Mi nakushauri ukae nae mbali kwasababu tu hakukwambia kwamba ana mtoto wakati mmeanza kuwa pamoja. Kunavitu vya kuficha ila.hicho sio kimoja wapo.
Kuficha mtoto au watoto ni mbaya sana.
Hawapo.Hivi hawa watu wanaosemwa kila siku hapa JF wao hawapo hapa JF?????