Hahahaaaaa!! Eti aombewe! Deep kiss hamna shida. Ila hayo mengine hapana jamani, iwe starehe sio karaha.
Hoja dhaifuUnajua ukishatuhumiwa alafu ukajielezea, kuaminiwa inakuwa ngumu. Utaonekana kama unajitetea tu!!
![]()
![]()
Hao na wa vikwapa wote wana balaa kwakweli.
Jackie hao ndugu kakutana nao tu accidentally hakuzaliwa wala kukua nao toka utotoni.Habari za muda huu wana MMU!
Jackline na John (sio majina halisi) walikuwa marafiki wa muda mrefu,walikuwa marafiki walioshibana na kusaidiana katika mambo mengi tu.
John ni mume wa mke mmoja na watoto watatu.
Baada ya muda John alianza kuwa na hisia za kimapenzi kwa Jackie, na akamuelezea Jackie hisia zake. Bibie hakuwa tayari kabisa kuwa na mahusiano na John kwasababu ni mume wa mtu na kwa heshima aliyonayo kwake kamwe asingeweza kuwa mchepuko wake.
Kuna kipindi John alimtambulisha Jackie kwa mdogo wake(kuwa ni rafiki tu) dogo akamuelewa Jackie, akaanza harakati za kumpata. Baadae wakawa wapenzi. Mahusiano yao yakiwa na miezi mitano dogo akamueleza kaka yake kuwa ana mahusiano na Jackie na anampenda sana na akamshukuru kwa kuwakutanisha.
Hapo ndipo balaa lilipoanza, kwani kaka mtu akaanza figisu figisu za kutaka kumuharibia Jackie, akawa akimueleza mdogowe kuwa binti hafai ni muhuni na anamfahamu vizuri hivyo ni bora waachane tu. Dogo akaanza kama kubadilika na baadae bibie akambana amueleze ukweli kama kuna tatizo lolote.
Dogo akamweleza hali halisi, bibie akabaki kapigwa na butwaa tu!!
Ikabidi amtafute John amuulize kwanini ameamua kufanya vile, J akamjibu kuwa, kama hayuko tayari kuwa nae hawezi ruhusu awe na mdogo wake kwasababu itakuwa ni kumbukumbu inayomuumiza daima. Kwahiyo ni bora atafute mwanaume mwingine na sio mdogo wake.
Bibie kabaki njia panda maana ashampenda mdogo mtu, anashindwa amueleze mdogo mtu ukweli wa mambo au aachane nae tu ili alinde undugu wa wawili hao??!!!!!!!!
Karibuni kwa ushauri wapendwa.
Mamy sijamboAunt espy himiss u mnooo babu Daby hajambo.
Mi naona mdogo mtu aambiwe ukweli maisha mengine yaendelee ukizingatia kaka yke ana mke....awaachie penzi laooo![]()
Duuuuh!! Dont you think hiyo itaongeza petroli kwenye maji(uadui wa kudumu)Ushauri rahisi sana ....hapo huyo jackie amwambie John kuwa kama ataendelea na figisu figisu ana akamwalibia penzi lake basi naye ata mwalibia kwa mkewe yaani akimwaga mboga naye amwage ugali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitumie hela.Jackie hao ndugu kakutana nao tu accidentally hakuzaliwa wala kukua nao toka utotoni.
Mwambie atafute namna aidha amchane dogo aache mazoea fasta au atafute mwanamme wa kuzuga naye ili dogo aamini kwamba yeye ni malaya na huyu jamaa sijui John atulie na mke wake aache wenge.
Kisha Jackie achukue 50 zake hapo hata akilazimisha kumpenda dogo mitafaruko na hilo kovu halitafutika.
Hata mimi ninaona kuachana is the best option kwakweli. Hizi bifu za ndugu sio kabisa.Jackie hao ndugu kakutana nao tu accidentally hakuzaliwa wala kukua nao toka utotoni.
Mwambie atafute namna aidha amchane dogo aache mazoea fasta au atafute mwanamme wa kuzuga naye ili dogo aamini kwamba yeye ni malaya na huyu jamaa sijui John atulie na mke wake aache wenge.
Kisha Jackie achukue 50 zake hapo hata akilazimisha kumpenda dogo mitafaruko na hilo kovu halitafutika.
Hiyo John ni mpuuzi sasa huwezi lea upuuzi kwa kumwacha tu aendele na upuuzi wake, kwanza haeshimu ndoa yake, pili hajali furaha ya wenzake, dawa ya mpuuzi ni kumpa anacho staili....maana hata akisema amwache huyo mdogo wake John sio ndo mwisho wa kumtaka na pia kama ana weza kumwalibia mdogo wake vipi watu asio wajua?Duuuuh!! Dont you think hiyo itaongeza petroli kwenye maji(uadui wa kudumu)
Yaani nitoe ushauri tu nikutumie hela? Leo zamu yakoNitumie hela.
Anaweza kun'gan'ganiza kwa dogo John akaliweka moyoni.Hata mimi ninaona kuachana is the best option kwakweli. Hizi bifu za ndugu sio kabisa.
You do make sense kwakweli, ila kwa mdogowe anajua ana nguvu ndio maana kapata ujasiri wa kufanya hivyo.Hiyo John ni mpuuzi sasa huwezi lea upuuzi kwa kumwacha tu aendele na upuuzi wake, kwanza haeshimu ndoa yake, pili hajali furaha ya wenzake, dawa ya mpuuzi ni kumpa anacho staili....maana hata akisema amwache huyo mdogo wake John sio ndo mwisho wa kumtaka na pia kama ana weza kumwalibia mdogo wake vipi watu asio wajua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jackie una mambo wewe...Si nimekuona nikakumbuka uliniahidi alafu haukutuma!! Hivyo nakukumbusha.