Hello wana jf mi ni mwanadada mfanyakazi serikalini sijawahi kuwa na mtoto! Naombeni ushauri wenu nilikuwa na mahusiano na mkaka akanitolea mahali na tulipanga tarehe ya harusi mwaka jana tumegombana ameanzisha mahusiano na mfanyakazi mwenzangu plz naomba yeyote mwenye kuelewa mtu wa saikolojia ushauri anielekeze nimtafute ili niweze kurecover na kusahau kabisa. Asanteni