Naomba ushauri: Nataka kusoma Shahada ya Umahiri ya Ualimu wa Sayansi mwakani 2024

Oct 24, 2023
1
3
Habari ndugu zangu,

Mimi nimehitimu bachelor of laboratory science and technology mwaka 2022 with Gpa of 3.7 but kwasasa nafasi za kazi hususani serikalini ni mpaka connection na mimi sina connection.

Nafikiri mwakani nikachukue degree ya pili ya ualimu kwa lengo lakupata first class ili niweze kua lecture.

Nimechukua hayo maamuzi baada ya kuanzisha biashara na kupata hasara ya takriban 2 million, nimekua nina mawazo mengi na kufikia maamuzi ya kutaka kurudi shule.

Sijahitaji kuchukua master kwa sababu coz yetu hii ya laboratory kwa ngazi ya degree bado ni changa na kwa ufaulu wa gpa 3.7 ni ngumu kuwa lecturer

Naombeni ushauri ndugu zangu.
 
Wazo lako si9 baya ila kaa chini fikiri mara mbili maana unaweza kwenda kwenye education a hiyo first class usiipate. Mimi ni mwalimu huku kwetu kuna changamoto nyingi sana nakushauri kama unaweza pambana kwenye area yako hiyo hiyo
 
Fanya master ya digrii yako ya kwanza hiyohiyo.

Ukipata GPA ya 4.0+ unaweza kufundisha kama Assistant Lecturer kwenye colleges na institutes zinazozingatia GPA ya 3.5 kwa undergraduate, kama vile WI, DIT, NIT.
 
Sawa ndyo utumie no yako ya NIDA kama ID yako ya jf 🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu ni lecturer sio lecture 🤣🤣
Anyways 🤣🤣🤣

Mdogo wangu life has so many ways to prove you wrong...kuwa lecturer sio rahisi kama unavyodhani...unaweza ukasoma na kupata hiyo first class na bado usiupate u lecturer...we kama umeamua kusoma Soma tu ila punguza expectations utakuwa disaapointed...by the way degree yako umeishaitumia au unakimbilia ya pili wakati ya kwanza haijakuzalishia???
 
Sawa ndyo utumie no yako ya NIDA kama ID yako ya jf
Halafu ni lecturer sio lecture
Anyways

Mdogo wangu life has so many ways to prove you wrong...kuwa lecturer sio rahisi kama unavyodhani...unaweza ukasoma na kupata hiyo first class na bado usiupate u lecturer...we kama umeamua kusoma Soma tu ila punguza expectations utakuwa disaapointed...by the way degree yako umeishaitumia au unakimbilia ya pili wakati ya kwanza haijakuzalishia???

Jamaa kaona isiwe tabu kaweka NIDA,hii ndio id ndefu kuiona tangu nianze kutumia jf jamaa kaupiga mwingi
 
by the way degree yako umeishaitumia au unakimbilia ya pili wakati ya kwanza haijakuzalishia???
Jambo la kuzingatia sana.
Kuna mwalimu mwanza ni maarufu wa kutengeneneza solution za kemia ni maarufu sana na kajiajili.
Kwa nini hatuoni thamani ya kile tulichosomea ili kituajili?
 
Hapo sasa...kama hajaona thamani ya kile cha kwanza kwann akimbilie cha pili
 
Habari ndugu zangu,

Mimi nimehitimu bachelor of laboratory science and technology mwaka 2022 with Gpa of 3.7 but kwasasa nafasi za kazi hususani serikalini ni mpaka connection na mimi sina connection.

Nafikiri mwakani nikachukue degree ya pili ya ualimu kwa lengo lakupata first class ili niweze kua lecture.

Nimechukua hayo maamuzi baada ya kuanzisha biashara na kupata hasara ya takriban 2 million, nimekua nina mawazo mengi na kufikia maamuzi ya kutaka kurudi shule.

Sijahitaji kuchukua master kwa sababu coz yetu hii ya laboratory kwa ngazi ya degree bado ni changa na kwa ufaulu wa gpa 3.7 ni ngumu kuwa lecturer

Naombeni ushauri ndugu zangu.
Naona umezaliwa 98, kijana mdogo kabisa!

Anyway, je ukienda kusoma ualimu na kazi ukakosa utaenda tena kusoma nini mdogo wangu?
 
Wazo lako si9 baya ila kaa chini fikiri mara mbili maana unaweza kwenda kwenye education a hiyo first class usiipate. Mimi ni mwalimu huku kwetu kuna changamoto nyingi sana nakushauri kama unaweza pambana kwenye area yako hiyo hiyo
Mkuu samahani kwa kuvamia uzi ,nataka kusoma hii kozi mwaka kesho,nje ya ualimu ni kazi zipi naweza fanya pia!?
Bachelor Degree in Education with Accounting and Business studies.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom