Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Wamechelewa sana, wenzao na mazoezi ya kubeba tayari, kube wao hata vigoda bado!!
Mambo adimu hayo usukumani.
Acha tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamechelewa sana, wenzao na mazoezi ya kubeba tayari, kube wao hata vigoda bado!!
Mambo adimu hayo usukumani.
Mwanamke alichofanya siyo sahihi kabisa...
Angeanzisha mahusiano sehemu nyingine, siyo mdogo wa aliyemkataa...
Duniani vitu vinavyoleta chuki, uhasama na vita ni pesa na mapenzi (wanawake)
Cc: mahondaw
Michango hii ya wanaume inanipa picha halisi ya nini anapaswa kufanya. Shukrani wakuu.kama wote wanataka amani wampotezee huyo mrembo..... mkuu
mwambie aje kwangu apate farijiko la moyo mkuuu....Michango hii ya wanaume inanipa picha halisi ya nini anapaswa kufanya. Shukrani wakuu.
Hawa viumbe huwa hawaridhiki, wanataka kumiliki hadi visivyo vyao. Yaani kama hawezi kuwa nae basi na dogo pia asiwe nae!!! Ubinafsi wa hali ya juu.
Hahahaaaa!! Hebu itafute mama maana nahisi kucheka kabla sijaisoma.jamani ile sms mpk leo huwa nacheka had nasweat ! mie huwa napenda kusoma txts za aina hyo nakuweka picha kbs jaman nilicheeekkkka !hapana jaman nilicheka mnoo !ila ina ukweli wote! dah niliwakumbuka washona matenge ya ajabu ajabuu hahahahh!usku wewe umenin'giniza lemba kuuubwaa hahahha mama weeeeeeeeeee! dah ngj uitafte hyo text tumpe espy
Hahahaaaa!! Hebu itafute mama maana nahisi kucheka kabla sijaisoma.
![]()
![]()
![]()
Espy huyu kapeace na MBITIYAZA wananifanya mpaka nashindwa kuchangia mada wallah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ushakuwa kama mimi kuna maada zingine ukiingia unamukuta mbiti kachafua inabidi tu uchungulie usepe maana ni matus tupu![]()
![]()
![]()
Espy huyu kapeace na MBITIYAZA wananifanya mpaka nashindwa kuchangia mada wallah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu na viben ten vyenu.
ahahha ukinichek mbiti mie nina zebra had mikononi !tumbo linaning'iniaaaa hahaha!bora hata jyfarai na shy !haaah raha sana ! damu mbichiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kuna kaukweli ktk hilo mkuu.Kwa upande wangu binafsi kama ningekuwa mdogo wake John(na nikagundua ukweli) ningempotezea tu demu,hata kama nikiamua kumuoa sitakuwa na amani na ndoa yangu wala sitakuwa na amani na kaka yangu damu nzito kuliko maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Kweli, lkn mdogo mtu anamuamini kaka/baba yake hata akiolewa kaka mtu atamsumbua na atamvurugaMie naona kaka mtu ndo tatizo, kwa nini awakatishe wenzake penzi lao wakati tayari ana mke?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo sasa hata nashindwa kushangaa!!Yaani ni ubinafsi over the top!
Kama yeye kakosa anataka wakose wote!
Sent using Jamii Forums mobile app