Umeshauri or unanilaani
Kila la kheri bwanaHahah sijasoma Sanaa mie apo kwa chama achana napo
Hivi mimi HB kumbe?
Haya kaweke vilike hivyo sema sasa hivi nimebadilika 2015 ilikuwa ke akinilike naenda kumtongoza.
Mimi kauzu wewe.Avatar yako hb wewe mwenyewe halisi utakua hb zaidi
Weuweee kwangu ungekula za uso na threads mia kidogo ungenianzishia. Bora umebadilika vizuri
Mimi kauzu wewe.
Kwanini nile za uso Numbisa ungenikataa kweli? Sasa unikatae kwasababu gain bibie si ungekuwa unanionea tu mtoto wa mwanamke mwenzako?
Ningekupenda wewe ohooo. Hadi malaika wa kheri wangesifu kwa mapambio.Aah kwa hio unadhan ningekukubali wakati post moja una like zaidi ya kumi ooh hooo si kujiteka makusudi huko
Sa siunauweka kwangu au?Sipendi kuudanganya moyo nikipenda napenda kama sikupendi nakwambia ondoka
Ni like tu ndio unapenda?Huyo mtoto sijui hapendi kunipa like zake wakati mimi nazipenda.
Umelike lakini hapo juu?
Ukimaliza kulike nitakuambia kingine.Ni like tu ndio unapenda?
Nikiwa katika kipindi kigumu cha kuwa peke yangu na vishawishi vingi
Kuna mheshimiwa mmoja Kijana ni rafiki yangu tulikutana nje ya nchi wote tukiwa safarini mawasiliano ndiyo yakaanzia hapo.
Amekuwa ni mtu mwema kwangu kwa kipindi hiki maana mwanzo wa kufahamiana sikupenda ukaribu nae kivile ukicheki nilikuwa nimeshazama kwa the x guy ile ya sanaa.nikawa nampotezea na kumkwepa.
Siku za karibuni nikajisogeza kwake baada ya kuwa lonely sana..jamaa akafurahi shopping anasimamia sana mitoko ni kwa tahadhari ya hali ya juu tusijeonekana (Jamaa ana mchumba na mtoto juu)
Ameniahidi mambo mengi sana na anatimiza siyo muongo muongo akisema no ni no kweli.
Tatizo moja tu ni kwamba yupo busy anaweza asipige simu whole day mara nipo bungeni...nina kikao i wll call back kiukweli yupo busy sana sana pia hayupo romantic na nilivyozoeshwaga.
Ila tukionana anazima simu zake ananisikiliza na mie namsikiliza.
Anadai atanioa. Mengine niachane nayo anajua yeye mwenyewe
Ananipenda na ananiamini sana it seems siyo player. Nawaza nimpende japo teyari ndo hivyo tena.naogopa nisijemuweka moyoni nikaja kujuta tena.
Wakubwa kama una ushauri juu ya hali hii nisaidie.
Matusi hapana
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Ukimaliza kulike nitakuambia kingine.
Halafu wewe mbona hushiriki kumtafuta ROMA?[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Kiruuuuu!!!Halafu wewe mbona hushiriki kumtafuta ROMA?
Bonga sasa.....usikute unafahamu alipoKiruuuuu!!!