Ushauri wa kisaikolojia

Pole sana, maisha ya mahusiano huwa yana sarakasi nyingi. Lakini mwisho wa siku lazima uyafurahie maisha, fanya yafuatayo kurudi kwenye mudi ya furaha yako na kupata mwenza mpya mwenye dira ya maisha:-
  • Weka mazingira ya nyumba au chumba chako safi, kila kitu kiwe na mpangilio
  • Hakikisha, matunda, juisi,wine haviishi kwenye friji
  • Kila kitu ulichonacho ndani kiwe kwenye mpangilio na mazingira yawe safi
  • Jitahidi uwe na mziki mnene kiasi, Tv ya kuvutia
  • Utokapo kazini, oga na uwe safi, fungulia mziki wako wa taratibu (iwe ni kwaya au mziki wa taratibu n.k) huku ukipata juisi ya matunda/wine
  • Hakikisha nywele zako ziko safi, unaweza kuzipunguza ukawa unachana tu au unaweza kusuka rasta za kupendeza
  • Mwilini, tumia mafuta (lotion) inayofanya mwili wako kuwa mkavu
  • Tumia manukato yasiyokuwa na harufu kali
  • Mavazi yako yaboreshe; unaweza kushona mishono ya vitenge inayoendana na mwili wako, au kuvaa vazi la suti
  • Viatu vyako visiwe virefu sana
  • Pia usiwe mwongeaji sana; jaribu kuwa mkimia na mwanaume yeyote utakayekutana naye na unatamani awe mume wako msalimie kwa heshima.
  • Hudhuri nyumba za ibada ukiwa na mavazi ya heshima
  • Ukitoka kazini rudi nyumbani usipende kuzurura hovyo
  • Kama kuna mwanaume unampenda, mwambie bila kuogopa 'ungependa awe mume wako'
  • Anza kupokea simu za wanaume washoka wanaotaka ndoa
  • Huyo aliyekukimbia atarudi mwenyewe kwa spidi kubwa
Na mwisho utatupa mrejesho
 
Asante
 
Hello wana jf mi ni mwanadada mfanyakazi serikalini sijawahi kuwa na mtoto! Naombeni ushauri wenu nilikuwa na mahusiano na mkaka akanitolea mahali na tulipanga tarehe ya harusi mwaka jana tumegombana ameanzisha mahusiano na mfanyakazi mwenzangu plz naomba yeyote mwenye kuelewa mtu wa saikolojia ushauri anielekeze nimtafute ili niweze kurecover na kusahau kabisa. Asanteni
Pole mkuu, hizi case siku hizi zimekuwa nyingi sana.
 
Ukiona mpaka umelipiwa mahari jamaa akaingia mitini ujue una shida mahari ,jitafakari dada,kubali kujishusha,so mahari inarudi au ndio kiendacho kwa mganga
 
Fanya ivi njia kama futa namba zake kama kazingua

Najua inauma kukosa mtoto ila sio riziki yako labda umri unaona umeenda ila jua kuwa wanawake wana mpaka miaka 40 hawana watoto wala ndoa
Bora ivyo je mngezaa nae then akakimbia ungekuwa ushaingia group la single mother na umejipunguzia credit za kuolewa na mwanaume mwingine
 
Utazoea tu kumbuka ivi vitu hata wanapoachana walipendana sana mpaka kufunga ndoa mwisho wa siku wakaachana
Point yangu huyo hata iweje ipo siku hata angekuoa ungekuja tamani muachane ndo life
We ni mdada kazi unayo jali sana maisha yaende

Mtoto ni mpango wa Mungu
 
Back
Top Bottom