Kwani ndoa ndo kifungo cha kufanya uishi kwa tabu na kukosa furaha maisha yako yote?Na yeye si ameoa, angeanza kuiheshimu ndoa yake kwanza.
hahahha pitia thread za mwanaume kugonga mke mtu, yani wanaume wanakua wametangaziwa msiba, wanaume wanashusha waraka wa mitume, ila ngoja meza ipinduke mme wa mtu agonge utasikia....piga mbususu ya bure, acha uzembe kula papuchi hiyo.... maneeenah!!!
necha katibu necha 🙄Na yeye si ameoa, angeanza kuiheshimu ndoa yake kwanza.
kuna ndugu yangu mmoja nae namuona kabisa anavoelekea kupigwa na kitu kizito kichwani....ana maisha ya amani na mkewe, kuna gubegube mmoja waliachana wakiwa na mtoto, yule dada karudi tena Mimi wifi mtu nilishapewa alert " huyo mke akae atulie kakako ni mme wangu" sasa broo anarembuliwa anadhani kuna mapenzi ngoja aoneshwe rangi.....
Kwani ndoa ndo kifungo cha kufanya uishi kwa tabu na kukosa furaha maisha yako yote?
Ukikosea njia kwani vibaya kurudi na kutafuta njia nyingine iliyosahihi.?
necha katibu necha [emoji849]
ujue sisi wanaume tulivoumbwa ni tofauti na nyie wanawake, necha yetu ni watu wa kutoridhika na mwanamke mmoja ndivyo tulivoumbwa mfano....mwamba wetu Suleiman alikua na wake wengi pia, sijui unanielewa!!!!
Hapa tutashuhudia waraka wa mtume Paulo kwa Watanzania....tukae na miwa kabisa, popcorn hazitoshiWanakuwa utafikiri wameshukiwa na Roho Mtakatifu; wanayajua maandiko hao hutoamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa tutashuhudia waraka wa mtume Paulo kwa Watanzania....tukae na miwa kabisa, popcorn hazitoshi
Yule dada yupo kwa ajili ya revenge ya kuachwa, na anaona ile nafasi ni yake kabisa....asipojibebesha mimba nyingine sijui tu, ndugu yangu anaenda kupigwa la HiroshimaEeh watu na co-parents zao sasa
Wanawake wa siku hizi wa ajabu sana, mwanaume ndio aliumbwa kutawala hivo kuwa na wanawake wengi ndio alama ya kutawala....😁Teh nakuelewa Mwenyekiti. Ila Necha tu isiwapitie wake zao.
Eeh ni necha jamani hata mtume nae alikuwa na wake 700 na masuria 300 (michepuko) kwahio ni swala la nature tunecha katibu necha 🙄
ujue sisi wanaume tulivoumbwa ni tofauti na nyie wanawake, necha yetu ni watu wa kutoridhika na mwanamke mmoja ndivyo tulivoumbwa mfano....mwamba wetu Suleiman alikua na wake wengi pia, sijui unanielewa!!!!
Free papuchi unaiachaje sasa lazma urare nayo mberee😅😅😅hahahha pitia thread za mwanaume kugonga mke mtu, yani wanaume wanakua wametangaziwa msiba, wanaume wanashusha waraka wa mitume, ila ngoja meza ipinduke mme wa mtu agonge utasikia....piga mbususu ya bure, acha uzembe kula papuchi hiyo.... maneeenah!!!
yule dada yupo kwa ajili ya revenge ya kuachwa, na anaona ile nafasi ni yake kabisa....asipojibebesha mimba nyingine sijui tu, ndugu yangu anaenda kupigwa la Hiroshima
Wanawake wa sikuhizi nyie sindio mmegeuka wajuba mnatupiga sound mtupe mbunye 😅Wanawake wa siku hizi wa ajabu sana, mwanaume ndio aliumbwa kutawala hivo kuwa na wanawake wengi ndio alama ya kutawala....😁
Muokoe ndugu yako wewe nipe namba ya mkewe nimstue aisee fanya fasta kabla mambo hayajaharibika😅yule dada yupo kwa ajili ya revenge ya kuachwa, na anaona ile nafasi ni yake kabisa....asipojibebesha mimba nyingine sijui tu, ndugu yangu anaenda kupigwa la Hiroshima
Wanawake wa siku hizi wa ajabu sana, mwanaume ndio aliumbwa kutawala hivo kuwa na wanawake wengi ndio alama ya kutawala....[emoji16]
Ni kweli hiyo ni nechaEeh ni necha jamani hata mtume nae alikuwa na wake 700 na masuria 300 (michepuko) kwahio ni swala la nature tu
Gari limeshakubali kuwaka,wewe ingiza tu gia ushauri wa Nini tena?!.Mimi si mwanachama na mchanguaji sana huku MMU, lakini hata bubu aking'atwa ataongea hata neno.
Huku kuna walimwengu wa maisha halisi ya kibantu.
Hadithi ni ndefu lakini nitaifupisha.
Nina mke na watoto, tena wakubwa tu.
Katika mishe mishe za safari mikoani huko, sitaji mkoa lakini nilikaa mwaka.
Hili na lile katika kuchapa ripoti za kazi tukaelewana sana dada mmoja, kwa kweli alikuwa mzuri na ni figure 8.
Kwa utani tu nikatongoza, hakujibu wala kukataa.
Bado nikaendelea kutongoza, mwisho baada ya miezi 3, akakakubali na akasema nikuambie kitu?
Nikastuka kidogo, ila akaniambia nitakuambia tukionana.
Kweli tukaenda outing, na tukala na kunywa.
Kwa kweli tuli enjoy.
Fukuto langu lilikuwa kujua anachotaka kuniambia.
Na wakati huo alivyo mzuri na umbo la kutia hamasa, moyo unanidunda ndi.. ndi..ndi...!
Nikamsihi aniambie.
Akaanza taratibu.
Kaka mimi nimeolewa.
Moyo wangu ukadondoka pwaa....!
Sasa itakuwaje tena kumpenda mke wa mtu?
Nikamwuliza na kujiuliza, na nikaanza kusononeka.
Yule dada aliona kusononeka kwangu, lakini akanituliza, akaniambia usijali kaka.
Akaniambia amenichunguza sana muda wote huu licha ya kuolewa, na amenipenda ndio maana ana kitu cha kunieleza.
Ha!
Nikajiuliza , kuna kingine tena ?
Nikamwuliza kuna kitu gani?
Yule dada kwa unyonge akasema nitakuwa pamoja na wewe ila nifichie siri yetu!
Nikamwambia mbona hilo si tatizo mpenzi!
Akanidakia tena, akaniambia tukisex hataki condom!
Hapo nikapigwa butwaa!
Sasa nami nikadakia, mbona sielewi?
Nikamwambia si utapata mimba?
Huku nikijzuia kumwambia magonjwa je?
Hapo ndii akanieleza taratibu, kuwa ameoana na mume wake miaka miwili na hajapata mimba.
Ikabidi waende hospitali wapimwe na ikagundulika mume wake hana uwezo wa kutengeneza mbegu za kiume.
Na kwamba wameenda hospitali tatu tofauti, majibu ni yale yale.
Akaniambia ,nami natafuta mtoto, nimekupenda.
Nilichanganyikiwa!
END OF PART I
Wadau ushauri wenu, part zingine NNE zitakuja mbele.