Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Tazama ya kale yamepita yamekua mapya, hauamini kama hayo ni maneno kutoka kwa Baba K na M
Hapa tu wiki hii nimevuka mitego ya hatari, kama sio tuition ya mwaka jana ingekua najutia. Sasa hivi sidanganyiki!!
Na mie kile kipindi niliiona duara kabisa yaani dunia mviringo.
NamaanishaAmen kama Gwajiboy ila usiache kuniombea on serious note.
MMKBaba nani? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji848]mtoa mada ameenda kuendeleza stori tena
Pambaffffff[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo stori imeshaisha sema bado wenge linampelekesha. Usiombe uingie kwenye 18 za mwanamke anaetaka kukuvurugia mambo, hawajawahi kufeli.
Sasa hapa jamaa yetu anapigwa home and away
Three kids wanakukwaza nini Mama P?Pambaffffff[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Home and away eeh?
Pambaffffff[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nakazia kwa helufi kubwaBraza kum* ya Bure ni NGUMU SANAA KUIACHA.
Yaani K imejileta mwenyewe halafu uipotezee
Hiiii bagoshaaaaa.
#YNWA
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Agh nilisahau, ni M, N na K
Andika vzuriBona siku hizi hofu ya mungu na neno lake hamna au haiko, mtu amekwambia ni mke wa mtu, kusikia hayo tu, ungepiga STOP,ufahamu upandacho ndicho unavuna period, pale huyu mke wa mtu alikuambia hilo ungemwambia asante wa kuwa mkweli kuazia leo sisi ni marafiki tu, hakuna zaidi, haijalishi hana mtoto , mume hazai au hili au kile, ni mke wa MTU. ungempa ushauri kaa hi hivyo muadapt mtoto, yeye na mume wake au umuachie maamuzi, lakini story za awe mpenzi zingeoshia hapo.mimi hata binti akiniambia ako na boyfreand , story mimi nasimalizia hapo, bona mabinti warembo wa kutupa wamejaa, bona niende kuharibu ndoa ya mtu, na nivuje amri ya mungu, NOT ME PLS
HOW?Andika vzuri
okay well understood sir, madamKwa hiyo mwamba amri ya Mungu unaijua kwa mke wa mtu tu, haukusoma kwamba hata hao mabinti unaosema wapo wengi amri inakataza? Pia usiwe vuguvugu. Kama unazotaja amri, fuata zote hauwezi kutekeleza chache tu.
Wewe sema tu nafsi yako inakusuta au hauoni vizuri kuwa na mke wa mtu, usilete mambo ya amri kabisa.
Mkuu, part II inakuja.We mwamba huo muendelezo upo kweli, Au umesusa ushauri??
Inakuja nkamu🤣Nkamu em lete muendelezo; kama nakuona ulivyoifukuza amani yako na ya ndoa yako, ukaikaribisha vita.
Ukiweka unijulishe kakaInakuja nkamu[emoji1787]