Ushauri wa kisaikolojia

Mi nadhani huyo jamaa atakuwa na shida na siyo ndogo na vipi mlivyokorofishana ulijaribu kuongea nae na kuomba msamaha?? Maana si hali ya kawaida mtu akalipa hadi mahari alafu aingie mitini tena mbaya zaidi anaanzisha mahusiano na mfanyakazi mwenzako,,
 
Atakuwa na matatizo yake
 
Tatizo nyie wanawake mliobahatika kupata kazi huwa hamna heshima kwa waume zenu...hakuna mwanaume asipenda kueshimiwa ...kazi pembeni na nafasi ya mwanaume uitambue KBS...unatakiwa urudi uongee nae...make kama una tabia ya kutokueshimu mmeo wote unaowatafta watakuacha tu...jifunze kuwa na heshima ukiwa na mmeo..
 
Pole kuna wakati nilipitia kipindi cha uzuni, eti najifungia ndani, nyooo sasa hivi siwezi maliza mwezi nalia.
Pole sana usijifungie ndani kama mimi, kama wewe sio mtokaji kama mimi, jf ni marafiki waaminifu kupitia huu uzi utapunguza stress wewe ingia tu jf angalia movie.

Muhimu zaidi go out utakutana na watu wazuri tu utapata kampan.

Pole sana, ni maisha, tu mungu kakuepushi mengi wako atakuja hatokuliza atakupa raha zote.
 
Step ya kwanza kwenye kupona maumivu ni kukubaliana na hali
 
Tatizo nyie wanawake mliobahatika kupata kazi huwa hamna heshima kwa waume zenu...hakuna mwanaume asipenda kueshimiwa ...kazi pembeni na nafasi ya mwanaume uitambue KBS...unatakiwa urudi uongee nae...make kama una tabia ya kutokueshimu mmeo wote unaowatafta watakuacha tu...jifunze kuwa na heshima ukiwa na mmeo..
Cc renata1
 
Pole kuna wakati nilipitia kipindi cha uzuni, eti najifungia ndani, nyooo sasa hivi siwezi maliza mwezi nalia.
Pole sana usijifungie ndani kama mimi, kama wewe sio mtokaji kama mimi, jf ni marafiki waaminifu kupitia huu uzi utapunguza stress wewe ingia tu jf angalia movie.

Muhimu zaidi go out utakutana na watu wazuri tu utapata kampan.

Pole sana, ni maisha, tu mungu kakuepushi mengi wako atakuja hatokuliza atakupa raha zote.
Pata Savannah nakuja kulipa, umesema ukweli mtupu! Yaani amshukuru Mungu yamejitokeza at this stage, kuliko unaolewa kisha unakuja kubanikwa kwenye jiko la mkaa
 
Una jua kupona maumivu ya mapenzi sio kazi ndogo mimi nimesha wai kupitia changamoto iyo
Na nilileta malalamiko yangu kwa wakubwa uku JF wali nishauri ukweli siku weza kufata Mashauri yao

Ila nilicho fanya nilihanza kumfatilia yule mwanamke kila Niki mpigia simu akawa ana ni kataa kabisa
Kweli kweli na mwisho wa mambo baada ya kuona maumivu yame kuwa mengi moyo ukachoka wenyewe

Iyo ndiyo jia niliyo pitia mimi
Ila cha kukushauria wewe
Kama una chat naye au una namba zake futa kabisa pili
Jaribu kuwa una sema mwenyewe jiani Yaani maneno ya kujiamini
Tatu jiangalie kwenye kiho alafu una tabasam kila
Na cha mwisho kuwa una jichanganya na wenzako

Bila Ivo uta jiletea ugonjwa wa panic attack
 
wewe unajitambua ila unajiendekeza, ungekuwa na matatizo walio pembeni yako ndio wangeona.

achana nao fanya yako ila usije kufanya maamuzi kwa nia ya kumkomoa au kumuonyeshea, itakula kwako.

kaa, tafakari na ujipange!.
 
jifunze kutokuweka mahusiano yako open hasa kuomba ushauri kwa marafiki wa karibu (tafuta watu wazima umri 40+ wenye busara na hekima).
kubaliana na hali kwamba imeshatokea ikibidi omba uhamisho na uanze upya,wapo watu wengi wazuri kwaajili yako (everything happen for reason).

"sio kila tatizo ni tatizo mengine ni madaraja ya mafanikio"
 
Hello wana jf mi ni mwanadada mfanyakazi serikalini sijawahi kuwa na mtoto! Naombeni ushauri wenu nilikuwa na mahusiano na mkaka akanitolea mahali na tulipanga tarehe ya harusi mwaka jana tumegombana
Mmegombana kwa sababu zipi?

ameanzisha mahusiano na mfanyakazi mwenzangu
Hana adabu kabisa, hao walikua wapenzi muda mrefu sana...

plz naomba yeyote mwenye kuelewa mtu wa saikolojia ushauri anielekeze nimtafute ili niweze kurecover na kusahau kabisa. Asanteni
Pole sana, hayanaga muongozo...
 
Pole kuna wakati nilipitia kipindi cha uzuni, eti najifungia ndani, nyooo sasa hivi siwezi maliza mwezi nalia.
Pole sana usijifungie ndani kama mimi, kama wewe sio mtokaji kama mimi, jf ni marafiki waaminifu kupitia huu uzi utapunguza stress wewe ingia tu jf angalia movie.

Muhimu zaidi go out utakutana na watu wazuri tu utapata kampan.

Pole sana, ni maisha, tu mungu kakuepushi mengi wako atakuja hatokuliza atakupa raha zote.
Hahahaa! Mkuu umejuaje kama kwasasa humalizi mwezi unalia? Binafsi nilikutana na binti mmoja analia kwenye ule mgahawa ambao zamani ulikuwa avalon cinema (food world) nikajidai kumfata na kumuhoji kulikoni mbona analia akaniambia katendwa nikaanza kumshauri, tukabadilishana namba tena landline, nilijuta baadae bint akaniganda eti mimi ni mtu sahihi kwake wakati najijua mimi ni zaidi ya wahuni kimoyomoyo nikasema mbona hakomi huyu
 
Back
Top Bottom