Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
Kila MTU apambane na hali yak
Dogo aelezwe ukweli maisha yasonge mbele
Ubinafsi wa kingese haufai huku dunian
Sent using Jamii Forums mobile app
ubinafsi wa kingese haufai huku dunianiKila MTU apambane na hali yak
Dogo aelezwe ukweli maisha yasonge mbele
Ubinafsi wa kingese haufai huku dunian
Sent using Jamii Forums mobile app
ubinafsi wa kingese haufai huku dunianiSasa moyo ukilipuka itakuwaje bwana shemeji!! Si utamkosa sasa!!Shemu yaan nikionaga tu jina mbiti huwa moyo wangu unalia puuuuuuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yale maziwa ya nido makubwa na ada za wanetu alishalipa?hahaaha mie naiongelea hii mpya !ile nimeiweka pending ! sirudii makosa mamy sasa hv mwezi ukiisha natega mikono kbs nipewe dau langu ! huyu uzur anapiga kitu cha pepsi tena kwa nadra ! yaan hela itaonekana! anivishe mie mkewe !yaan sasa hv NO FAKE ZONE shoo !ni mwendo wa mabrand tu ! magucci sijui mann sijabahatikaha kuvaa cl nakuambia dec ninacho mguuni
Ninafuraha ya kuwa penzin na wewe dear ila watu wasiojulikana wanaokumendea wananipa mawazo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kuweka pumbu kwny kisosi, kwaheriakili mie ishachoka nimeona uzi mrefu nitasoma asbhiii !hahahah nanyupu kashaniweka ndani ! nampakata na kumbeba kumpeleka bafuni na visosa juu
akili mie ishachoka nimeona uzi mrefu nitasoma asbhiii !hahahah nanyupu kashaniweka ndani ! nampakata na kumbeba kumpeleka bafuni na visosa juu
Yale maziwa ya nido makubwa na ada za wanetu alishalipa?
Ndio kashindwa kupima sasa ikabidi atafute msaada zaidi.

yote ni majibu sahihi sema namshauri zaidi aangalie lipi litampa furaha yeye kama kupotezea amkose dogo ts fine kama ataamua kuwa muwazi kwa dogo pia ni sahihi aangalie vipi moyo wake utakua na amaniBasi ondoa shaka, kesho asubuhi na mapema kitakufikia.
Heaven Sent na Nalendwa wao walishachukua vyao mapemaaa. Ulibakia wewe na Neybright
Sijambo aunt, nimeaanza mwenzi huu...Mjukuu haujambo?
Tangu lini watumia avatar ya kiume?

Matokeo ya baada ya kuelezwa ndio yanayomuwazisha bibie, kwakuwa John hayuko tayari kuadmit ukweli. Hivyo bibie anaona kama atakaangwa zaidi.Aunt espy himiss u mnooo babu Daby hajambo.
Mi naona mdogo mtu aambiwe ukweli maisha mengine yaendelee ukizingatia kaka yke ana mke....awaachie penzi laooo![]()
asante mwanamke mwemzangu kwa kuijali ndoa yangu 'mupya'! nataka nirekebishe makosa ya kulle ya kwanza !huyu ni mwendo wa kumbeba tu mgongon na alivyo mdg kiumri ah sina shida mie !yaan namlea km mwanangu wa 1! maana nimempita 22yrs !yaan kitu damu changaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mawazo kama yangu, sema bibie kishakolea sasa kuachia ngazi anaona noma.Niliwahi kukutana na hicho kisanga, afanye km ametoa sadaka hilo penzi lake, yaani amuache mdogo wake john na asimwambie kitu chochote atapata bwana mwingine wa kumuoa
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaa kweli sina namuweka kwa stuli tu !niwekee kimoja jaman ! dah
Naviomba vya kwangu jamani, nisije kuachika bure