Kabla ya hapo ulisomea nini?Ninamiaka 37 kwa sasa,mwaka juzi nilikuwa nasoma pale techobrain mnazi mmoja , nasomea computer in it,nimesoma miezi sita kwenye diploma,sikumaliza course nipo home ila nataka kuendelea,je inawezekana? Au napoteza muda wangu? Naombeni jb...