingi