Ushauri: Wanaume na ulimbukeni wa michezo ya 'tigo'

Ushauri: Wanaume na ulimbukeni wa michezo ya 'tigo'

Sasa utanifanya na mimi niwe naangalia wowowo za hawa warembo mtaani kama zimemwagika WAA!! nijisemeshe mwenyew "keshasirwa huyoo"

Ila penny, penny waambie basi wadada waache selfie za wowowo zaoo!!
Nyie ndio mnawaambia mwanamke Shepu sura hata mbuzi anayo mnategemea watachukua selfie gani sasa
 
Inaonekana walishawahi kuku rafi maana unajua effects zote [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Najua Najua niliandika uzi kuhusu wanawake waache kuchagua wanaume kama wamefikisha umri kuanzia 31 kwenda juu

Leo naomba niongee na wanaume

Wanaume sikuhizi ndio sijui tuseme mmechoka au maisha magumu hata sielewi

Wanaume kabla ya ndoa sio tena mnataka mbelee kwenye CHIU. .. eti mnataka na nyumaaa (tigo/sodoma)

Hamuoi mpaka mpewe nyumaaa...

Samahani kwani Mungu alituumba akinadada tukazungushwe nyumaaa au tuzae tukaongezeke?!

Yani mngejua ilivyongumu kunya mavi magumu Leo ukaniwekee machine kweli huu no ubinaadam au unyama?!

Mwanamke mwenzangu hata kama unamiaka 40 na Mwanaume wako akataka tigo kimbiaaaa umwachie viatu

Bora u-adopt mtoto yatima kuliko kubomolewa mgongo

Tabu ambayo milupo hawajui kuhusu kutoa Tigo ni kwamba...

1. Ukija kuzaa labda uzae kwa opereshen so njia ya kawaida mana ukishaambiwa pushhhh badala ya kutoka mtoto yanatoka mavi

2. Ukitaka kuzaa kawaida lazima wakuwekee gozi kwenye makalio ndio upush

3. Mwanaume asikudanganye akiku-tigolisha ndio hatachepuka anachepuka sanaa na anapochepukia anaenda kupewa tigo vile vile

4. Uki-tugoliwa makalio yako hayatakuwa sawa... lile taya la wowowo litaanza kupoteza network (litaachiaa mana limepigwa machine sanaa) watu wazima tukikuangalia hatukuoni unashape nzuri bali unapigwa tigo dogoo. .. mitako inatepweeeta inaenda resi kama feni speed ya kwanza alafu mingine inaanguka waaa (hapa watu wazima wamenielewa)

Dalili za kumjua Mfiraji

1. Ukimpata mwanaume ukaona anaanza kukushika makalio anakuingiza vidole jua huyo mfiraji

2. Ukiskia mwanaume anakwambia ukinipa nyumaaa sikuachi mkimbie haraka sanaa. .. wafiraji hawarudiagi Mwanamke hata kama utapewa jumba last ghorofaaa

3. Anakutumia video za ngono za kufirana tu au za wanaume kwa wanaume wanapeana raha

Sasa wewe endelea kuwahurumia wanaume ukasema ngoja nitoe shoo ya kimalaya (tigo) nimchanganye huenda atanipenda na kunioa

Wanaume msipende kuharibu watoto wakike wa watu kwasababu ya fantasy zenu... kama unataka Tigo mvamie Mbwa au Ng'ombe mana malipo ni hapa hapa duniani. .. juu utatuzalia mtoto wa kike nae atapigwaa tu nyumaaa. . MTUACHEE

Ps:
Tigo ndio njia rahisi ya kupata maambukizi ya ukimwi kwa haraka kama hamjui nyie pigweni kavu mkazani mmeponaa

Ni hayo tu ngoja niende kwa mange nikapate moja moto ingine ya baridi

Mwenye sikio na asikie... Money Penny anasema na vijana wa Jamii Forum..Amen


Kama kataka mwenyewe me nifanyeje
 
Tatatizo mbele. Hamna kitu inabidi umwage nyuma nzigo wako ataupata tu.si Mimi maneno ya bwan chuchu
 
Shepu kama ipo amekupa Mungu ipo tu

Kwahiyo nawe unawasaidia kuwatengenezea shape gan labda?!
Kama wapo wanaoamini kwamba usodoma huleta wowowo basi wanawake wa kizungu wangekuwa na mizigo mizito. wao mchezo huo huucheza sana. Msingi wa wowowo ni sehemu ya mwisho ya uti wa mgongo(coccix), kama imebinuka huunda shape pendwa, kama imelala(flat) huleta umbo lile jengine.
 
Acheni kumshambulia Dada wa watu, ametoa somo zuri then baadhi yenu mnataka kuanzisha mada nyingine... Na ni ya kweli Just imagine kama wewe ni mwanaume mtoto wako wa kike uliyemzaa afanyie hayo.. Haya ni yakweli and imekuwa like kama fasheni kwenye mapenzi pasipo jamii kujua madhara yake.. Kuna siku nilikuwa na mtoto mmoja mzuri sana kama africast fulani hivi baada ya kumpiga machine sana nikasikia ananiambie baby nipeleke uwani dah!! Kumbe anamaanishe kule.. Nilimuambie sifanyaji huo ushetani then akawa disappointed akaondoka.
 
Back
Top Bottom