Aoshe nini???Si unafahamu tayari ana mchumba lakini? Acha aoshe rungu akili ikikujia too late.

Umenifanya nimecheka saana usiku wa manane
Kaka shemeji usiku wa manane haujalala tu?Umenifanya nimecheka saana usiku wa manane
Nlikuwa naenda morning gloryKaka shemeji usiku wa manane haujalala tu?
Teh. anadai hawana future yeye ndiyo anajua nikimtazama ni kama mkweli lakini naogopa.nilimwambia kama yupo serious aende home kwa wazee akasema ni mapema muda ukifika ataenda. Naogopa sana kumuweka moyoni
Ooooh!! Sasa hiyo ni usiku wa ma8 glory kaka shemeji.Nlikuwa naenda morning glory
Kama uko tayari kuwa bi mdogo katika life yako endelea nae tu...na ndoa utaisikia kwenye kipindi cha cherekochereko tuNikiwa katika kipindi kigumu cha kuwa peke yangu na vishawishi vingi
Kuna mheshimiwa mmoja Kijana ni rafiki yangu tulikutana nje ya nchi wote tukiwa safarini mawasiliano ndiyo yakaanzia hapo.
Amekuwa ni mtu mwema kwangu kwa kipindi hiki maana mwanzo wa kufahamiana sikupenda ukaribu nae kivile ukicheki nilikuwa nimeshazama kwa the x guy ile ya sanaa.nikawa nampotezea na kumkwepa.
Siku za karibuni nikajisogeza kwake baada ya kuwa lonely sana..jamaa akafurahi shopping anasimamia sana mitoko ni kwa tahadhari ya hali ya juu tusijeonekana (Jamaa ana mchumba na mtoto juu)
Ameniahidi mambo mengi sana na anatimiza siyo muongo muongo akisema no ni no kweli.
Tatizo moja tu ni kwamba yupo busy anaweza asipige simu whole day mara nipo bungeni...nina kikao i wll call back kiukweli yupo busy sana sana pia hayupo romantic na nilivyozoeshwaga.
Ila tukionana anazima simu zake ananisikiliza na mie namsikiliza.
Anadai atanioa. Mengine niachane nayo anajua yeye mwenyewe
Ananipenda na ananiamini sana it seems siyo player. Nawaza nimpende japo teyari ndo hivyo tena.naogopa nisijemuweka moyoni nikaja kujuta tena.
Wakubwa kama una ushauri juu ya hali hii nisaidie.
Matusi hapana

Wewe utakuwa huwajui vizuri wanaume au kama unawajua umewasahau.Teh. anadai hawana future yeye ndiyo anajua nikimtazama ni kama mkweli lakini naogopa.nilimwambia kama yupo serious aende home kwa wazee akasema ni mapema muda ukifika ataenda. Naogopa sana kumuweka moyoni
Saa kumi..... Ilikuwa. Kwani morning glory huwaga saa ngapi huko kwenuOoooh!! Sasa hiyo ni usiku wa ma8 glory kaka shemeji.
Kumbe saa10 ni usiku wa manane!!Saa kumi..... Ilikuwa. Kwani morning glory huwaga saa ngapi huko kwenu
Hamna Ni alfajiri......Kumbe saa10 ni usiku wa manane!!
Amen.Umukagame Kama wewe ni mtu mwenye busara naomba umshauri atulie na ndoa yake
Uhusiano Kama huo cku Zote hauna baraka kutoka kwa mwenyezi MUNGU
Ckuzote huishia Pabayaa, Embu tafuta mpenzi wa pekeako huyo ni wa mwenzio
Tatizo wanawake wa ss hv mpo kimaslahi (shopping, mizinga mingine)
Jitambue!!!!!