Ohoooooo!!Kama huyo mdogo hawezi muamini mpenz wake amuache tu.....lla kabla hawajaachana afanye mchakato wa kumuaribia huyo mpuuzi ndoa yake ili akili imkae sawa.
A billion or so...Kumbe sio wachache tena!!!

Na weweNa wewe unapambana na nani?
Koh koh![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio maana hivyo hivyo
Siku hizi nikitoka JF kidogo nikirudi nakuta ID kibao zimeunganishwa.![]()
![]()
![]()
![]()
Hivi mbona kitambo sana sijatambulishwa wifi?
Id gani zimeunganishwa?Siku hizi nikitoka JF kidogo nikirudi nakuta ID kibao zimeunganishwa.
Sasa unafikiri mimi mjinga naweza kuwa na kutongoza wewe kwa ID nyingine.
Za members wa humu...Id gani zimeunganishwa?
Ulikuwa unanitambulisha wifi kila wiki, now naona zhiiiiiiii!!!
hahaha haya mambo ya visosa MBITIYAZA kayaanza lini? Naona ile Nissan nyeupe inamfuatilia mtu kimya kimya,espy utakuwa shahidi kwa kamanda sirro