Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

Kop0

Member
Oct 6, 2021
71
96
Naenda kwa mada moja kwa moja.

Hivi Juzi kati nilihamia kwenye nyumba moja mkoa X. Jirani alinipokea vizuri sana ila kutokana na nature ya kazi wote kurudi night tulishindwa kuwa marafiki.

Jirani mara nyingi navyokuwa sipo anawaamuru vijana wangu wafanye vitu ambavyo sijawaagiza mfano fundi kaja kutengeneza labda kitu, nikitoka anaenda kumwambia fanya hivi. Siku alikosea kaja nipo mwenyewe home. Nikamuwakia sana nusu kumchapa ngumi maana nilikuwa kwangu yeye kaja.

Baada ya ugomvi kuisha nilimuita mwenyekiti wa mtaa nikamweleza akamwambia mshikaji asiingie kwenye boma langu.

Baada ya hapo jamaa na mke wake wamekuwa wananiogopa sana. Anaweza badili hata njia akiniona.

Sasa nataka aniogope mara thelathini ya hapa, naombeni maujanja jinsi ya kumtisha huyu mtu.
 
_20240207_210139.JPG
 
Naenda kwa mada moja kwa moja.

Hivi Juzi kati niliamia kwenye nyumba moja mkoa X. Jirani alinipokea vizuri sana ila kutokana na nature ya kazi wote kurudi night tulishindwa kuwa marafiki.

Jirani mara nyingi navyokuwa sipo anawaamuru vijana wangu wafanye vitu ambavyo sijawaagiza mfano fundi kaja kutengeneza labda kitu nikitoka anaenda kumwambia fanya hivi. Siku alikosea kaja nipo mwenyewe home. Nikamuwakia sana nusu kumchapa ngumi maana nilikuwa kwangu yeye kaja.

Baada ya ugomvi kuisha nilimuita mwenyekit wa mtaa nikamweleza akamwambia mshikaji asiingie kwenye boma langu.

Baada ya hapo jamaa na mke wake wamekuwa wananiogopa sana. Anaweza badili hata njia akiniona.

Sasa nataka aniogope mara thelethini ya hapa naombeni maujanja jinsi ya kumtisha huyu mtu.
Bado una akili za kivulana, siku ukiwa na akili za Mwanaume urudi tukushauri. Una ulimbukeni mwingi sana!
Siku ukifikia hadhi ya kuwa Mwanaume; be calm and down to Earth inapofika point ya Majirani.

Swallow your pride kulinda ujirani mwema! Kwaheri
 
Naenda kwa mada moja kwa moja.

Hivi Juzi kati niliamia kwenye nyumba moja mkoa X. Jirani alinipokea vizuri sana ila kutokana na nature ya kazi wote kurudi night tulishindwa kuwa marafiki.

Jirani mara nyingi navyokuwa sipo anawaamuru vijana wangu wafanye vitu ambavyo sijawaagiza mfano fundi kaja kutengeneza labda kitu nikitoka anaenda kumwambia fanya hivi. Siku alikosea kaja nipo mwenyewe home. Nikamuwakia sana nusu kumchapa ngumi maana nilikuwa kwangu yeye kaja.

Baada ya ugomvi kuisha nilimuita mwenyekit wa mtaa nikamweleza akamwambia mshikaji asiingie kwenye boma langu.

Baada ya hapo jamaa na mke wake wamekuwa wananiogopa sana. Anaweza badili hata njia akiniona.

Sasa nataka aniogope mara thelethini ya hapa naombeni maujanja jinsi ya kumtisha huyu mtu.
Ukimuona amekaa nje toa panga uanze kulinoa hata kama kali we linoe huku likitoa mlio

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom