luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,023
- 21,268
Geti la mbinguni hupiti😂😂😂😂 kwahiyo ukampa faraja?Hahahaa! Mkuu umejuaje kama kwasasa humalizi mwezi unalia? Binafsi nilikutana na binti mmoja analia kwenye ule mgahawa ambao zamani ulikuwa avalon cinema (food world) nikajidai kumfata na kumuhoji kulikoni mbona analia akaniambia katendwa nikaanza kumshauri, tukabadilishana namba tena landline, nilijuta baadae bint akaniganda eti mimi ni mtu sahihi kwake wakati najijua mimi ni zaidi ya wahuni kimoyomoyo nikasema mbona hakomi huyu