Wacha nikatafute ila ole wako...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu tuma pesa acha porojo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka mkwe usawa huuu....Mamy sijambo
Tumepata mkwe ama! Naona picha za wanaume hazituishii
Asprin ndiye alikutia nuksi bwana siyo mimi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka mkwe usawa huuu....
N
Babu asprin alijitolea awe mkwe bila mahariii ukakataa ushanitia nuksi tayari ujue[emoji12]
[emoji15] Mara hii ushamgeuka???Asprin ndiye alikutia nuksi bwana siyo mimi.
Kaa naye mbali.
Lazima nimgeuke najua kabisa hawezi mfikia huyo mkwe wa avatar u-HB.[emoji15] Mara hii ushamgeuka???
Vipi lkn babu mabibi zangu hawajamboo???
-casie
-mzigu
-----------
--+-+---+
.............
Hao wengine malizia
Kwani babu Huyo wa kwenye avatar humjui, mume wa mtu huyooLazima nimgeuke najua kabisa hawezi mfikia huyo mkwe wa avatar u-HB.
Hao wanapambana na hali zao siku hizi hata hatutafutani sijui wamekufa.
hapana mkuu.... nipo normal kabisa
Ili na yao yavurugike!! Sidhani kama hiyo itakua hatua nzuri maana kuvuruga ndoa/familia ya mtu sio jambo dogo!!
Kama huyo mdogo hawezi muamini mpenz wake amuache tu.....lla kabla hawajaachana afanye mchakato wa kumuaribia huyo mpuuzi ndoa yake ili akili imkae sawa.Matokeo ya baada ya kuelezwa ndio yanayomuwazisha bibie, kwakuwa John hayuko tayari kuadmit ukweli. Hivyo bibie anaona kama atakaangwa zaidi.