Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,594
- 18,815
Kwahiyo mtu akicomment tofauti na Mawazo yako anakuwa hajiheshimu 🤣🤣
Kwahiyo mtu akicomment tofauti na Mawazo yako anakuwa hajiheshimu 🤣🤣
Kwa lissu naweka hitimisho mkuu, huyo na Mnyika ndio pekee nawaamini. Wako principled sana na upinzani na hilo lipo wazi sana.Usiweke hitimisho kwa mwanadamu mwenye utashi, juzi tu tulikua tunasema hivi hivi kwa mbowe ! Lakini leo hii ndie mtu mbaya katika upinzani kuliko wote inavyo semekana.
Let the man pursue his calling. Hakuna ukombozi ambao umewahi kuletwa na wananchi wote.Salaamu kwako Lissu&waTanzania
kwa ujumla.
Ninao ushauri mdogo kwako
ndugu A.T.Lissu.
Ninajua,unaijua Tanzania,
Na unawajua watanzania walivyo.
Mosi.
Watanzania kwa asili tu,ni wanafki&wabinafsi.
(Katika hili utafiti uliwahi kufanyika,na waTZ wakaongoza duniani)
Pili
Unaowapigania,hajui unachokipigania.
Hivyo,unajitesa bure&kutesa familia yako.
Wenzako wanawaza ngono,pombe,wanawake,
starehe,kupiga pesa&kupambania watoto wao.
Hicho unachokipigania inawezekana ni maslahi yako,siyo yao.
Tatu
Hii ndiyo Tanzania ambayo watanzania wanaitaka.
Kama ni ubaya,wanafanyiana
wao kwa wao,wanaibiana wao
kwa wao n.k.
Ni furaha ya mtu kuona wengine wakitaabika.
Furaha ya tajiri,ni kuwepo
kwa maskini,furaha ya shibe ni awepo mwenye njaa.
Ukibisha,waulize wenye njaa,wamekuwaje walipopata chakula,vyeo n.k.
Hii ndiyo TZ wanayoitaka wenyewe.
Nne
Umekuwa gerezani,muda sasa.
WaTZ wameishia kubweka&kuufyata mkia.
Bado una Imani nao?
Tano
Uzalendo huanzia nyumbani
Kuwa mzalendo na familia yako,mke na watoto wako.
Patana na serikali,nenda zako ulaya kaishi na familia yako.
Saidia na ndugu zako.
Wewe siyo Mungu,waTZ waachie Mungu aliyewaumba.
Kama kweli wanateseka,
yeye ataona cha kufanya.
Ni ushauri tu.
Serious unamfananisha Lisu na Mbowe? Huyo Mbowe ni mara ngapi ameshutumiwa kuhusu utata wake kwenye pesa hata na wanacdm wenzake?Usiweke hitimisho kwa mwanadamu mwenye utashi, juzi tu tulikua tunasema hivi hivi kwa mbowe ! Lakini leo hii ndie mtu mbaya katika upinzani kuliko wote inavyo semekana.
Kwenye hii issue ya lowasa lisu na uhusika wowote labda?Kwa lissu naweka hitimisho mkuu, huyo na Mnyika ndio pekee nawaamini. Wako principled sana na upinzani na hilo lipo wazi sana.
Mbowe alikua haaminiki tokea issue ya Lowassa 2015 na alikua moderate sana so sio kweli alikua anaaminika kihivyo.
Sija mfananisha bali nimeweka angalizo kwa mdau alie sema ana mwamini lisu kuliko mwana siasa yoyote ndio nikamwambia hata mbowe ile 2010-15-20 tulikua tunaimbishwa hivyo hivyo ila leo ni kinyume chake!Serious unamfananisha Lisu na Mbowe? Huyo Mbowe ni mara ngapi ameshutumiwa kuhusu utata wake kwenye pesa hata na wanacdm wenzake?
Kama watanzania hatuelewi Lisu anapigania nini, kwanini hadi leo yuko magereza? Kesi si ingekuwa imeshafutwa maana watanzania hawamuelewi? Uzuri Lisu anajua tabia za Watanzania ila ameamua kufikisha mwisho wa huu ukondoo. Yaani kwa maneno marahisi Lisu angetaka hayo maisha unayotaka ayaishi, angeshayapata muda sana.Salaamu kwako Lissu&waTanzania
kwa ujumla.
Ninao ushauri mdogo kwako
ndugu A.T.Lissu.
Ninajua,unaijua Tanzania,
Na unawajua watanzania walivyo.
Mosi.
Watanzania kwa asili tu,ni wanafki&wabinafsi.
(Katika hili utafiti uliwahi kufanyika,na waTZ wakaongoza duniani)
Pili
Unaowapigania,hajui unachokipigania.
Hivyo,unajitesa bure&kutesa familia yako.
Wenzako wanawaza ngono,pombe,wanawake,
starehe,kupiga pesa&kupambania watoto wao.
Hicho unachokipigania inawezekana ni maslahi yako,siyo yao.
Tatu
Hii ndiyo Tanzania ambayo watanzania wanaitaka.
Kama ni ubaya,wanafanyiana
wao kwa wao,wanaibiana wao
kwa wao n.k.
Ni furaha ya mtu kuona wengine wakitaabika.
Furaha ya tajiri,ni kuwepo
kwa maskini,furaha ya shibe ni awepo mwenye njaa.
Ukibisha,waulize wenye njaa,wamekuwaje walipopata chakula,vyeo n.k.
Hii ndiyo TZ wanayoitaka wenyewe.
Nne
Umekuwa gerezani,muda sasa.
WaTZ wameishia kubweka&kuufyata mkia.
Bado una Imani nao?
Tano
Uzalendo huanzia nyumbani
Kuwa mzalendo na familia yako,mke na watoto wako.
Patana na serikali,nenda zako ulaya kaishi na familia yako.
Saidia na ndugu zako.
Wewe siyo Mungu,waTZ waachie Mungu aliyewaumba.
Kama kweli wanateseka,
yeye ataona cha kufanya.
Ni ushauri tu.
Kwa taarifa yako watu hawakuwa na imani na Mbowe, bali ndio alikuwa mwenyekiti. Watu walikuwa ni imani na Dr. Slaa sio Mbowe. Usichanganye imani ya watu na cheo alichokuwa nacho Mbowe. Huyo aliyesema ana imani na Lisu, ni kwa uhalisia uliopo sasa, sasa ataamua kubadilika hataendelea kumuamini. Una ushauri mwingine boss?Sija mfananisha bali nimeweka angalizo kwa mdau alie sema ana mwamini lisu kuliko mwana siasa yoyote ndio nikamwambia hata mbowe ile 2010-15-20 tulikua tunaimbishwa hivyo hivyo ila leo ni kinyume chake!
Labda kama nilisimuliwa ila kwa vile niliona na nilikuwa mwana chama nachelea kusema unaongopea.Kwa taarifa watu hawakuwa na imani na Mbowe, bali ndio alikuwa mwenyekiti. Watu walikuwa ni imani na Dr. Slaa sio Mbowe
Maku weweLissu ni agent wa CIA mchongo wake umesanuka acha aozee selo
Ulitaka tufungwe watu woote?Nne
Umekuwa gerezani,muda sasa.
WaTZ wameishia kubweka&kuufyata mkia.
Bado una Imani nao?
Tumedanganywa muda mrefu sana hadi Jan 2025Kwa taarifa watu hawakuwa na imani na Mbowe, bali ndio alikuwa mwenyekiti. Watu walikuwa ni imani na Dr. Slaa sio Mbowe. Usichanganye imani ya watu na cheo alichokuwa nacho Mbowe. Huyo aliyesema ana imani na Lisu, ni kwa uhalisia uliopo sasa, sasa ataamua kubadilika hataendelea kumuamini. Una ushauri mwingine boss?
Duh 🙄 !Salaamu kwako Lissu&waTanzania
kwa ujumla.
Ninao ushauri mdogo kwako
ndugu A.T.Lissu.
Ninajua,unaijua Tanzania,
Na unawajua watanzania walivyo.
Mosi.
Watanzania kwa asili tu,ni wanafki&wabinafsi.
(Katika hili utafiti uliwahi kufanyika,na waTZ wakaongoza duniani)
Pili
Unaowapigania,hajui unachokipigania.
Hivyo,unajitesa bure&kutesa familia yako.
Wenzako wanawaza ngono,pombe,wanawake,
starehe,kupiga pesa&kupambania watoto wao.
Hicho unachokipigania inawezekana ni maslahi yako,siyo yao.
Tatu
Hii ndiyo Tanzania ambayo watanzania wanaitaka.
Kama ni ubaya,wanafanyiana
wao kwa wao,wanaibiana wao
kwa wao n.k.
Ni furaha ya mtu kuona wengine wakitaabika.
Furaha ya tajiri,ni kuwepo
kwa maskini,furaha ya shibe ni awepo mwenye njaa.
Ukibisha,waulize wenye njaa,wamekuwaje walipopata chakula,vyeo n.k.
Hii ndiyo TZ wanayoitaka wenyewe.
Nne
Umekuwa gerezani,muda sasa.
WaTZ wameishia kubweka&kuufyata mkia.
Bado una Imani nao?
Tano
Uzalendo huanzia nyumbani
Kuwa mzalendo na familia yako,mke na watoto wako.
Patana na serikali,nenda zako ulaya kaishi na familia yako.
Saidia na ndugu zako.
Wewe siyo Mungu,waTZ waachie Mungu aliyewaumba.
Kama kweli wanateseka,
yeye ataona cha kufanya.
Ni ushauri tu.
Lissu hakua decision maker so asingeweza kataa ila kwa sasa ni mwenyekiti unadhani kuna fisadi wa CCM anaweza kuja chadema na kupewa urais? Hata Mnyika alikua wazi kuwa aliumia sana ila tu hakuwa na namna akasusa tu mpaka alipo heal.Kwenye hii issue ya lowasa lisu na uhusika wowote labda?
Bro tusiongee sana mwana siasa ni mwana siasa tu kesho anaweza kugeuka hadi ukashindwa kushangaa, ona Yeriko na msigwa , juzi ile unadhani mtazamo unao waonannao leo ingewezekana?Lissu hakua decision maker so asingeweza kataa ila kwa sasa ni mwenyekiti unadhani kuna fisadi wa CCM anaweza kuja chadema na kupewa urais? Hata Mnyika alikua wazi kuwa aliumia sana ila tu hakuwa na namna akasusa tu mpaka alipo heal.
Duh...unauelewa mdogo sana
Akili yako inatosha tu kuvukia barabara....pole sana.