Ushauri wa haraka unahitajika

Ushauri wa haraka unahitajika

Dogo inabidi naye ajue A-Z..,
Wanaume tunakuwaga na kuheshimiana flani hivi ukiona kaka/rafkio yupo pale unamwachia tu.

John na Dogo wazungumze tu.
 
Mwenza nipo.
Ukiona kimya uje unitoe lupango.
Niko nawatafuta "watu wasiojulikana"
Mwenza yamekuwa hayo!! Tafadhali sana bado nakupenda sana, yule mume peke yangu simuwezi.
 
Dogo inabidi naye ajue A-Z..,
Wanaume tunakuwaga na kuheshimiana flani hivi ukiona kaka/rafkio yupo pale unamwachia tu.

John na Dogo wazungumze tu.
Hahaaaa!! Kumbe huwa hamna hiyana eeh!!
 
nahitaj my dear nipo serious ! ngj nimuulize na mhenga mwenzangu km na wifi yangu ana visosa km hana nimchukulie hii elimu dunia waifahamu mhenga mwenzangu??@elli
Hahahaaa!! Nikajua umeghairi, nilianza kuwaza kwanini tunaharibiana biashara!!!
 
Tena inabidi nikupe vya rangi na dizain mbalimbali ili usije simangwa kwa kutumia visosa vya aina moja tu!!

ahhhha nimecheka hii !dah usjie pewa sababu bwana kachepuka kisa dizain ile ile hahhaa
 
nahitaj my dear nipo serious ! ngj nimuulize na mhenga mwenzangu km na wifi yangu ana visosa km hana nimchukulie hii elimu dunia waifahamu mhenga mwenzangu??@elli
Hahahahahaha hii sina aiseee, hebu tuwasiliane tupate ujuzi Mhenga
 
Back
Top Bottom