Ushauri wangu kwako Tundu Lissu

Ushauri wangu kwako Tundu Lissu

Salaamu kwako Lissu&waTanzania
kwa ujumla.
Ninao ushauri mdogo kwako
ndugu A.T.Lissu.
Ninajua,unaijua Tanzania,
Na unawajua watanzania walivyo.

Mosi.
Watanzania kwa asili tu,ni wanafki&wabinafsi.
(Katika hili utafiti uliwahi kufanyika,na waTZ wakaongoza duniani)

Pili
Unaowapigania,hajui unachokipigania.
Hivyo,unajitesa bure&kutesa familia yako.
Wenzako wanawaza ngono,pombe,wanawake,
starehe,kupiga pesa&kupambania watoto wao.
Hicho unachokipigania inawezekana ni maslahi yako,siyo yao.

Tatu
Hii ndiyo Tanzania ambayo watanzania wanaitaka.
Kama ni ubaya,wanafanyiana
wao kwa wao,wanaibiana wao
kwa wao n.k.
Ni furaha ya mtu kuona wengine wakitaabika.
Furaha ya tajiri,ni kuwepo
kwa maskini,furaha ya shibe ni awepo mwenye njaa.
Ukibisha,waulize wenye njaa,wamekuwaje walipopata chakula,vyeo n.k.
Hii ndiyo TZ wanayoitaka wenyewe.

Nne
Umekuwa gerezani,muda sasa.
WaTZ wameishia kubweka&kuufyata mkia.
Bado una Imani nao?

Tano
Uzalendo huanzia nyumbani
Kuwa mzalendo na familia yako,mke na watoto wako.
Patana na serikali,nenda zako ulaya kaishi na familia yako.
Saidia na ndugu zako.
Wewe siyo Mungu,waTZ waachie Mungu aliyewaumba.
Kama kweli wanateseka,
yeye ataona cha kufanya.

Ni ushauri tu.
Naona umeandika makala ndefu ukielezea tabia yako halisi. Kwaninj usingewaeleza watawala kuwa - hitaji la wananchi kwa sasa ni katiba mpya,tume huru ya uchaguzi na kwamba Tundu Lisu anawakilisha madai hayo na kwakufanya hivyo si uhaini kwa mujibu wa katiba.
 
Usiweke hitimisho kwa mwanadamu mwenye utashi, juzi tu tulikua tunasema hivi hivi kwa mbowe ! Lakini leo hii ndie mtu mbaya katika upinzani kuliko wote inavyo semekana.
Wenye akili walimtambua Mbowe ni mjasiriamali kwenye siasa.
Ile ilikuwa biashara bora kwake.
Mbowe aliogopa kupoteza akalainika.
Lissu alipofikia 'he has nothing to lose'.
 
One of the best Advice ever

Ku -risk maisha yako kwa ajili ya watz ni kupoteza muda
 
Salaamu kwako Lissu&waTanzania
kwa ujumla.
Ninao ushauri mdogo kwako
ndugu A.T.Lissu.
Ninajua,unaijua Tanzania,
Na unawajua watanzania walivyo.

Mosi.
Watanzania kwa asili tu,ni wanafki&wabinafsi.
(Katika hili utafiti uliwahi kufanyika,na waTZ wakaongoza duniani)

Pili
Unaowapigania,hajui unachokipigania.
Hivyo,unajitesa bure&kutesa familia yako.
Wenzako wanawaza ngono,pombe,wanawake,
starehe,kupiga pesa&kupambania watoto wao.
Hicho unachokipigania inawezekana ni maslahi yako,siyo yao.

Tatu
Hii ndiyo Tanzania ambayo watanzania wanaitaka.
Kama ni ubaya,wanafanyiana
wao kwa wao,wanaibiana wao
kwa wao n.k.
Ni furaha ya mtu kuona wengine wakitaabika.
Furaha ya tajiri,ni kuwepo
kwa maskini,furaha ya shibe ni awepo mwenye njaa.
Ukibisha,waulize wenye njaa,wamekuwaje walipopata chakula,vyeo n.k.
Hii ndiyo TZ wanayoitaka wenyewe.

Nne
Umekuwa gerezani,muda sasa.
WaTZ wameishia kubweka&kuufyata mkia.
Bado una Imani nao?

Tano
Uzalendo huanzia nyumbani
Kuwa mzalendo na familia yako,mke na watoto wako.
Patana na serikali,nenda zako ulaya kaishi na familia yako.
Saidia na ndugu zako.
Wewe siyo Mungu,waTZ waachie Mungu aliyewaumba.
Kama kweli wanateseka,
yeye ataona cha kufanya.

Ni ushauri tu.
Wewe ni Kidumbwe
 
Ninachojua Mimi TAL Ni mtakatifu anayeishi Duniani, ndio maana kamwe huwezi fanana Na watanzania wengi, Moyoni Mwake amebeba mzigo ambao Mimi Na wewe hatuwezi tukaubeba

Siasa Bongo Ni Pesa, Na alipofikia yeye thamani yake Ni kubwa, fikiria TAL angekuwa Zito,angeshauza bland kitambo🤣🤣
 
Mkuu wewe ni Mjerumani au?... Watanzania wapi unaowajua wewe? Nadhani umeandika mtazamo wako tu na siyo wa kila mtu....in a nutshell huwajui Watanzania ila unajionesha wewe ulivyo na mtazamo wako kwa kudhani ni Watanzania.

Pitia tu hata historia kidogo utajifunza kitu na si kukebehi Watanzania, Jiulize taratibu Hayati Nelson Mandela alikaa gerezani miaka mingapi? Na alipotoka alikuta watu wanataka nini?
 
Salaamu kwako Lissu&waTanzania
kwa ujumla.
Ninao ushauri mdogo kwako
ndugu A.T.Lissu.
Ninajua,unaijua Tanzania,
Na unawajua watanzania walivyo.

Mosi.
Watanzania kwa asili tu,ni wanafki&wabinafsi.
(Katika hili utafiti uliwahi kufanyika,na waTZ wakaongoza duniani)

Pili
Unaowapigania,hajui unachokipigania.
Hivyo,unajitesa bure&kutesa familia yako.
Wenzako wanawaza ngono,pombe,wanawake,
starehe,kupiga pesa&kupambania watoto wao.
Hicho unachokipigania inawezekana ni maslahi yako,siyo yao.

Tatu
Hii ndiyo Tanzania ambayo watanzania wanaitaka.
Kama ni ubaya,wanafanyiana
wao kwa wao,wanaibiana wao
kwa wao n.k.
Ni furaha ya mtu kuona wengine wakitaabika.
Furaha ya tajiri,ni kuwepo
kwa maskini,furaha ya shibe ni awepo mwenye njaa.
Ukibisha,waulize wenye njaa,wamekuwaje walipopata chakula,vyeo n.k.
Hii ndiyo TZ wanayoitaka wenyewe.

Nne
Umekuwa gerezani,muda sasa.
WaTZ wameishia kubweka&kuufyata mkia.
Bado una Imani nao?

Tano
Uzalendo huanzia nyumbani
Kuwa mzalendo na familia yako,mke na watoto wako.
Patana na serikali,nenda zako ulaya kaishi na familia yako.
Saidia na ndugu zako.
Wewe siyo Mungu,waTZ waachie Mungu aliyewaumba.
Kama kweli wanateseka,
yeye ataona cha kufanya.

Ni ushauri tu.
Ndugu yangu Shiika naomba sana ufanye jambo lifuatalo. Hii inahusu pia members wote wa JF. Kama hujasoma kitabu cha Shaaban Robert cha Kusadikika, naomba sana ufanye hivyo. Kisome kwa kina, uelewe kwani alichoandika Shaaban Robert miaka ya 1950, ndicho kinachotokea sasa hivi Tanzania. Bada ya Karama kusomewa mashataka, sura ya pili Shaaban anaandika hivi ''Baada ya usemi wa Waziri, baadhi ya watu wachache waliokuja barazani kusikiliza kesi hii walimsikitikia mshtakiwa, lakini wengi walikuwa wakinong'onezana kuwa msiba wa kujitakiwa hauna kilio. Kama watu waliokusudiwa kuwa mwenge kwa wengine wangalikuwa wakingojea shangwe la watu kabla ya kuanzisha makusudio yao maendeleao katika maisha yangeadimika. Kwa bahati njema, mtu yeyote, katika hawa hutegemea mwongozo usiotaka shangwe mpaka amefaulu.''
 
Lissu ni aina ya watu wachache sana ambao dunia inaweza kuwapata ambao wapo tayari kuteswa, kuumizwa au kuuawa ilimradi tu wanasimama katika kusudi na imani waliyojiwekea, kiufupi watu wa haina hii hawayumbishwi na chochote wanaishi kwa principles zao na hawawezi kukubali kuwa mbwa au mtumwa wa mtu fulani, wanasiasa kaliba ya Lissu ni nadra sana kuwapata

Vita anayopigana Lissu ni kubwa mno, ila victory maskini haita kuwepo. The reason behind ni kuwa Watz hatuna guts, viongozi nao ni kama kondoo.

Kama mleta mada a navyo sema Lisu kaonesha strength tayari, awaige wa kina silaha tu, aende zake akapumzike.

This is a losing game
 
Mtu anatumikia wito wake wewe inakuuma nini
 
Ndugu yangu Shiika naomba sana ufanye jambo lifuatalo. Hii inahusu pia members wote wa JF. Kama hujasoma kitabu cha Shaaban Robert cha Kusadikika, naomba sana ufanye hivyo. Kisome kwa kina, uelewe kwani alichoandika Shaaban Robert miaka ya 1950, ndicho kinachotokea sasa hivi Tanzania. Bada ya Karama kusomewa mashataka, sura ya pili Shaaban anaandika hivi ''Baada ya usemi wa Waziri, baadhi ya watu wachache waliokuja barazani kusikiliza kesi hii walimsikitikia mshtakiwa, lakini wengi walikuwa wakinong'onezana kuwa msiba wa kujitakiwa hauna kilio. Kama watu waliokusudiwa kuwa mwenge kwa wengine wangalikuwa wakingojea shangwe la watu kabla ya kuanzisha makusudio yao maendeleao katika maisha yangeadimika. Kwa bahati njema, mtu yeyote, katika hawa hutegemea mwongozo usiotaka shangwe mpaka amefaulu.''
Asante sana🙏
 
Fala kweli wewe! Lisu shikilia hapo hapo wewe upo zako kwenye keyboard na baadae urudi zako kumpa mkundu mumeo mnalala mmekumbatiana kwa raha zenu halafu unamchocheq mwenzako ambaye mwaka sasa yupo jela,

Salaamu kwako Lissu&waTanzania
kwa ujumla.
Ninao ushauri mdogo kwako
ndugu A.T.Lissu.
Ninajua,unaijua Tanzania,
Na unawajua watanzania walivyo.

Mosi.
Watanzania kwa asili tu,ni wanafki&wabinafsi.
(Katika hili utafiti uliwahi kufanyika,na waTZ wakaongoza duniani)

Pili
Unaowapigania,hajui unachokipigania.
Hivyo,unajitesa bure&kutesa familia yako.
Wenzako wanawaza ngono,pombe,wanawake,
starehe,kupiga pesa&kupambania watoto wao.
Hicho unachokipigania inawezekana ni maslahi yako,siyo yao.

Tatu
Hii ndiyo Tanzania ambayo watanzania wanaitaka.
Kama ni ubaya,wanafanyiana
wao kwa wao,wanaibiana wao
kwa wao n.k.
Ni furaha ya mtu kuona wengine wakitaabika.
Furaha ya tajiri,ni kuwepo
kwa maskini,furaha ya shibe ni awepo mwenye njaa.
Ukibisha,waulize wenye njaa,wamekuwaje walipopata chakula,vyeo n.k.
Hii ndiyo TZ wanayoitaka wenyewe.

Nne
Umekuwa gerezani,muda sasa.
WaTZ wameishia kubweka&kuufyata mkia.
Bado una Imani nao?

Tano
Uzalendo huanzia nyumbani
Kuwa mzalendo na familia yako,mke na watoto wako.
Patana na serikali,nenda zako ulaya kaishi na familia yako.
Saidia na ndugu zako.
Wewe siyo Mungu,waTZ waachie Mungu aliyewaumba.
Kama kweli wanateseka,
yeye ataona cha kufanya.

Ni ushauri tu.
Lissu ni aina ya watu wachache sana ambao dunia inaweza kuwapata ambao wapo tayari kuteswa, kuumizwa au kuuawa ilimradi tu wanasimama katika kusudi na imani waliyojiwekea, kiufupi watu wa haina hii hawayumbishwi na chochote wanaishi kwa principles zao na hawawezi kukubali kuwa mbwa au mtumwa wa mtu fulani, wanasiasa kaliba ya Lissu ni nadra sana kuwapata
Nyerere mpaka anakuwa shujaa alijitokeza kama mbeba maono miongoni mwa wengi!
Kimsingi wabeba maono hawafi hadi watimize au wakabidhi lengo lao maishani!
Kuwashauri vinginevyo ni kupoteza muda!
 
Sija mfananisha bali nimeweka angalizo kwa mdau alie sema ana mwamini lisu kuliko mwana siasa yoyote ndio nikamwambia hata mbowe ile 2010-15-20 tulikua tunaimbishwa hivyo hivyo ila leo ni kinyume chake!
Waliokuwa wanamwamini Mbowe ni wenye macho lakini walikuwa hawaoni
 
Back
Top Bottom