Lissu hawezi kushauriwa na punguani kama wewe.Ni ushauri wa Lissu siyo wako,kitulize.
Hii id mi ileile iliyokuwa inaweia mguu miaka kadhaa nyuma au hii ni nyingine?Watanganyika wapumbavu sasa hivi mkombozi wao eti tapeli Gwajima.
Aiseee Tanzania kuna watu wajinga sana.
Mtu kapiga pesa za CCM baada ya kuona Dili lake la u president limebumba leo kawa mpinzani wa Rais na Watanganyika wanamwona shujaa
Hiyo hiyoHii id mi ileile iliyokuwa inaweia mguu miaka kadhaa nyuma au hii ni nyingine?
Fedhuli kikwete ameshikwa na tumbo la uharo, majumba, biashara na mapesa yake aliyotuibia na kuficha huko US wanataka kumpokonya vyote. Lissu amewashika pabaya Wajinga ninyi.Lissu ni agent wa CIA mchongo wake umesanuka acha aozee selo
Aisee kama ni yule mdada basi mtazamo wako umebadilika sana kuhusu siasa.Hiyo hiyo
Ni kipi usichokielewa katika maneno niliyoandika?Tuliza kalio hilo,kenge wewe...utafi_wa