Ushauri wa haraka unahitajika

Ushauri wa haraka unahitajika

Hahah!, kwa kweli. Kama mambo yenyewe haya, tukapike michembe tu...lol!

Sent using Jamii Forums mobile app

hahah hicho chakula jaman mie kilishanishinda jamen ! yan jaman uwiii ! last week nilikua kwenye familia ya wasukuma wakapika mchana na karanga za kukaanga ! hebu imagne jaman ! na nisivyoweza kushinda njaa nilichukua maharage tu ! dah mchembe haapana
 
Hehehe!, ndo nyumbani shoga!
 
hahah hicho chakula jaman mie kilishanishinda jamen ! yan jaman uwiii ! last week nilikua kwenye familia ya wasukuma wakapika mchana na karanga za kukaanga ! hebu imagne jaman ! na nisivyoweza kushinda njaa nilichukua maharage tu ! dah mchembe haapana
Wasukuma mnajijua wenyewe na mapishi yenu, hayo madude sijawahi kuyaelewa kwakweli. Acha tu na visosi viwashinde
 
Back
Top Bottom